Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Please, Zitto hakufukuzwa Bali alijifukuzisha baada ya kwenda mahakamani na akabwagwa.
Mkuu Mchumi econonist , haya mambo ya zamani kuna wengi hawayajui
  1. Jee wajua kuwa Zitto alitimiliwa na CCM ya Chadema ndipo akakimbilia mahakamani?
  2. Jee CC ya Chadema ina uwezo kumfukuza NKM?.
  3. Kumbe katiba ya Chadema ina kipengele cha mtu akienda mahakamani akashindwa ndio anakuwa amejifukuzisha. Jee wajua kipengele hicho ni kinyume cha katiba ya Tanzania?
  4. Jee wajua Zitto alishindwa kwa kitu kinachoitwa legal technicalities na sio points of law, ni ukweli usiofichika CC ya Chadema haina mamkaka ya kumfukuza NKM!. Do you know what ilikuja kuwa happened kwa watesi wa Zitto?.
  5. Sasa hiyo karma ya Zitto alifanya hayo, sasa hamuogopi karma ya hao 19, itakuwa ni kiasi gani?.
P
 
Wanabodi,

Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!.

Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa kuona mabaya fulani kupitia kitu kinachoitwa precognition kuwa yatawatokea watu fulani, usipowaambia, halafu yakatokea, utaumia sana kwa a guilty conscious kuwa I saw it coming but you did nothing to help out!. Lakini ukiona jambo baya kinakuja, ukiwaambia, unaweza kuzuia, ila ukiwaambia, wakapuuza, yakija kutokea ya kutokea, angalau hupati a guilt conscious ya dhamira yako kukusuta maana uliwaambia!.

Hivyo hili ni Bandiko la kujitolea kutoa msaada wa bure kabisa
kwa Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kitu kinachoitwa karma ni nini na kinafanyaje kazi "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Japo Wana Macho, Hawaoni!
Japo watu wote wana macho, wengi wana macho ya nje tuu yanayoona vitu vya nje, lakini hawana jicho la ndani (jicho la roho) kuona vitu visivyoonekanika kwa macho ya kawaida, hivyo wanasemwa kuwa wana macho lakini hawaoni.

Japo Wana Masikio, Hawasikii!
Vivyo hivyo kwa masikio, watu wengi wana masikio na wanasikia, ila masikio yao ni masikio ya nje, yanayosikia sauti za nje tuu, lakini hawana sikio la ndani (sikio la roho) kuweza kusikia sauti za ndani "voices from within" hivyo wanasemwa kuwa wana masikio lakini hawasikii.

Jicho la Ndani na Sikio la Ndani
Kila kiumbe anacho ila tumetofautiana sana uwezo wa kutambua, mfano kuna wanyama wana uwezo mkubwa zaidi ya binadamu kutambua hatari. Mfano mbwa anapotumia pua kunusa, amini usiamini, anachonusa sio harufu bali ni sauti ya ndani. Hivyo wale mbwa wanusa mizigo airports au wale panya watengua mabomu, ni wanatumia jicho la ndani na sikio la ndani.

Kwa vile sio watu wote wamejaliwa uwezo wa kutumia jicho la ndani kuona hatari iliyo mbele yetu sisi tuliojaaliwa jicho hilo, na sikio hilo tukiona kitu na tukisikia kitu cha hatari kinakuja kutokea ni vizuri tukasaidia.

Kila tukio, linatokea kwa sababu, everything happens for a reason, hivyo likitokea jambo baya lolote, wengi huishia kwenye kuliangalia tukio tuu la nini kilichotokea na matokeo yake tuu, lakini hawajiulizi the underlying causes za kilichopelekea tukio hilo kutokea, the reasos behind the underlying causes and the consequences.

Hata wengi wakijikwaa na kuanguka, huinuka kujifuta vumbi na kuendelea na safari yao, huwa hawarudi kuangalia wamejikwaa wapi, ili wakipita tena njia hiyo, wasije wakajikwaa tena pale pale na wakaanguka tena vile vile.

Kwenye ile dhana ya usaliti wa ule "Waraka wa Mabadiliko", Chadema ilijikwaa mahali kwenye issue ya kumtiimua Zitto, na kiukweli imekula bakora za karma za kutosha, na wahusika wakuu wametandikwa bakora zao, Chadema ikaangukia, na wahusika wakaanguka, kisha wakasimama na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia walipojikwaa bali walipoangukia. Ni Kwa nini Chadema wakijikwaa wakaanguka, wakainuka wakaangalia tuu walipoangukia na sio walipo jikwaa, kwasababu Chadema wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

Sasa kwenye hili la Halima Mdee, Chadema, imejikwaa tena pale pale ilipojikwa kwenye issue ya kumtumua Zitto, safari hii Chadema bado haijaanguka na bakora za karma bado hazijaanza kutembea.

