Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Pascal Mayalla Saa zengine ujitazame, usijifanye una akili na maarifa makubwa kupita kiasi.

Kuna umwehu kichwani kwako ujitazame na kujihakiki vyema. Unafahamu athari ya kisiasa itakayotokea kwa Othman kufutwa kazi katika uingozi wa Hussein.

WAZANZIBARI WANA AJENDA YAO, CCM HAWANA AJENDA WAPO KIMASLAHI ZAIDI, NA CCM SIO WAZANZIBARI ILA BAADHI YA WZAZANZIBARI WAMO NDANI YA CCM.

USIMPANGIE.
Ccm is poison i hate and one day I will https://jamii.app/JFUserGuide all of them
 
Kwani hapo Bara hakuna Wakenya,Waganda,Wanaigeria nk,wanaoishi hapo,walioowa hapo?wanaofanya biashara kubwa kubwa hapo?

Hayo ni mawazo mgando,
Dogo wewe huelewi bado mtoto..kua uyaone mwanawane..hujui maana ya kujenga chuki na uhasama kama huu watu wanaotaka kujenga.. kakojoe ulale jomba
 
Pascal Mayalla Saa zengine ujitazame, usijifanye una akili na maarifa makubwa kupita kiasi.

Kuna umwehu kichwani kwako ujitazame na kujihakiki vyema. Unafahamu athari ya kisiasa itakayotokea kwa Othman kufutwa kazi katika uingozi wa Hussein.

WAZANZIBARI WANA AJENDA YAO, CCM HAWANA AJENDA WAPO KIMASLAHI ZAIDI, NA CCM SIO WAZANZIBARI ILA BAADHI YA WZAZANZIBARI WAMO NDANI YA CCM.

USIMPANGIE.
Mbona Maalum Seif hakuwaga hiv
 
..Ccm wamejifunza walipomfukuza Maalim Seif na wenzake.

..Othman Masoud akifukuzwa wananchi watamfanya shujaa wao.

 
Wakati mwingine huwa najiuliza hivi mkiwa mnahubiri demokrasia huwa mnakuwa mmelewa au? kwasababu najua nyie ni madikteta, na wewe ni mfano mmojawapo wa madikteta tulionao, unapenda vya kukufurahisha machoni pako pekee.
Mayalla jibu hili kwanza. Ila nimecheka sana
 
ACT siyo wajinga kumpendekeza huyo jamaa kwenye nafasi hiyo. CCM wanamjua pamoja na paskali, fikiria alikuwa na nafasi nzuri ya kula lakini akajitoa mhanga. Sasa yuko sebuleni analiamsha kisawasawa lakini yote anayo yasema ndio yale wa zanzibar walitoa kama maoni yao kwa warioba pamoja na shein mwenyewe.
Paskali ajibu hoja zake na sio kujificha nyuma ya collective responsibility na ilani ya kijani
Pascal, jibu hoja za mkuu hapo
 
Nakubaliana kabisa.

Anti Muungano agents wang'olewe at any cost.

Huyo Othman akayaongee anayo ongea akiwa nje ya serikali.

Jitu linakula heka ya Muunano halafu linaunanga, ni ushamba usiovumilika.

Hahitaji kula hela ya muungano bali ya Zanzibar pekee. Isitoshe hana popote anapojivunia huu muungano wa shuruti.
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali

Afuate ilani ya ccm kwani ccm wako madarakani kihalali au kwa shuruti?
 
Kwa haya yanayoendelea naweza kuamini kwamba muungano wetu huu ulikuwa wa kulazimishana. Hii ni kutokana na uhalisia unaojionesha kwa wazanzibari wengi kwamba wako kwenye ndoa ambayo hawajui hata terms zake/

Au wanajisahaulisha ?

Anyway, we need more feedback

Period
 
Back
Top Bottom