Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

kunywa bia mkuu gari yenyewe base model eti nae driver .... wazungu wanasema fvckin ricer
 
Pole yake sana

Ila jamaa simkubali wala nini,ana sifa sana,hata anavyotangaza kipindi chake sifa nyingi na dharau flani hasa akikutana na msanii chipukizi tena wa mkoani hahaha atapigwa madongo na vimaswali vya kejeli mpaka aone moto
kula like .....
 
hata kale ka shimii wanadharau sana kwa wasanii wachanga
 
Bongo ulimbukeni mwingi sana wengine wanajiita team Telza hawa ukikutana nao barabarani inaweza kufakamia Pampa .....
 
Hahaaaaaa
 
Personal attack zimeluwa nyingi mno, shaurini basi sio kuobesha chuki za wazi! Kisa dogo anajulikana mtangazaji! Sio poa bana kuweka chuki na wivu wa hivi mioyoni
 
[emoji3][emoji3] tbway ndio zake..kuna washkaji zangu nlimaliza nao chuo nae ni washkaji zake sana tu..wanajiita TeamTezza..wanafujo vibaya mno..na mmoja kati yao alipataga bonge la ajari kwa sifa hzohzo tulijua atakufa ..ila bado wanaendelea na michezo yao
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…