Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

Ndio maana rushwa hufanyika kwa kificho. Yaliyotokea Kawe ni ushahidi. Maana kama kunge kuwa na rushwa ilikuwa balaaa.

Ni hivi, hata udhikiri uchi mchana kweupe hapo kwenye flyover ya mfugale, ccm haiwezi na haitakaa ipambane na rushwa. Hao pccb wako kutumikia siasa chafu zaidi, na sio kupambana na rushwa fullstop.
 
Ni hivi, hata udhikiri uchi mchana kweupe hapo kwenye flyover ya mfugale, ccm haiwezi na haitakaa ipambane na rushwa. Hao pccb wako kutumikia siasa chafu zaidi, na sio kupambana na rushwa fullstop.
Huwezi kuamini mpaka uone kwa macho yako. Maana vitu vingi unahisi tu.
 
Kwa sisi wa huku arusha mrisho gambo aligawa hela kama hana akili nzuri kabla hajatumbiliwa na magufuli aligawa rushwa hadharani na ndio kilicho sababisha rpc mkuu wa takukuru na mkuu wa usalama kutolewa lakini hata alie kuja nae hakufanya kazi yake vizuri wajumbe wote walipewa sh 150000 kwa kila mtu yani ni shida tu lakini uchaguzi huu ni rushwa tu ambae hakutoa hela ndio hao hawakupata kura hata moja
 
Huwezi kuamini mpaka uone kwa macho yako. Maana vitu vingi unahisi tu.

Kama ni kugaiwa kwa rushwa ni jambo lililo wazi sana. Sijui unataka nione kwa macho mara ngapi. Tatizo hakuna dhamira ya kweli ya kupambana na rushwa. Muongoza vita vya rushwa anaowategemea hao hao watoa rushwa kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Sasa hapo unategemea atafanya nini?
 
Hana mpango wa kuongeza muda. Na umesahau Pccb ilivyowadaka wale wana Ccm pale Ilala?
 
Barua inaandikwa baada ya uchaguzi na ipo dated 15 July unadhani ni authentic? Ccm imejisafisha haikumbatii rushwa acha kukariri upuuzi.
Rushwa zipo aina nyingi na usijinasibu Chadema hamna rushwa. Mbona kuna wabunge kibao viti maalumu walisema kweli walipata ubunge baada ya kugawa ngono kwa viongozi wa Chadema.
Hao wabunge ilikuaje wasijitokeze mapema?, Tunajua kinachoendelea, Sisi sio wajinga Kama ninyi mnaejificha kwenye shamba la karanga viuno viko hadharani😂😂😂😂😂😂Mwisho Nani kapelekwa mahakamani kwa madai hayo? Mtashindwa ninyi kumkamata mtu wa chadema na mlivyo na roho mbaya na uroho wa madaraka?. Mnanga'ang'ania madaraka kwa kuiba haki ya wananchi. Tunajuaa. Rushwa ndo nyumbani hapo chamani, Takukuru Ni wenzenu wanawalea. Mwizi hasubiri, Mpaka Muda huu waliokamatwa walitakiwa kuwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom