Waache shimo la fut 6[emoji3][emoji3] tbway ndio zake..kuna washkaji zangu nlimaliza nao chuo nae ni washkaji zake sana tu..wanajiita TeamTezza..wanafujo vibaya mno..na mmoja kati yao alipataga bonge la ajari kwa sifa hzohzo tulijua atakufa ..ila bado wanaendelea na michezo yao
Hahaha kweli Mkuu tatizo mjini wanatafuta tittle ndogo ndogo tuaaah km anaweza race aje road za mikoa sio hpo town race unaendeshea wap
Nimecheka sana mkuu,eti 'asijitie mweusi kama mkaa,360 my ass"Mnaosema kuna siku atapata cha mtema kuni, bora apate mwenyewe kuliko akiua watu. Watu wana familia zinawategemea, asijitie mweusi kama mkaa, 360 my ass.
Kwel hii ni takataka ya mungu kbsHivi hawa watu wasiojulikana aka watekaji kwanini wasiziondoe taka ka hizi mjini...
Nimeiona clip yake alipovamia ofisi ya tigo akitukana wale staff...
Mpuuzi sana kijana huyu. Hivi hajui kama wanaweza mfunga kwa matusi yale...
Mpumbav sana.
Chuki hii kwa kijana mwenzako sio nzur
Nadhan ni ugonjwa unaowasumbua wengi humu kuchukia watu waliowazidi either kiuchumi au kijamii.hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka
Naona hajakua. alafu cha ajabu anajirekodi mwenyewe. hizi sifa sio nzuri
Sasa huyo tbway ana uchumi gani !!!Nadhan ni ugonjwa unaowasumbua wengi humu kuchukia watu waliowazidi either kiuchumi au kijamii.
Vijana wenzetu wanaomiliki gari zenye vinasaba vya sport cars kama subaru na alteza wako rough sana barabarani
Am out of wordsSasa huyo tbway ana uchumi gani !!!
Yani mtu kuwa na Subaru legacy ya mwaka 2000 ndio tumuonee donge ??? Hivi watanznia akili hizi tunazitoa wapi ???? ''' Nikikwambia wewe unitajie kitu kipi alichonacho huyo tbway ambacho watu wanamuonea donge. Huyo dogo anaishi sinza meeda tofauti na gari hana asset yoyote ya kuonewa wivu na mtanzania yoyote.
Comments zooooote unazosoma hapa ni allerts anapewa ili aache tabia yake ya kuendesha gari hovyo kinyume na hapo atakuwa anaweka maisha yake rehani, huo ndio ukweli mchungu. Vijana wenzetu wanaomiliki gari zenye vinasaba vya sport cars kama subaru na alteza wako rough sana barabarani
Hakuna anayemchukia mkuu,watu wanampa tahadhari tu,vurugu anazofanya barabarani si kwamba zina hatarisha maisha yake tu bali hata na watumiaji wengine wa barabara,sasa hatuwezi kuona USHAMBA wake wa Kuendesha gari kwa fujo ije kuathiri watu wengine,ingekuwa anafanya hizo vurugu kwenye barabara za porini huko yupo peke yake haina tatizo.hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka
360 my ass[emoji23] [emoji23]hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka