Mkuu JokaKuu, kwanza niendelee kukushukuru tena na tena kwa hoja zako mujarab kwenye issue hii ya ubunge wa kina Mdee.
Rules are rules and must always be obeyed, kukitokea jinai yoyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi, unless ni jinai ya bodily injury or harm, then hatua ya kwanza ni saving lives ndipo PF.3 ifuate tena kuna lots of lives wasted kwa hospital kukataa kuwapokea majeruhi mpaka waje na PF.3.
Lissu kabla hajashambuliwa alifanya press conference na kueleza anafuatiliwa hadi kutaja number ya gari!, what did the police do?. They did nothing kwasababu Lissu was supposed to report polisi na sio kuishia kwenye press conference kwa kuamini taarifa yake imelifikia Jeshi Letu la Polisi!.
The facts that Chadema walitoa taarifa hawateui viti maalum, na baada ya wabunge waliojiteua kuapishwa was a very good reason why Chadema should have reported immediately this crime kwasababu ni uchaguzi wa kijinai ndio ungewapa Chadema a documentary evidence ya basis ya uamuzi wa kuwatimua kupitia zile Kangaroo Court zake.
Serikali haiwekani kuchunguza jinai ya a private entity. Vyama vya siasa ni public entities kwa upande wa katiba zake na matumizi ya fedha za ruzuku lakini day to day operations, ni like a private entity.
Na hili sio kwa Chadema tuu, hata CCM, sote tunajua udukuzi ni kosa la jinai, ukifanyika udukuzi wowote jeshi la polisi lilipaswa kuchunguza, kuna watu walidukuliwa, voices notes zao za private conversations zikamwagwa public against the right to privacy, what did Jeshi la polisi do?, they did nothing!. Sababu, no one reported!.
Rais wetu wa wakati huo akakasirika kwasababu ya voice notes hizo, akawatumbua watu na kukielekeza chama kuwachukulia hatua, nilieleza humu, it was all wrong Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
Kama kuwasaidia wenzetu Chadema kwa kuwashauri the right thing to do ni kujitoa ufahamu, then be it, na vipi ushauri wa kuitaka itende haki ili kuepuka karma?
A very valid question, thanks God mimi namjua aliye wateua kisha akawaita mahali kuwabembeleza wajitoe, wakamgomea, hivyo akawageuka na hapa nimewatajia Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Now you coming to the right sense, the bone of contention is the appointment letter. Niliuliza humu hamjibu Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
The one who alleges must prove
Hapa umesema kweli tupu Nakiri media yetu tuna problem Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
Naomba na mimi nikiri udhaifu, kwa vile najijua, na uwezo wangu wa kuuliza maswali naujua and what I'm capable of, ni kweli kabisa kwenye hili, sijatimiza wajibu wangu kikamilifu.
na hili naliombea msamaha nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa Sana!.
P
1. Kamati Kuu ya Cdm haikuteua wabunge wa viti maalum. Hilo halina mjadala.
2. Kamati Kuu ndiyo mamlaka pekee na ya mwisho ktk kuteua wabunge wa viti maalum kwa upande wa chama chao.
3. Huenda Halima Mdee na wenzake wamegushi barua ya utambulisho na kuiwasilisha NEC ambayo ili-forward majina yao bungeni.
4. Cdm imeiandikia NEC kuwataka wawape ushahidi wa nyaraka za utambulisho za kina Halima kuwa wabunge. Tume /NEC haijawapa ushirikiano.
5. Upo uwezekano wakina Halima waliteuliwa kihuni tu kwa utashi, bila hata barua ya kugushi, na wakaapishwa kuwa wabunge.
6. Cdm wametimiza wajibu wao kwa kuwaadhibu Halima na wenzake. Suala hilo sasa limekwisha kwa upande wa Cdm.
7. Hakuna shaka kwamba Halima na wenzake wamekwenda bungeni bila kuteuliwa na chama chao. Vyombo vya DOLA vichunguze na kuwabaini waliohusika na kashfa hii.
8. Waandishi wa habari za kiuchunguzi wafanye kazi yao kwa kufukua uozo uliowezesha Halima na wenzake kuwa wabunge.