Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

Muhimu ni kwamba umesoma na [emoji382][emoji382] imeingia!
 
Huyo Kigogo toka aanze kuanika uchafu wenu kuna siku mmewahi kumjibu? zaidi mnahangaika tu kumtafuta yeye binafsi, jibuni kila anachokielekeza kwenu msihangaike na mtu.
Unapoteza muda kumjibu mpumbavu?
Hakuna kazi za kufanya?
 
Ndg jaribu kuelewa tofauti kati haya maneno; kupewa tenda na kushinda tenda. Ukishaelewa point ya CDM utaielewa
 
Ndugu niliposoma na kukuta unasema " karatasi z akupigia kura zina maajabu gani" nimeishi hapo na kuhitimisha kuwa wewe mwandishi ni POPOMPO.
nakushahuri kamsikilize tena vizuri Mnyika alichokiongelea na kesi ya kenya na mgombea kuhusiana na kampuni ilio shinda zabuni ya karatasi na maamuzi ya mahakama.
 
Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
atahamia facebook
 
The issue raised has a very significant material effect on these elections and is very prudent to get a good feedback from authorities. When we look at this question in the last elections in Kenya, it was very instrumental in ensuring that Raila Odinga lost the elections, keep it up John Mnyika and continues relentlessly apply pressure to this government to show that these elections from onset have been uncredible to say the least.
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Ikungi Singida.
 
Hivi mkuu, yule bwana aliyesema lissu ana uraia wa nchi mbili wakati akijua kuwa sheria za Tanzania haziruhusu unamchukuliaje?...mbona hakujikita katika sera za chama chake?......
 
Huu ujinga ndiyo hatuutaki. Zabuni ilitangazwa na mshiindi kapatikana. Je,utaratibu wa kutangaza zabuni uliwezekana ila wa mshindi ni hadi uwafuate? Ujima wa nini na kila mtu (hata wa Namnyumbu) aende kuuliza? Usilete habari ya ujenzi wa uwanja wa chato na mayanga co!
 
NEC wasijibu hoja hii kihuni, hii tayari ni auditing query; hizi ni pesa za walipa kodi...lazima taratibu zifuatwe na ziwe wazi.

Moja ya mambo mazito kabisa ku justify uchaguzi ulikiwa huru na haki ni pamoja na hii zabuni.

NEC tupeni majibu watanzania, acheni kutoa majibu mepesi...maana karatasi hizi ndiyo sehemu ya uchaguzi wenyewe.
 

..ukiwalaumu Wapinzani utakuwa unakosea.

..wametumia njia zote halali kutetea na kuhimiza kuundwa kwa tume huru lakini imeshindikana.

..Serikali ndio waliotakiwa wapeleke muswada wa sheria bungeni ili kuunda tume huru lakini hawakufanya hivyo.
 
Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Hivi wameshayatoa majibu yao manguki wetu.
 

Chadema ofisi zao ziko wapi?
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…