Kwa vile Zitto alikimbilia mahakamani akashindwa, Chadema wakashangilia ushindi huo, nashukuru mimi niliwaeleza humu kuwaelimisha kuhusu karma, na nikawaambia the consequences ya matendo, hivyo kwenye hili la Halima Mdee, nae amekimbilia mahakamani, ikitokea na Halima akashindwa kama alivyoshindwa Zitto, hivyo Chadema wakafanikiwa kuwatimua rasmi hao wanaowaita Covid 19, naomba mimi niwe mtu wa kwanza kuwaambia the consequences will be very devastating, kwenye karma ya Zitto, angalau someone survived miraculously, I'm not sure kwenye hili, if anyone will!. Kwa kuchelea this, nimejitolea kuishauri Chadema the right thing to do na kuepuka adhabu ya karma.

Dhana ya Usaliti
Sijui ni wanachama wangapi wa Chadema waliusoma ule Waraka wa Mabadiliko, ukiwa ni msomaji mzuri wa maandishi ya mtu fulani, unajikuta unapata skills zinazoitwa graphology, ambapo ukisoma andiko fulani unamjua mwandishi ni nani, Waraka ule wa Mabadiliko sio kazi ya Zitto ile, mimi najua ni kazi ya Nani!.

Contents za Waraka huo ni hoja za ukweli tuu, na sio kweli kuwa lengo la waraka ule ni kufanya Mapinduzi ya uongozi wa juu, waraka ule ulikuwa ni waraka wa kuunda kitu kinachoitwa "a winning coalition" na kuitumia hiyo winning coalition kushinda nafasi zote za uongozi wa juu ndani ya Chadema kwenye uchaguzi wa ndani.

Kwanini Chadema Itandikwe na Karma?.
Karma inataka haki bin haki.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, CC ya Chadema inauwezo tuu wa kumsimamisha NKM lakini sio mamlaka yake ya nidhamu, hivyo CC ya Chadema haikuwa na uwezo wa kumfukuza Zitto. Mamlaka halali ya nidhamu ya NKM ni Baraza Kuu na mamlaka ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Zitto?. Bakora za karma zimeshughulikia.

The same same scenario ya kutumbuliwa kwa Zitto, imejirudia katika kutimuliwa kwa Halima Mdee, CC ya Chadema ina uwezo wa kumsimamisha tuu Mwenyekiti wa Bawacha, lakini sio mamlaka yake halali ya nidhamu. Mamlaka halali ya nidhamu ya Halima Mdee ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Mdee?. Bakora za karma zitashughulikia!.

A Way Forward
  1. Kitu muhimu cha kwanza kwa Chadema kufanya ni kutengua maamuzi yote kuwahusu hao wabunge 19 kuwa bado ni wanachama halali wa Chadema na kuwakubalia waendelee na ubunge wao.
  2. Baada ya kurejeshewa uanachama wao, wafute kesi iliyopo mahakamani
  3. Chadema kufanya a due process, uteuzi wao ulifanyikaje. Ikijiridhisha kuna jinai then waripoti rasmi polisi.
  4. Kule wathibitishe jinai ya forgery imefanywa na polisi kufanya uchunguzi wa kijinai na ikithibitishwa tuu jinai hiyo, then ni NEC ndio watakao watengua ubunge wao.
  5. Process ya mashitaka ya ndani ifanyike kwa mujibu wa katiba ya Chadema.
  6. Only ring leaders ndio waadhibiwe kwa kulazimishwa kuomba msamaha, na kuvuliwa vyeo vyote wabaki wanachama wa kawaida.
  7. Na wakosaji hao wakishupaza shingo zao then watimuliwe kwa haki na sio kwa kutumia a Kangaroo Court kama mwanzo.
  8. Hili likifanyika, Chadema itakuwa imewatendea haki wanachama wake.
  9. Adhabu ya bakora za karma ninazoziona hazitakuja, hazita itandika Chadema, Chadema itakuwa salama na viongozi wake watakuwa salama.
  10. Chadema will prosper again, uchaguzi wa 2025 watashinda baadhi ya majimbo.
Mwenye macho na aone Mwenye masikio na asikie!.

Jumamosi Njema

Paskali.
Mkuu Pascal, mimi kwa kweli sijui nani amejikwaa wapi na kuangukia wapi. Lakini kuwa mwangalifu na maneno ya Kiingereza kwa sababu yanakuharibia.
Sio sawa kusema guilty conscious! Inapaswa kuwa guilty conscience.
Kuna tofauti kati ya consciousness na conscience!
 
Ungeanza na makandokando ya chama tawala ..kana kwamba wote ni wapya hawakuwapo Utawala wa JPM ... HAO NDIO WAMEANGUKA VIBAYA WAMEANGUKA PUA ...WANAHANGAIKA KUPUKUTA NGUO WAKATI WANA MAJERAHA YA KUTIBU.... " Read between lines " - natumia kamsemo kako
 
Mkuu Paskali, huwa naheshimu mawazo yako mara nyingi lakini katika hili bado unaendelea kuji misdirect kwa utashi usiojulikana.

Siasa ni utashi na wa watu waliojiunga na nia moja kuendeleza kile wanacho amini.
Liangalie suala la kina Mdee kwa jicho tofauti na utaona mambo haramu ambayo kila mpenda ukweli lazima atakosa kuyaunga mkono.
Usiliangalie suala la Mdee kama la CHADEMA peke yake, lakini ni suala la Utawala Bora.

