1. Tanzania haina dini, maanake ni kwamba mkuu wa nchi hatakiwi kuegemea dini au dhehebu lolote.
2. Kumtaka mkuu wa nchi aegemee dhehebu au dini fulani, inamaanisha kuwa dhehebu hilo linakuwa na mandate ya ku override the government
3. TEC haina mandate yoyote kikatiba wala kiutamaduni ya kumfanya mkuu wa nchi aegemee upande wao. je na waanglikana? kkkt? sabatho, wapentecost? bakwata? sunn? budhaism? wahindu? WAPAGANI? hawa ni nani ataegemea kwao?
4. acha kila mtu ang'ate shuka lake hadi mwisho
5. huwezi kugeuza taifa eti liegemee kuisikiliza tec
6. umeshindwa kuwa tec, basi ingia uwe tecdema ili ufundishwe uwajibikaji wa kiraia kama umeshindwa kuwa mpatanishi.