Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Kwahiyo waliompiga lisu risasi karma yao tayari au bado?
Kwenye shambulio la Lissu kuna wahusika wa aina 3 na wote karma imeisha deal nao.
  1. Waliopanga, hawa wameshughuliwa wote.
  2. Waliotekeleza, hawa kama walikuwa wanatekeleza amri halali, then karma haiwahusu. Lakini kama walijua ni amri batili, na bado wanatekeleza, nao karma imeisha deal nao.
  3. Wale ambao hawakushiriki kupanga wala kutekeleza ila walijua, na hawakuchukua hatua yoyote zaidi ya kunyamazia uhalifu ule, nao wana sehemu yao ya karma.
  4. Nimelizungumza hapa, Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
  5. Wahusika ni hawa Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  6. Nawajua Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
  7. Sisi media tunaweza Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
  8. Pia tumejitolea kusaidia WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
P
 
..hakuna kikao cha Kamati Kuu ya Cdm kilichokaa na kuwapitisha Halima na wenzake kwenda bungeni.

..watu wanajitoa ufahamu tu, lakini inajulikana kwamba Halima na wenzake hawakuteuliwa na vikao halali vya chama, hivyo hawastahili kuwa bungeni.
 
Kwenye shambulio la Lissu kuna wahusika wa aina 3 na wote karma imeisha deal nao.
  1. Waliopanga, hawa wameshughuliwa wote.
  2. Waliotekeleza, hawa kama walikuwa wanatekeleza amri halali, then karma haiwahusu. Lakini kama walijua ni amri batili, na bado wanatekeleza, nao karma imeisha deal nao.
  3. Wale ambao hawakushiriki kupanga wala kutekeleza ila walijua, na hawakuchukua hatua yoyote zaidi ya kunyamazia uhalifu ule, nao wana sehemu yao ya karma.
  4. Nimelizungumza hapa, Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
  5. Wahusika ni hawa Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  6. Nawajua Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
  7. Sisi media tunaweza Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
  8. Pia tumejitolea kusaidia WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizo.mea kuwa haiwezi?
P

Na wewe kwa huu uzushi unaosambaza[ najua ukweli unaujua] karma iko mlangoni kwako
 
..hakuna kikao cha Kamati Kuu ya Cdm kilichokaa na kuwapitisha Halima na wenzake kwenda bungeni.
Mkuu JokaKuu, mchakato wa viti maalum una sehemu 3 au hatua Kuu 3.
  1. Uteuzi wa Vyama, kupitishia majina ya wapendekezwa wake wa viti maalum na kuyakabidhi NEC 30 days kabla uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi. Huu ni mchakato binafsi wa vyama, vitajijua vyenyewe vinachaguanaje, kama ni CC, NEC au utaratibu wowote, na tumeshuhudia watu wakitea ndugu zao, wake zao, wapenzi wao na kuna mtu mule yeye yupo Bungeni, kamleta binti yake kamleta na mkewe, mke wa mtoto wake wa kiume, huku viongozi wakoingiza hadi vidumu vyao, this doesn't matter to NEC. Ila baada ya chama kupokea Idadi ndio kinatoa barua na kuwasainia fomu.
  2. NEC itapokea barua kutoka chama husika, as long as barua hiyo ni authentic bonafide genuine na imesainiwa na official bearers. Hivyo Kwa NEC kinacho matter ni barua, sio kikao or process yoyote ya ndani. Hivyo hapa NEC ni innocent victim hawezi kujua kama barua hiyo ni fake nakumefanyika forgery. Ni jukumu la Chadema kuuthibisha forgery. Hivyo NEC ikawapa barua za uteuzi, authentic bonafide genuine kwenda Bungeni.
  3. Bunge likawapokea na kuwaapisha kuwa wabunge halali kabisa wa Chadema. Bunge halihusiki na uteuzi wa Chadema linaitambua NEC only, kama Chadema wana issue yoyote ni NEC iwatengue.
  4. Kama Chadema haikuwahi kuwapitisha, hii maana yake ni kuna forgery imefanyika, kwanini vikao vya Chadema vimefikia maamuzi bila kufanya a due process?!.
  5. Chadema ina katiba yake na katiba hiyo ina onyesha mamlaka za nidhamu na utaratibu wa kuendesha nashauri ya nidhamu, kwanini haifuatwi?!. Halafu hawa watu ndio tulitaka tuwakabidhi nchi!. I was very right nilipouliza Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
watu wanajitoa ufahamu tu, lakini inajulikana kwamba Halima na wenzake hawakuteuliwa na vikao halali vya chama, hivyo hawastahili kuwa bungeni.
He who alleges must prove, NEC imepokea barua ya uteuzi kutoka Chadema na kuwateua kumpa Spika, kosa la Bunge ni lipi?.

