Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

Yanga mnapenda sana kuabudiwa
 
Kijana ana msimo wa hovyo, katika maisha flexibility ni muhimu sana. Angekuwa na akili sawa sawa baada ya hukumu tu angerudi aeleze tu kuwa alitafsiri mkataba vibaya, mambo yangeisha na angeondoka Yanga kama mchezaji huru na hapo ndipo angepiga hela ya maana. Wachezaji wengi wakubwa tunao waona kwenye TV decision making katika masuala yao inafanywa na majopo ya wabobezi katika masuala ya biashara, mpira, sheria, afya etc. Feisal nina wasiwasi uamuzi wake kashauriwa na mama yake na wachambuzi uchwara.
 
huko timu ya taifa hakuna faida yoyote hata asipokwenda ni sawa..
 
Nakazia..
Japo sijui mlimfanya nini huyu kijana yani hataki hata kuwasikia..ni kama kuna kitu kilifanyika ambacho kwake ni ngumu kusamehe...au unasemaje Tate Mkuu
SHIDA NI ILE PESA ALIYOPEWA WAKATI ANASHAWISHIWA KUVUNJA MKATABA...AMEKULA IMEISHA..KURUDISHA NI NGUMU...Hapo chacha...huyo aliyemdanganya hatomsahau daima...

Feisal was the greatest Tanzanian player...from nowhere...from HERO to ZERO...
 
Yanga mnaona mmedharirishwa sana na dogo. Mnajiona ni watu muhimu sana, mngetamani dogo atokee huku analia akiomba radhi ili nafsi zenu ziridhike. Hovyo kabisa.
 
Yanga mnaona mmedharirishwa sana na dogo. Mnajiona ni watu muhimu sana, mngetamani dogo atokee huku analia akiomba radhi ili nafsi zenu ziridhike. Hovyo kabisa.
Ungekuwa umeajiriwa, ungeielewa kwa haraka sana mantiki yangu.
 
Nakazia..
Japo sijui mlimfanya nini huyu kijana yani hataki hata kuwasikia..ni kama kuna kitu kilifanyika ambacho kwake ni ngumu kusamehe...au unasemaje Tate Mkuu
Amekaririwa akisema huko unguja..kwamba akirudi yanga na afe..yanga kuna kitu wamemkwaza huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…