Kwanza kabisa ni FORGERY ya kuwapeleka kina Mdee bungeni, pengine Paskali unaliona ni la kirahisi rahisi tu.
CHADEMA are on record kuwa hawaja wapelekea majina NEC , ya hao kina Mdee na wenzake 19!
Kama State Machinnery ikishirikiana na Bunge(hii ni mihimili miwili) kufanya kazi kwa kutumia faked dicuments, basi kuna tatizo kubwa sana .
Kama leo Dola likiamua kwa kushirikiana na Bunge kufanya lolote kwa kughushi nyaraka, hapo kuna basic contradiction katika uendeshaji wa dola.

Pili, kwa akina Mdee kukubali ubunge kwa matamanio ya kipato, huku wakijua chama chao hakiridhiki na hilo, huo ni usaliti!
Hao ni watu wa kununuliwa, wataaminika vipi?

Tujue kwa uhakika kuwa kitendo cha NEC kiliasisiwa na nani kupeleka majina ya kina Mdee na wezake 19?
Bunge kuwapa kina Mdee & Co ubunge on un authentic documents hakiungwi mkono, si na CHADEMA tu bali hata tunaolingalia swala kwa nje.

Na hapo karma itatenda kama inavyopaswa.
Amepewa mzigo wa kutosha na Halima
 
Ungeanza na makandokando ya chama tawala ..kana kwamba wote ni wapya hawakuwapo Utawala wa JPM ... HAO NDIO WAMEANGUKA VIBAYA WAMEANGUKA PUA ...WANAHANGAIKA KUPUKUTA NGUO WAKATI WANA MAJERAHA YA KUTIBU.... " Read between lines " - natumia kamsemo kako
Zanzibar karibu wamuue babu wa miaka 83 na yupo kimya kama vile haoini, huyu ni Pascal Njaa
 
Wanabodi,

Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!.

Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa kuona mabaya fulani kupitia kitu kinachoitwa precognition kuwa yatawatokea watu fulani, usipowaambia, halafu yakatokea, utaumia sana kwa a guilty conscious kuwa I saw it coming but you did nothing to help out!. Lakini ukiona jambo baya kinakuja, ukiwaambia, unaweza kuzuia, ila ukiwaambia, wakapuuza, yakija kutokea ya kutokea, angalau hupati a guilt conscious ya dhamira yako kukusuta maana uliwaambia!.

Hivyo hili ni Bandiko la kujitolea kutoa msaada wa bure kabisa
kwa Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kitu kinachoitwa karma ni nini na kinafanyaje kazi "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Japo Wana Macho, Hawaoni!
Japo watu wote wana macho, wengi wana macho ya nje tuu yanayoona vitu vya nje, lakini hawana jicho la ndani (jicho la roho) kuona vitu visivyoonekanika kwa macho ya kawaida, hivyo wanasemwa kuwa wana macho lakini hawaoni.

Japo Wana Masikio, Hawasikii!
Vivyo hivyo kwa masikio, watu wengi wana masikio na wanasikia, ila masikio yao ni masikio ya nje, yanayosikia sauti za nje tuu, lakini hawana sikio la ndani (sikio la roho) kuweza kusikia sauti za ndani "voices from within" hivyo wanasemwa kuwa wana masikio lakini hawasikii.

Jicho la Ndani na Sikio la Ndani
Kila kiumbe anacho ila tumetofautiana sana uwezo wa kutambua, mfano kuna wanyama wana uwezo mkubwa zaidi ya binadamu kutambua hatari. Mfano mbwa anapotumia pua kunusa, amini usiamini, anachonusa sio harufu bali ni sauti ya ndani. Hivyo wale mbwa wanusa mizigo airports au wale panya watengua mabomu, ni wanatumia jicho la ndani na sikio la ndani.

Kwa vile sio watu wote wamejaliwa uwezo wa kutumia jicho la ndani kuona hatari iliyo mbele yetu sisi tuliojaaliwa jicho hilo, na sikio hilo tukiona kitu na tukisikia kitu cha hatari kinakuja kutokea ni vizuri tukasaidia.

Kila tukio, linatokea kwa sababu, everything happens for a reason, hivyo likitokea jambo baya lolote, wengi huishia kwenye kuliangalia tukio tuu la nini kilichotokea na matokeo yake tuu, lakini hawajiulizi the underlying causes za kilichopelekea tukio hilo kutokea, the reasos behind the underlying causes and the consequences.

Hata wengi wakijikwaa na kuanguka, huinuka kujifuta vumbi na kuendelea na safari yao, huwa hawarudi kuangalia wamejikwaa wapi, ili wakipita tena njia hiyo, wasije wakajikwaa tena pale pale na wakaanguka tena vile vile.

