Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

..hao wachapishaji wasije kuwa ni mayanga construction wengine.

..mwenyekiti wa tume, katibu wa tume, wasimamizi wa uchaguzi, wote wameteuliwa na Jiwe.

..Na kampuni ya kuchapisha karatasi za kura nayo ina mahusiano na Jiwe.

..Only in Tanzania.

Inakuwaje watu wazima mnajenga nyumba kwenye msingi mbovu halafu nyumba inakaribia kuisha mnaanza kuulizana maswali? Pande zote mbili mnajua kuwa tume sio huru, Tume imetokana na katiba mbovu iliyopitwa na wakati sasa inakuwaje tunakimbilia uchaguzi usio huru?

Kenya nao waalikuwa wabishi kubadili katiba yao lakini walipouana akili iliwarudi na kukubali kufanya mabadiliko ambayo leo hii yamepunguza malalamiko je na sisi mpaka itpkee fujo watu wafe ndio tutaelewa umuhimu wa katiba mpya na Tume huru?
 
Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Umebadilisha Nini,au ndio kutafuta faraja isiyokuwepo.Umepanic!!
 
Hapana bro huyo ni nguli wa kuropoka na kusema uongo .
 
Mkuu 4 7mbatizaji kongole kwa kufunga kwa ajili ya Tanzania.
Mungu akubariki sana.
 
Kwanza umeonesha kwa jinsi gani hujui mamlaka au dhima ya chama cha upinzani,ungejua dhima ya chama cha upinzani,huwezi kuuliza madwali hayo kwa John Mnyika.Pili tafakari kwa makini sana kuhusu,mfumo mzima wa kupiga kura na uelewe maana ya uchaguzi,ndipo utaona umuhimu wa kuuliza kila kitu kuhusu,uchaguzi kuanzia,wajumbe wa tume hadi kalamu wanazotumia
 
Wewe unawdanganywa na kina Kigogo ndio una akili?
 
Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Hakuna chama cha kipuuzi kama CCM wameona ngoma nzito wanatumia mabavu ya vyombo vya dola, CCM mpya haina tofauti na bokoharam
 
CCM nawaweka kwenye kundi la mataahira
 
Kichwa maji orodha na idadi ya wapiga kura iko wazi iliahawai bandikwa kwenye vituo na itabandikwa tena siku nane kabla ya uchaguzi! Hivi chadema ni chama cha wajinga?
Hawana Taarifa!
Pengina hata Kadi hawana, lini siku ya uchaguzi hawajui nani wagombea nafasi ya Urais hawawajui. Ila hapa ni mashabiki kweli kweli
 
CHADEMA walitaka labda vifaa vyote vya uchaguzi vitoke Ujerumani kwenye NGO ya KAS. Jambo moja tu ninawahakikishia CHADEMA hata kama wao ndio watatengeneza karatasi za kura na mabox yake HAWANA UWEZO WA KUISHINDA CCM
 
Unasema karatasi zinamaajabu gani?
Jua yakuwa kunaweza kuwa na chemical zinawekwa kwenye kisanduku cha lisu ukimuwekea tick inafutika after 2 hours ,hiyo technology unajua?
 
Watu wengine mnajitoa akili na kujionyesha upumbavu wenu mkidhani waTanzania wote ni wajinga.

Unapoteza muda wako wote wa kuandika upuuzi hapo juu ukidhani watakaokusoma ni wajinga?

Kwa hiyo leo unajisikia raha sana kuona umefanya kazi muhimu ya kutetea ujinga?

Hebu soma maswali uliyojiuliza hapo juu; nakushauri ujaribu kuyajibu wewe mwenyewe uone ni kiasi gani ulivyo kilaza baada ya kuyajibu kwa majibu sahihi, kama uwezo huo unao.
 
Acha matumaini ya siyo na msingi CHADEMA HAWAWEZI KUSHINDA MWAKA HUU AU 2025... subiri tarehe 28 ipite nitakutafuta na majibu utakayonipa ni Ccm, Nec na polisi ni majizi ya kura hutakua na jibu jingine
CCM haiwezi kushinda kwa halali. Lkn kwa haramu inawezekana
 
Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?
mnyika ni kiongozi wa hovyo sana
mwaka 2015 alikua anailazimisha tume iwape nywila za mitandao ya tume
mwaka huu anakuja na kiroja cha kutaka tume ieleze mzabuni ni nani
karatasi ya kura hata ikichapwa Namtumbo,haibadili maamuzi yangu ya kumchagua Tundu lissu,anachofanya mnyika ni kuwavuruga wapiga kura wake na kuwakatisha tamaa tu
 
Kwanini Zanzibar kura zinapigwa kwa siku mbili?
 
Huyo Kigogo toka aanze kuanika uchafu wenu kuna siku mmewahi kumjibu? zaidi mnahangaika tu kumtafuta yeye binafsi, jibuni kila anachokielekeza kwenu msihangaike na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…