Ndio maana rushwa hufanyika kwa kificho. Yaliyotokea Kawe ni ushahidi. Maana kama kunge kuwa na rushwa ilikuwa balaaa.
Huwezi kuamini mpaka uone kwa macho yako. Maana vitu vingi unahisi tu.Ni hivi, hata udhikiri uchi mchana kweupe hapo kwenye flyover ya mfugale, ccm haiwezi na haitakaa ipambane na rushwa. Hao pccb wako kutumikia siasa chafu zaidi, na sio kupambana na rushwa fullstop.
Huwezi kuamini mpaka uone kwa macho yako. Maana vitu vingi unahisi tu.
Hana mpango wa kuongeza muda. Na umesahau Pccb ilivyowadaka wale wana Ccm pale Ilala?Kama ni kugaiwa kwa rushwa ni jambo lililo wazi sana. Sijui unataka nione kwa macho mara ngapi. Tatizo hakuna dhamira ya kweli ya kupambana na rushwa. Muongoza vita vya rushwa anaowategemea hao hao watoa rushwa kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Sasa hapo unategemea atafanya nini?
Hana mpango wa kuongeza muda. Na umesahau Pccb ilivyowadaka wale wana Ccm pale Ilala?
Kwa hiyo hadi mahakama na mwenendo wa kesi niuelezee!Hao waliodakwa na pccb wako mahakama gani?
Kwa hiyo hadi mahakama na mwenendo wa kesi niuelezee!
tindo mimi sitetei ila nasema ukweli.Ndio, maana ndio kazi uliyojipa ya kutetea mabaradhuli hapa jukwaani.
Hao wabunge ilikuaje wasijitokeze mapema?, Tunajua kinachoendelea, Sisi sio wajinga Kama ninyi mnaejificha kwenye shamba la karanga viuno viko hadharani😂😂😂😂😂😂Mwisho Nani kapelekwa mahakamani kwa madai hayo? Mtashindwa ninyi kumkamata mtu wa chadema na mlivyo na roho mbaya na uroho wa madaraka?. Mnanga'ang'ania madaraka kwa kuiba haki ya wananchi. Tunajuaa. Rushwa ndo nyumbani hapo chamani, Takukuru Ni wenzenu wanawalea. Mwizi hasubiri, Mpaka Muda huu waliokamatwa walitakiwa kuwa mahakamani.Barua inaandikwa baada ya uchaguzi na ipo dated 15 July unadhani ni authentic? Ccm imejisafisha haikumbatii rushwa acha kukariri upuuzi.
Rushwa zipo aina nyingi na usijinasibu Chadema hamna rushwa. Mbona kuna wabunge kibao viti maalumu walisema kweli walipata ubunge baada ya kugawa ngono kwa viongozi wa Chadema.