Kwenye ile dhana ya usaliti wa ule "Waraka wa Mabadiliko", Chadema ilijikwaa mahali kwenye issue ya kumtiimua Zitto, na kiukweli imekula bakora za karma za kutosha, na wahusika wakuu wametandikwa bakora zao, Chadema ikaangukia, na wahusika wakaanguka, kisha wakasimama na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia walipojikwaa bali walipoangukia. Ni Kwa nini Chadema wakijikwaa wakaanguka, wakainuka wakaangalia tuu walipoangukia na sio walipo jikwaa, kwasababu Chadema wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

Sasa kwenye hili la Halima Mdee, Chadema, imejikwaa tena pale pale ilipojikwa kwenye issue ya kumtumua Zitto, safari hii Chadema bado haijaanguka na bakora za karma bado hazijaanza kutembea.

Kwa vile Zitto alikimbilia mahakamani akashindwa, Chadema wakashangilia ushindi huo, nashukuru mimi niliwaeleza humu kuwaelimisha kuhusu karma, na nikawaambia the consequences ya matendo, hivyo kwenye hili la Halima Mdee, nae amekimbilia mahakamani, ikitokea na Halima akashindwa kama alivyoshindwa Zitto, hivyo Chadema wakafanikiwa kuwatimua rasmi hao wanaowaita Covid 19, naomba mimi niwe mtu wa kwanza kuwaambia the consequences will be very devastating, kwenye karma ya Zitto, angalau someone survived miraculously, I'm not sure kwenye hili, if anyone will!. Kwa kuchelea this, nimejitolea kuishauri Chadema the right thing to do na kuepuka adhabu ya karma.

Dhana ya Usaliti
Sijui ni wanachama wangapi wa Chadema waliusoma ule Waraka wa Mabadiliko, ukiwa ni msomaji mzuri wa maandishi ya mtu fulani, unajikuta unapata skills zinazoitwa graphology, ambapo ukisoma andiko fulani unamjua mwandishi ni nani, Waraka ule wa Mabadiliko sio kazi ya Zitto ile, mimi najua ni kazi ya Nani!.

Contents za Waraka huo ni hoja za ukweli tuu, na sio kweli kuwa lengo la waraka ule ni kufanya Mapinduzi ya uongozi wa juu, waraka ule ulikuwa ni waraka wa kuunda kitu kinachoitwa "a winning coalition" na kuitumia hiyo winning coalition kushinda nafasi zote za uongozi wa juu ndani ya Chadema kwenye uchaguzi wa ndani.

Kwanini Chadema Itandikwe na Karma?.
Karma inataka haki bin haki.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, CC ya Chadema inauwezo tuu wa kumsimamisha NKM lakini sio mamlaka yake ya nidhamu, hivyo CC ya Chadema haikuwa na uwezo wa kumfukuza Zitto. Mamlaka halali ya nidhamu ya NKM ni Baraza Kuu na mamlaka ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Zitto?. Bakora za karma zimeshughulikia.

The same same scenario ya kutumbuliwa kwa Zitto, imejirudia katika kutimuliwa kwa Halima Mdee, CC ya Chadema ina uwezo wa kumsimamisha tuu Mwenyekiti wa Bawacha, lakini sio mamlaka yake halali ya nidhamu. Mamlaka halali ya nidhamu ya Halima Mdee ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Mdee?. Bakora za karma zitashughulikia!.

A Way Forward
  1. Kitu muhimu cha kwanza kwa Chadema kufanya ni kutengua maamuzi yote kuwahusu hao wabunge 19 kuwa bado ni wanachama halali wa Chadema na kuwakubalia waendelee na ubunge wao.
  2. Baada ya kurejeshewa uanachama wao, wafute kesi iliyopo mahakamani
  3. Chadema kufanya a due process, uteuzi wao ulifanyikaje. Ikijiridhisha kuna jinai then waripoti rasmi polisi.
  4. Kule wathibitishe jinai ya forgery imefanywa na polisi kufanya uchunguzi wa kijinai na ikithibitishwa tuu jinai hiyo, then ni NEC ndio watakao watengua ubunge wao.
  5. Process ya mashitaka ya ndani ifanyike kwa mujibu wa katiba ya Chadema.
  6. Only ring leaders ndio waadhibiwe kwa kulazimishwa kuomba msamaha, na kuvuliwa vyeo vyote wabaki wanachama wa kawaida.
  7. Na wakosaji hao wakishupaza shingo zao then watimuliwe kwa haki na sio kwa kutumia a Kangaroo Court kama mwanzo.
  8. Hili likifanyika, Chadema itakuwa imewatendea haki wanachama wake.
  9. Adhabu ya bakora za karma ninazoziona hazitakuja, hazita itandika Chadema, Chadema itakuwa salama na viongozi wake watakuwa salama.
  10. Chadema will prosper again, uchaguzi wa 2025 watashinda baadhi ya majimbo.
Mwenye macho na aone Mwenye masikio na asikie!.

