DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Negativity https://jamii.app/JFUserGuide off Ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm is poison i hate and one day I will https://jamii.app/JFUserGuide all of themPascal Mayalla Saa zengine ujitazame, usijifanye una akili na maarifa makubwa kupita kiasi.
Kuna umwehu kichwani kwako ujitazame na kujihakiki vyema. Unafahamu athari ya kisiasa itakayotokea kwa Othman kufutwa kazi katika uingozi wa Hussein.
WAZANZIBARI WANA AJENDA YAO, CCM HAWANA AJENDA WAPO KIMASLAHI ZAIDI, NA CCM SIO WAZANZIBARI ILA BAADHI YA WZAZANZIBARI WAMO NDANI YA CCM.
USIMPANGIE.
Dogo wewe huelewi bado mtoto..kua uyaone mwanawane..hujui maana ya kujenga chuki na uhasama kama huu watu wanaotaka kujenga.. kakojoe ulale jombaKwani hapo Bara hakuna Wakenya,Waganda,Wanaigeria nk,wanaoishi hapo,walioowa hapo?wanaofanya biashara kubwa kubwa hapo?
Hayo ni mawazo mgando,
Mbona Maalum Seif hakuwaga hivPascal Mayalla Saa zengine ujitazame, usijifanye una akili na maarifa makubwa kupita kiasi.
Kuna umwehu kichwani kwako ujitazame na kujihakiki vyema. Unafahamu athari ya kisiasa itakayotokea kwa Othman kufutwa kazi katika uingozi wa Hussein.
WAZANZIBARI WANA AJENDA YAO, CCM HAWANA AJENDA WAPO KIMASLAHI ZAIDI, NA CCM SIO WAZANZIBARI ILA BAADHI YA WZAZANZIBARI WAMO NDANI YA CCM.
USIMPANGIE.
kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU,
Ni ngumu kufanya kazi na mtu ambaye hamuelewani kwenye mambo muhimu (key fundamental issues).
Mayalla jibu hili kwanza. Ila nimecheka sanaWakati mwingine huwa najiuliza hivi mkiwa mnahubiri demokrasia huwa mnakuwa mmelewa au? kwasababu najua nyie ni madikteta, na wewe ni mfano mmojawapo wa madikteta tulionao, unapenda vya kukufurahisha machoni pako pekee.
Hili pia linaweza likatokea maana wazanzibari wanavyouzungumzia muungano ni kindumbwendumbwe..Ccm wamejifunza walipomfukuza Maalim Seif na wenzake.
..Othman Masoud akifukuzwa wananchi watamfanya shujaa wao.
which is very wrong aiseeHuyu ndio Pascal anayedhani CCM Wana hatimiliki Hadi ya mawazo ya watu
Hahahaaaaaa . . . . . . . JF raha sanaHakuna muungano, kuna uvamizi. Nyerere alivamia Zanzibar kama Putin alivyovamia Ukraine na mpaka leo majeshi yake yamebaki.
Duuhh . . .Hakuna anayesikiliza hoja zako wewe Pascal Mayalla . Ikumbukwewe kwamba wewe ndiye uliyemuuza Erick Kabendera kwa JPM . Wewe ni lofa mwenye njaa.
Kina Ansbert Ngurumo watasemaje ?Hapana, mimi sio Dikiteta na kwa wanaonifahamu kwa karibu, mimi ndie Mwandishi pekee niliye mkabili JPM kuhusu udikiteta.
Licha ya mimi kuwa ni kada mtiifu na mwaminifu wa CCM, lakini kwenye hili la democrasia ninatanguliza maslahi ya Taifa.
Pascal, jibu hoja za mkuu hapoACT siyo wajinga kumpendekeza huyo jamaa kwenye nafasi hiyo. CCM wanamjua pamoja na paskali, fikiria alikuwa na nafasi nzuri ya kula lakini akajitoa mhanga. Sasa yuko sebuleni analiamsha kisawasawa lakini yote anayo yasema ndio yale wa zanzibar walitoa kama maoni yao kwa warioba pamoja na shein mwenyewe.
Paskali ajibu hoja zake na sio kujificha nyuma ya collective responsibility na ilani ya kijani
Nakubaliana kabisa.
Anti Muungano agents wang'olewe at any cost.
Huyo Othman akayaongee anayo ongea akiwa nje ya serikali.
Jitu linakula heka ya Muunano halafu linaunanga, ni ushamba usiovumilika.
Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.
Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.
Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!
Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!
Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.
Paskali
Watanganyika ukiguswa Muungano hua mnajisikiaje?Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya