The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ku Temper na hizi taasis za dini sometimes hakuna afya sana .. maana unagusa unyeti wa mshikamano wa kitaifaGT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.
Sasa kafanya ni cha maana alipowakataa matokeo yake kaua maelfu ya wananchi hopeless kabiaa. Angewasikiliza wakati wanapinga utekaji huu ujinga usingetokeaKu Temper na hizi taasis za dini sometimes hakuna afya sana .. maana unagusa unyeti wa mshikamano wa kitaifa
Sikio la kufa......Sasa kafanya ni cha maana alipowakataa matokeo yake kaua maelfu ya wananchi hopeless kabiaa. Angewasikiliza wakati wanapinga utekaji huu ujinga usingetokea
wakatoliki feki nimewaza tu!Nani kakwambia anakaa nao vibaya
Samia alishakuwa kuwa karibu sana na tec na sana na kama huwa unafatilia angalia ziara yake ruva utaona alivyokuwa peramiho,lakini kuwa kwake salama hakutokani na kuwa karibu na tec,tec hawana ubavu wowote wa kuwazidi wanajumuiya wengine.Tusiwakuze tec bilashi.GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja kwasababu GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.
Sawa endelea kuamini hivyoSamia alishakiwa kuwa karibu sana na tec na sana na kama huwa unafatilia angalia ziara yake ruva utaona alivyokuwa peramiho,lakini kuwa kwake salama hakutokani na kuwa karibu na tec,tec hawana ubavu wowote wa kuwazidi wanajumuiya wengine.Tusiwakuze tec bilashi.
Muhimu japo si lazima,GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.
Toba haipo dini moja tu,na hakuna dini ambayo yenyewe ndio ina miliki na Mungu kuliko dini nyingineMuhimu japo si lazima,
Akubali kupigwa maombi ya toba kwa yote aliyofanya na kubatizwa. Mpaka hapo atakuwa ameokoka yaani MLOKOLE SAMIA 😁😁
Taifa limejeruhiwa hili..GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu.
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..
Nawasilisha.
hueleweki dogo! Kuna mahali nimetaja dini?Toba haipo fini moja tu,na hakuna dini ambayo yenyewe ndio ina miliki na Mungu kuluko dini nyingine
Hii ni comment nzuri na haiangalii dininya mtuTaifa limejeruhiwa hili..
dogo ni wewe,mimi naweza kuwa babu yakohueleweki dogo! Kuna mahali nimetaja dini?
ajabuKwahiyo unataka Rais asubmit...
Yani akubali kushindwa.
Then hatutakuwa na Rais.
nonsenseGT