Ushauri wa bure kwa Samia akae karibu na TEC ataishi kwa Amani.

Ndezi kama ile ikae na watu kama kitima si itakua inatumwa ipige deki chooni maana hata la kuchangia hoja hawezi
Hahahahahaaaaa. Yaani mi nacheka kweli nikiona hater la Samia limekasirika na kupanick kiasi hiki. Huyo ndo Samia kumamamake zenu, mtaendelea kumshindwa kama mlimshindwa katika mbinu zenu za kumtoa madarakani kwa kuongozwa na huyo bwana wako hapo uliyemtaja........sijui anaendelea kukufyodoa mpaka Sasa mngese wewe au alishakuacha sijui? Pole sana kwa yote.
 
Umeshauri vizuri na sio TEC tuu bali viongozi wa dini zote naamini kutakuwa na matokeo chanya 100% maana hawawazi madaraka ya kisiasa, kuliko kufungamana na wanasiasa wanaowaza upigaji na vyeo.
 
Akae na washauri wake vizuri mambo wayaweke sawa hata kujifichaficha kutapungua. TEC mara zote wamenyooka na wanasimamia ukweli na mara zote ukweli humweka mtu huru..😂
 
Katoliki ni mbwa asiye na meno, ataishia kubweka tu. Huku waumini wake mkijipa matumaini hewa.
Endelea kujifariji kwa kutukana matusi ya reja reja, kutuita mbwa, huku tukiendeleza ile the biggest political legacy in Tanzania, kwamba akiwa Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki!.

Juliusi alikuwa Mkatoliki
Beyamini alikuwa ni Mkatoliki
Yohana Yosefu alikuwa Mkatoliki
Na anayefuata ni
Immanuweli ni Mkatoliki!.

P
 
TEC ilihusika sana katika kuupinga uwekezaji wa DP World mpaka ukasomwa waraka makanisani nchi nzima.

Kumbe ule mkataba kati ya Serikali na DP World ambao ulipingwa na TEC kiasi cha waraka kuandikwa ulikuwa wa awali!!.

Kilichokuja kusainiwa na pande mbili ili biashara iweze kuanza pale TPA kilikuwa na vipengele tofauti kabisa na ile skeleton iliotudanganya sisi wakatoliki.

Kwa vyovyote vile Father Kitima alihusika kwenye uandishi wa waraka ule uliosomwa makanisani akidhani anao ufahamu kuliko wanasheria wa serikali waliosomea masuala ya kisheria kwa undani.

Zipo dini nyingi hapa Tanzania na zote zina wajibu wa kutoikwaza serikali kuu na mipango yake.
 
TEC walipinga uwekezaji wa DP World pale bandarini, kawaulize juu ya ongezeko la mapato ambalo limekuwepo kwenye hazina ya nchi kama watakujibu chochote.

Walidanganywa na baadhi ya vipengele kwamba nchi imeuzwa kwa waarabu baada ya miezi michache serikali ikaweka matangazo kwenye magazeti juu ya utafutaji wa wawekezaji kwa ajili ya bandari nyinginezo zilizopo nchini.

Samia akae karibu na viongozi wote wa madhehebu yote ya dini kwa faida ya ustawi wa Tanzania ya leo na kesho.
 
Who are you.
 
Imesaidia nini demokrasia ya nchi hii?
Wakristo hasa wakatoliki mmekuwa mkijiaminisha nyie mna nguvu kuliko serikali, watu wanatekwa mnaishia kubweka, padri kapigwa tena humohumo parokiani hakuna mlichofanya, nyie nawafananisha na mbwa anaebweka bila kung'ata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…