Jumamosi Njema

Paskali.
Paskali, bandiko lako limenikumbusha enzi za sahani za santuri, zile sahani zilikuwa zinatengenezwa kwa kutumia nta, sasa ikipata mkwaruzo kidogo basi sindano ya gramafoni itashindwa kuvuka mkwaruzo hivyo wimbo utajirudiarudia hapohapo mpaka kichwa cha santuri ukishitue kidogo ili kivuke mkwaruzo, sasa kichwa cha gramafoni(HIS MASTER'S VOICE) ni, ni Paskali Ma, ma, Mayalaaaa.
I wish someone could overhaul your brain and have something new from your head.
Paskali wewe alishasema rekoding'i iliyofanyika Mwanza inauthibitisho kuwa Mbowe ni gaidi, sasa ni ushauri gani unataka kuipa Chadema! Kwani ukiiacha Chadema na kuanguka kwake wewe utapungukiwa nini? Kwani mkwamo wa Tanzania unatokana na Chadema? Waache hao magaidi na ugaidi wao unaouamini.
I like your likes.
 
Hii issue ya hawa mashujaa Wabunge 19 wa Chadema walioipigania Chadema kwa machozi jasho na damu, ni a developing story na a continuous story, inaendelea natunaendelea nayo mpaka iishe, hivyo Mkuu denooJ have popcorns za kutosha, sit and watch, it's not over until it's over!

Kiukweli nataka Kitila asamehewe kwasababu Chadema wote waliopo mpaka leo mpaka kesho, haina mtu wa kalibre ya Kitila, kwa 2025, Kitila hatapitishwa popote CCM kwa sababu fulani, lakini akigombea popote kupitia chama chochote atashinda, hivyo Kitila ni fursa, anaweza kurudia kulamba matapishi yake akarejea ACT, au Chadema mkimhitaji Chadema ndio imuombe msamaha, lakini kwa vile yeye ni academician anaweza kuamua kustaafu siasi na kurejea kwenye academia pale pale UDSM au chuo chochote tena sasa ni kwa level ya kamsela!.

No sio walileta ujuaji mwingi, ni wajuaji kiukweli, hebu niambia baada ya kumtimua Kitila, Chadema ina think tank gani?. Watu walioona madhaifu ya Chadema, wakafanya study ya jinsi ya kuiokoa Chadema, wakaandiko andiko "Waraka wa Mabadiliko", Chadema baada ya kuupata waraka ule, badala ya kuzifanyia kazi hoja za waraka ule, wao wakajikita kwenye dhana ya usaliti, waombe msamaha wa nini?, wewe unaombwa usaidiwe unakataa msaada anayetaka kukusaidia ndio akuombe msamaha, what for? kwa kosa lipi?. Kitila ni mtaji ambao umekalia kuti kavu CCM.

Haya sio mambo ya imani kusema ninaamini, haya ni mambo ya facts, rules and regulations hili nimelisemea vizuri kabisa hapa Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Hapa ndipo mahali ambapo watu kama akina sisi tunahitajika sana, kuielimisha jamii na umma. Vyama vya siasa viko kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, na uanachama wa chama cha siasa ni kwa mijibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, vivyo hivyo kwenye kufutwa uanachama, uanachama pia unafutwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni. Kichadema imewafuta uanachama wao, hao sii wanachama wake, lakini kwa sababu ufutaja wa uanachama wao, umefanywa kihuni huni tuu, kiukweli na kiuhalisiana kikatiba, hao bado ni wanachama halali wa Chadema ndio maana bado ni wabunge!. Kunapotokea mgongano wowote kati ya katiba na sheria au taasisi yoyote, katiba will prevail. Hili pia ni somo nililiendesha humu Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

Mkuu denooJ kwanza asante kwa your recognition ya lile "banda" la "constitutional law" nililolipata rasmi 2007 baada ya kugraduate LL.B, UDSM, more than 15 years ago!, kwa vile I have always been a journalist, nimerealize kuwa na "banda" la "constitutional law" ambalo hulifanyii kitu chochote zaidi ya kuandika humu jf, kuwa nina "banda" la "constitutional law", haisaidii kitu, hivyo nimeamua kuanzia mwezi ujao, nitaanza ku run both concurrently as a journalist and as a lawyer ili hilo banda nikalifanyie kazi kuisaidia jamii, hivyo nitalitendea haki banda langu kwa kutoa elimu ya katiba kwa umma kupitia TV series.

Hapa Mkuu denooJ nakuomba sana be honest kwasababu hapa ndipo karma inapolalia, Chadema walifuata sheria na taratibu zao kuwaadhibu, naomba unielimishe walifuata vipi?. Ikikupendeza anzisha uzi wa jinsi Chadema inavyofuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni katika kuwaadhibu watovu mbalimbali wa nidhamu ndani ya chama.
Vinginevyo ukipata muda, pitia nyuzi hizi, humu ujibu Chadema ilifanyagaje
Anza na
Hapa Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
Kisha hapa Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
Kisha Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Na sasa Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja. Hongera sana Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Hapa tena Mkuu denooJ naomba nikupe big up, kwasababu "you have the powers from within!". Kwanza nasema asante kwa kuzikubali makala zangu za kwa kwa maslahi ya taifa na makala ya leo ni HII HAPA YA FUPA LILIWASHINDA WATANGULIZI,
Nimekupa big up na kukupongeza kuwa you have the powers za jicho la ndani la kubaini kina ninachoandika kuwatetea hao wabunge 19, huwa naandika kwa maslahi ya CCM and nothing more!. Yaani unanifanya nijione kama mwanga aliyebambwa akiwanga barazani kwa watu alfajiri akiwa kama alivyozaliwa!. Hiki ninachofanya kwenye bandiko hili ni kuisaidia Chadema, kwa Zitto ilijikwaa, ikaanguka, na ikala kichapo cha bakora za karma za kutosha, kwa hili la Halima Mdee, Chadema imejikwaa tena!, hivi karma wenzetu hamzioni?, mbona hamuisaidii Chadema kuziepuka?. Unamjua aliyebeba the heaviest load ya karma ya Zitto ni nani and how hard it hits na the consequences, mimi namjua atakayebaba karma ya kina Mdee, mimi sio Chadema, naogopa, kumbe kuna watu mnamacho, mbona hamuisaidii Chadema?. Isipotenda haki this time, take it from from me, the consequences will be devastating!.

