The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.