Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Alikosea sana Lillian, ilibidi amshitaki polisi tu ili akaliwe uroda gerezani na wajanja wenzake
 
Sio rahisi kiasi hicho, aibu yake na depression itakumaliza. Huyo Lillian hakuwa na choice zaidi ya kulala na jamaa.

Lakini najiuliza, mwanaume uliyekamilika, unafanya hivyo ili upate nini hasa?

Hakuwa na choice?

Kwamba alishindwa kumkubalia akaenda na wapakuaji wakampakua huyo kaka akarekodiwa na yeye?!!
 
Akiripoti polisi kumbuka hubby to be atazipata taarifa na ndoa itaota mabawa. Hizi tricks mkuu hawa bullies huwawezi hata ufanyeje.

Kwamba mwanaume hajui mkewe hajamkuta bikra [emoji28][emoji28]
 
Naziweka cloud naziweka na password nasubiri ulete za kuleta.
 
Kwamba mwanaume hajui mkewe hajamkuta bikra [emoji28][emoji28]
Anajua kuwa sio bikra, lakini kujua kuwa kuna picha za utupu za mke wako mitandaoni ni fedheha kubwa sana.
 
Kama mwanamke anaweza kugongwa na muuza genge kwa kupewa nyanya sembuse ya hili la kurescue ndoa? Ni wanawake wangapi wanagongwa na waganga katika harakati za kurescue ndoa? Sioni la kushangaza hapa.
 
Upumbavu ni foolishness,,,,, na foolishness ni kilema kama urefu na ufupi - Mwl Jk Nyerere
 
Mwanaume timamu hawezi fanya alichofanyiwa Lily..enwei tuwe makini
Pole kwa rafikio
 
Uyoo mwanamke naye ni mpumbavu snaa elimu yake imemsaidia nn sasa ata iyoo ndoa naona ni kama kaenda kujichimbia kaburi Tu ishu ndogo kama iyoo ameshindwa kuisolve vp mmewe akitetereka kiuchumi ataweza kuisimamia familia yeye peke yake alishindwa kusuka mpango wowote amuweke uyoo jamaa ndani na kufungua kesi useless kabisa na elimu yake
 
Muache Zinaa musubiri waume na wengine wasubiri wake kwani dhambi ya zinaa haijawahi muacha mtu Salama

M ata simuonei huruma yeyote mna mnajitakia wenyewe kwa kuendekeza starehe zenu
utamrushiaje mtu picha kama hizo yni mtu na akili timamu kabisaaa

Huo ni mshahara wa aloyatenda asimlaumu mtu
 
Kwa hakika sii jambo jepesi kihivyo someone to have your nudes.....

Tumwombe tu Mungu, kwetu wanawake siyo jepesi kama kwa wanaume
 
Kwahiyo sisi wanaume unatushauri tuoe bikra eeeee???
 

Wewe utakuwa bikra wewe


Na wala huwajui wanaume

Mwanaume hanaga upuuzi wa kupenda kweli hasa km unadate mwanaume kamili.

Biblia haikukosea kumpa amri mwanaume ya mpende mkeo.Hamna kitu kigumu km mwanaume kupenda bila conditions hasa km unazungumzia mwanaume aliyekamilika kila idara.


Upendo wa mwanaume unategemea sana thamani ya mwanamke na jinsi anavyolinda heshima yake..

Mimi uniambia eti kuna mtu nilipiga nae picha za utupu anani blackmail NAKUACHA hapo hapo bila hatakuwaza mara 2 sababu mda wowote heshima yangu utaiweka rehani sinaga mambo ya kupenda kweli na taka taka za aina hiyo.Maana umeprove kuwa una date na wajinga wajinga ambao hawajielewi mimi sitakuweza.

Nikioa nikajua ulifanya alichofanya huyo dada napo penzi linaishia hapo.

I tend to select women of high quality &value.Sinaga selections za hisia na hivyo ndo walivyo wanaume wote ambao you can trust them to be leaders.

Men are investors sasa Nani yupo tyr kuwekeza kwenye biashara ambayo inaweza mpa hasara mda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…