P.
Paskali nakumbuka niliwahi kukusoma mahala ukidai umri wako umekwenda hutaki tena kusumbuana na watu, naamini uko kwenye practical ya hiyo kauli.

Hivi Kitila Mkumbo ambaye unasema hawezi kupitishwa popote na CCM kugombea 2025, bado unamuita ni "think tank" kwa wengine?!

Niliposema Kitila ni mjuaji, labda kosa langu sikumalizia sentensi, Kitila ni mjuaji wa muharibifu, kama angekuwa na maarifa ya maana angetengeneza namna nzuri ya kundi lao kuingia kwenye uongozi wa Chadema, lakini badala yake aliandaa mapinduzi haramu.

Kuhusu kufukuzwa wale wanawake na Chadema, sioni uhuni wowote, wewe unataka kulazimisha kuchanganya kati ya Katiba ya nchi, na Katiba ya Chadema, kina Mdee wamefukuzwa kihalali kwa Katiba ya Chadema ambayo msajili aliipitisha.

Katiba ya nchi pia huwezi kuitumia kuwakingia kifua kina Mdee kwasababu ndio inayotaka mbunge sharti awe anatokana na chama cha siasa bungeni, hapa mwenyewe unakiuka Katiba ya nchi kwa kuendelea kuwatetea hao wanawake.

Naamini kama ungeandika haya unayotuwekea sisi huku kwenye mtihani wako wa "constitutional law" usingepata hilo "banda".

Pia unasema Chadema imeumizwa na "karma" baada ya kuwaonea wale madiwani na Zitto. Pasco unaficha madhila wanayofanyiwa Chadema kwenye chaguzi zetu ili kuifichia aibu CCM yako, halafu unageuza hayo madhila [ wizi wa kura etc] kuwa ndio "Karma" kwa mtazamo wako, wacha usanii.

Hata yule unayesema Karma ilimuumiza vibaya, nae hakuumizwa na Karma kwa sababu alifuata wajibu wake, bali aliumizwa na kiongozi aliyekuwepo aliyekuwa na tabia za kidikteta. Zitto kujipeleka mahakamani alijua fika ambacho kingempata, na ndicho kilimpata.

Vinginevyo, kama hiyo ndio Karma, basi hata hiyo "Karma" yenyewe haitendi haki, nayo ni kama CCM na mambo yake tu, mimi siiamini.

Mwisho kuhusu taratibu unazodai hazifuati sheria zinazotumiwa na Chadema kuwafukuza wanachama wake wasaliti, hapa napo unaleta ujanja tu.

Hao jamaa hufukuzwa baada ya kufuatwa taratibu zote za kichama, na ndio maana hata wakienda mahakamani hushindwa kesi, lakini wewe Paskali unataka kujiweka juu ya KK ya Chadema, Baraza Kuu la Chadema, na mahakama zetu, kwamba wewe ndie unajua zaidi ya hao wote!

Naanza kuona nawe utakuwa na ule ujuaji wa kina Kitila na Zitto, ujuaji wa uharibifu.
 
Acha njaa zilizopitiliza nafahamu unajipendekeza ili upate vitenda vya kufanya PA sabasaba kutoka Kwenye taasisi za ccm.
Unafahamu kabisa pasipo shaka kwamba hakuna kikao chochote cha chadema kilichokaa na kupitisha majina Yale kama katiba inavyoeleza unajifanya huoni hilo.
Yule nusrat alikuwa mahabusu wakatolewa Bila kufata tararibu za kimahakama wala za kipolisi akasafiri usiku kwenda dodoma kuapishwa kesho yake.. Sijawahi kushuhudia toka nijielewe wabunge kuapishwa kihuni namna ile alivyofanya ndugai nje ya utaratibu wa kuapishwa Kwa wabunge
Wewe jamaa unajishushia hadhi Kwa mabandiko yako ya kinafki.
Watu wote wanaojielewa wanajua suala la kina covid 19 limeshakwisha sio tena wana chadema na Kwa mujibu wa katiba hawastahili kuwa wabunge
Na kama kwenda polisi Kwa nini NEC baada ya malalamiko ya chadema wao NEC wasiripoti polisi ili waichunguze hiyo barua kama ni ya kweli au sio kwani wao ndio wamedanganywa
Paskali sijui kala maharage ya wapi huyu mtu, yaani anajitoa ufahamu to the maximum
 
