Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Dah! Huu ni ukweli mtupu. Sema shida ni kwamba in this generation of technology, nudes are the currencies of love. Na siku hizi watoto wanapewa simu wakiwa bado wadogo so hawajui repercussions za matendo yao. Sad generation!
Mwambie Lily pole.
 
Yaani ule pesa za mwanaume muda wote halafu uachanane naye kirahisi tu!

Rudisheni kwanza pesa zote ulizotafuna halafu ustaarabu wakuachana ufuate.

Dawa ni kuacha umalaya tu, jitunze uolowe kwa heshima.
 
Nina pc za ex wangu na nilimpiga bila yeye kujua baada ya kuona kwamba yeye ni mkorofi nilizipiga kwaajili ya tahadhari
Umewahi waza ikiwa wewe ndio ungekua umepigwa hizo picha? Ungejihisi vipi? Tuwe na ubinadamu basi.
 
Pumbav sana hili jamaa, kwanza unasikia raha gani kusex na mwanamke ambaye hana feeling na wewe. Mm ninapicha za girlfriend wangu ila siwezi fanya ujinga huo hata anikosee kitu gani sana tu nitazifuta kwenye simu then inakuwa over
Jamani acheni haya mambo ya kuhifadhi mapicha ya ex girlfriend siyo nzuri. ... inauma sama mtu kukufanyia unyama wa kiwango hiki
 
So mods wananyofoa comments sio

Futeni huu uzi acheni kunyofoa comments huo ni unaa
 
Ile series ya ozarks jamaa alikuwa anasemaga tu every choice has consequences

Kupiga zile picha matokeo ni hayo

Kukubali kuliwa matokeo yanafwata..
 
Sheria zipo lakini pamoja na Dunia kuwa kiganjani Lilian bado anajirahisisha tena kwa kuliwa bila ridhaa yake.

Kisa kwa niaba ya uchu wa ndoa, na kwa sababu ya watu wasiopenda furaha yake anaamua kuwaridhisha aliwe na mtu mmoja Innocent mwenye chuki "dead bustard" Innocent.

Angeamua kufuata hatua ili iwe somo kwa wengine hapo sidhani kama kuna cha kujifunza. Maana "mwanadamu akiamua lake huwezi kumbadilisha".


Muda huu kuna watu wanatumiana picha za utupu kwa raha zao na hawajali.
 
Ni hatari sana!!!
 
Umewahi waza ikiwa wewe ndio ungekua umepigwa hizo picha? Ungejihisi vipi? Tuwe na ubinadamu basi.
Siwezi kuelezea sana hapa ila huo ndiyo ungekuwa ushindi wangu
Mwanamke alikuwa mkorofi sana na anaconnection aliahidi nikijaribu kumuacha ntakiona nkazichukua kama tahadhari tu ila nashukuru tuliachana salama
 
Ni hatari sana!!!

Maria,

Tusiwe watu wa kujionea huruma kwa maumivu ya muda mfupi ambayo yatatuacha tukiwa jasiri siku zote. "Dead bustard" anaona kashinda kwa huruma ya Lilian. Fikiri Lilian angeamua kuweka wazi kwa familia yake na watu wa karinu wanaomuamini. Unafikiri huyo mwamba angekuwa wapi na hali gani ? Ni lazima tukubali kuna mambo yakishatokea yametokea. Njia zipo za kumsimamisha huyo mwamba na akawa na heshima,adabu,utii na upendo.
 
Anayekupenda hatokupiga picha za uchi

Na ukiwa na akili timamu hutopiga.picha za uchi


Halafu lili anajua polisi? Au hana connection mbona huyo kidume akiki ingemkaa sawa!!!
Kbsa amcheki polic makin yule kjn hatarudia
 
I wish he could have been killed ili dunia ibaki mahali salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…