Huyu hajielewi, anazungumza kana kwamba kuna chochote CDM wangeweza au wanaweza kufanya C19 watoke mjengoni.
Paskali mimi ni fan wa liver kwahiyo maisha yangu yote ni kuiombea mabaya man u sasa wewe kutoa ushauri kwa cdm wakati ni kada mtiifu huo ni uongo wa dhahiri, kuhusu kovid 19 kuwa bungeni wewe mwenyewe nafsi yako inafahamu nini kilitokea, ndiomaana watu wanashindwa kujadili mada wanakujadili wewe. CDM inafanya hatua zake ili mwisho wa siku ibaki kwenye kumbukumbu walichukua hatua chamani, wakina mdee hawatatoka mule hadi waliowaingiza waamue kuwatoa
 
Hakuna Karma,

Mambo ya kuamini KARMA ni ujinga.
Hii issue ya hawa mashujaa Wabunge 19 wa Chadema walioipigania Chadema kwa machozi jasho na damu, ni a developing story na a continuous story, inaendelea natunaendelea nayo mpaka iishe, hivyo Mkuu denooJ have popcorns za kutosha, sit and watch, it's not over until it's over!

Kiukweli nataka Kitila asamehewe kwasababu Chadema wote waliopo mpaka leo mpaka kesho, haina mtu wa kalibre ya Kitila, kwa 2025, Kitila hatapitishwa popote CCM kwa sababu fulani, lakini akigombea popote kupitia chama chochote atashinda, hivyo Kitila ni fursa, anaweza kurudia kulamba matapishi yake akarejea ACT, au Chadema mkimhitaji Chadema ndio imuombe msamaha, lakini kwa vile yeye ni academician anaweza kuamua kustaafu siasi na kurejea kwenye academia pale pale UDSM au chuo chochote tena sasa ni kwa level ya kamsela!.

No sio walileta ujuaji mwingi, ni wajuaji kiukweli, hebu niambia baada ya kumtimua Kitila, Chadema ina think tank gani?. Watu walioona madhaifu ya Chadema, wakafanya study ya jinsi ya kuiokoa Chadema, wakaandiko andiko "Waraka wa Mabadiliko", Chadema baada ya kuupata waraka ule, badala ya kuzifanyia kazi hoja za waraka ule, wao wakajikita kwenye dhana ya usaliti, waombe msamaha wa nini?, wewe unaombwa usaidiwe unakataa msaada anayetaka kukusaidia ndio akuombe msamaha, what for? kwa kosa lipi?. Kitila ni mtaji ambao umekalia kuti kavu CCM.

Haya sio mambo ya imani kusema ninaamini, haya ni mambo ya facts, rules and regulations hili nimelisemea vizuri kabisa hapa Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Hapa ndipo mahali ambapo watu kama akina sisi tunahitajika sana, kuielimisha jamii na umma. Vyama vya siasa viko kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, na uanachama wa chama cha siasa ni kwa mijibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, vivyo hivyo kwenye kufutwa uanachama, uanachama pia unafutwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni. Kichadema imewafuta uanachama wao, hao sii wanachama wake, lakini kwa sababu ufutaja wa uanachama wao, umefanywa kihuni huni tuu, kiukweli na kiuhalisiana kikatiba, hao bado ni wanachama halali wa Chadema ndio maana bado ni wabunge!. Kunapotokea mgongano wowote kati ya katiba na sheria au taasisi yoyote, katiba will prevail. Hili pia ni somo nililiendesha humu Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

Mkuu denooJ kwanza asante kwa your recognition ya lile "banda" la "constitutional law" nililolipata rasmi 2007 baada ya kugraduate LL.B, UDSM, more than 15 years ago!, kwa vile I have always been a journalist, nimerealize kuwa na "banda" la "constitutional law" ambalo hulifanyii kitu chochote zaidi ya kuandika humu jf, kuwa nina "banda" la "constitutional law", haisaidii kitu, hivyo nimeamua kuanzia mwezi ujao, nitaanza ku run both concurrently as a journalist and as a lawyer ili hilo banda nikalifanyie kazi kuisaidia jamii, hivyo nitalitendea haki banda langu kwa kutoa elimu ya katiba kwa umma kupitia TV series.

Hapa Mkuu denooJ nakuomba sana be honest kwasababu hapa ndipo karma inapolalia, Chadema walifuata sheria na taratibu zao kuwaadhibu, naomba unielimishe walifuata vipi?. Ikikupendeza anzisha uzi wa jinsi Chadema inavyofuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni katika kuwaadhibu watovu mbalimbali wa nidhamu ndani ya chama.
Vinginevyo ukipata muda, pitia nyuzi hizi, humu ujibu Chadema ilifanyagaje
Anza na
Hapa Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
Kisha hapa Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
Kisha Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Na sasa Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja. Hongera sana Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Hapa tena Mkuu denooJ naomba nikupe big up, kwasababu "you have the powers from within!". Kwanza nasema asante kwa kuzikubali makala zangu za kwa kwa maslahi ya taifa na makala ya leo ni HII HAPA YA FUPA LILIWASHINDA WATANGULIZI,
Nimekupa big up na kukupongeza kuwa you have the powers za jicho la ndani la kubaini kina ninachoandika kuwatetea hao wabunge 19, huwa naandika kwa maslahi ya CCM and nothing more!. Yaani unanifanya nijione kama mwanga aliyebambwa akiwanga barazani kwa watu alfajiri akiwa kama alivyozaliwa!. Hiki ninachofanya kwenye bandiko hili ni kuisaidia Chadema, kwa Zitto ilijikwaa, ikaanguka, na ikala kichapo cha bakora za karma za kutosha, kwa hili la Halima Mdee, Chadema imejikwaa tena!, hivi karma wenzetu hamzioni?, mbona hamuisaidii Chadema kuziepuka?. Unamjua aliyebeba the heaviest load ya karma ya Zitto ni nani and how hard it hits na the consequences, mimi namjua atakayebaba karma ya kina Mdee, mimi sio Chadema, naogopa, kumbe kuna watu mnamacho, mbona hamuisaidii Chadema?. Isipotenda haki this time, take it from from me, the consequences will be devastating!.

P.
 
Hakuna Karma,

Mambo ya kuamini KARMA ni ujinga.
Mkuu Yoda , naheshimu mawazo yako, kwa vile mambo ya karma ni mambo ya imani, siwezi kulazimisha ninachoamini mimi na wengine waamini, hivyo naheshimu msimamo wako kutoamini karma ila nakuomba isiitukane karma kuwa ni ujinga!.

Hata Waislamu wasioamini Utatu Mtakatifu wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu hawaruhusiwa kutuambia ni ujinga, au kusema Yesu sii Mungu, au Sisi Wakristu tunao amini katika Yesu na sio kwa Mtume, haturuhusiwi kubeza imani za wengine, usiamini kwenye karma ila karma sio ujinga na hata kama huamini kuwa karma ipo, ukifanya jambo baya linalo stahili hukumu ya karma, karma itakutandika tuu uwe una amini au huamini na hizo bakora za karma unaweza kuziita jina lolote, ajali, majanga, bahati mbaya, mikosi, laana, radhi, etc ila karma ipo and it's for real!.
P
 
Inasikitisha sana kwa mwandishi nguli na msomi wa sheria kuwa chawa wa Halima. Watu wanaroga vibaya jamani duh!!!!
 
Attachments

  • images (32).jpeg
    images (32).jpeg
    30 KB · Views: 5
Acha njaa zilizopitiliza nafahamu unajipendekeza ili upate vitenda vya kufanya PA sabasaba kutoka Kwenye taasisi za ccm.
Unafahamu kabisa pasipo shaka kwamba hakuna kikao chochote cha chadema kilichokaa na kupitisha majina Yale kama katiba inavyoeleza unajifanya huoni hilo.
Yule nusrat alikuwa mahabusu wakatolewa Bila kufata tararibu za kimahakama wala za kipolisi akasafiri usiku kwenda dodoma kuapishwa kesho yake.. Sijawahi kushuhudia toka nijielewe wabunge kuapishwa kihuni namna ile alivyofanya ndugai nje ya utaratibu wa kuapishwa Kwa wabunge
Wewe jamaa unajishushia hadhi Kwa mabandiko yako ya kinafki.
Watu wote wanaojielewa wanajua suala la kina covid 19 limeshakwisha sio tena wana chadema na Kwa mujibu wa katiba hawastahili kuwa wabunge
Na kama kwenda polisi Kwa nini NEC baada ya malalamiko ya chadema wao NEC wasiripoti polisi ili waichunguze hiyo barua kama ni ya kweli au sio kwani wao ndio wamedanganywa
Paskali sijui kala maharage ya wapi huyu mtu, yaani anajitoa ufahamu to the maximum
Mkuu Yoda , naheshimu mawazo yako, kwa vile mambo ya karma ni mambo ya imani, siwezi kulazimisha ninachoamini mimi na wengine waamini, hivyo naheshimu msimamo wako kutoamini karma ila nakuomba isiitukane karma kuwa ni ujinga!.

Hata Waislamu wasioamini Utatu Mtakatifu wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu hawaruhusiwa kutuambia ni ujinga, au kusema Yesu sii Mungu, au Sisi Wakristu tunao amini katika Yesu na sio kwa Mtume, haturuhusiwi kubeza imani za wengine, usiamini kwenye karma ila karma sio ujinga na hata kama huamini kuwa karma ipo, ukifanya jambo baya linalo stahili hukumu ya karma, karma itakutandika tuu uwe una amini au huamini na hizo bakora za karma unaweza kuziita jina lolote, ajali, majanga, bahati mbaya, mikosi, laana, radhi, etc ila karma ipo and it's for real!.
P
Kwahiyo waliompiga lisu risasi karma yao tayari au bado?
 
Back
Top Bottom