Kama kuna forgery yoyote popote ndani Chadema kwenye uteuzi, then it's upon Chadema to prove that, hili lingefanyika ni NEC ingewatengua

P
 
Pascal Mayalla,

..kuna kujitoa ufahamu kuhusu suala la kina Halima.

..Chadema wameeleza over and hakuna kikao cha CC ya chama kilichowateua kina Halima.

..Na chama kimekwenda mbali mpaka kuwachukulia hatua za kinidhamu kwa kuwafukuza uanachama.

..Mpaka hapo Chadema wametimiza wajibu wao. Kuendelea kuwadai Chadema wafanye hili au lile, au zaidi ya walichofanya, ni kujitoa ufahamu.

..Haya mambo yakiendelea namna hii watu watakata tamaa na demokrasia yetu, na watakosa imani ya mifumo yetu ya utawala.

..Suala la kina Halima kuna baadhi wanadhani wanawakomoa Chadema, bila kujali kwamba wanasababisha mmomonyoko wa imani ya wananchi dhidi ya Nec, bunge, mahakama, na serikali.
 
Mkuu JokaKuu, mchakato wa viti maalum una sehemu 3 au hatua Kuu 3.
  1. Uteuzi wa Vyama, kupitishia majina ya wapendekezwa wake wa viti maalum na kuyakabidhi NEC 30 days kabla uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi. Huu ni mchakato binafsi wa vyama, vitajijua vyenyewe vinachaguanaje, kama ni CC, NEC au utaratibu wowote, na tumeshuhudia watu wakitea ndugu zao, wake zao, wapenzi wao na kuna mtu mule yeye yupo Bungeni, kamleta binti yake kamleta na mkewe, mke wa mtoto wake wa kiume, huku viongozi wakoingiza hadi vidumu vyao, this doesn't matter to NEC. Ila baada ya chama kupokea Idadi ndio kinatoa barua na kuwasainia fomu.
  2. NEC itapokea barua kutoka chama husika, as long as barua hiyo ni authentic bonafide genuine na imesainiwa na official bearers. Hivyo Kwa NEC kinacho matter ni barua, sio kikao or process yoyote ya ndani. Hivyo hapa NEC ni innocent victim hawezi kujua kama barua hiyo ni fake nakumefanyika forgery. Ni jukumu la Chadema kuuthibisha forgery. Hivyo NEC ikawapa barua za uteuzi, authentic bonafide genuine kwenda Bungeni.
  3. Bunge likawapokea na kuwaapisha kuwa wabunge halali kabisa wa Chadema. Bunge halihusiki na ute

Kama kuna forgery yoyote popote ndani Chadema kwenye uteuzi, then it's upon Chadema to prove that, hili lingefanyika ni NEC ingewatengua

P

Wewe jamaa thinking yako itakuwa so biased au umeamua kujitoa ufahamu.
Chadema wametoa kauli kwamba hawajateua wala kupeeleka barua NEC.
Kwa nini huwahoji NEC wamepata wapi hiyo barua na Kwa nini huoji Kwa nini NEC hawajawasilisha hiyo barua Polisi ili wachunguze kama imefojiwa kwani forgery ni kosa la jinai .
Na kwanini huoji kwamba NEC hawafanyi dua diligence ya barua wanazopokea kuhusu suala kama hilo nyeti na la kikatiba hususani baada ya chadema kulalamika.
Embu jaribu kuwa judgemental na reasonable acha kutoa ma thread yako ya hovyo and biased.
 
Pascal Mayalla,

..kuna kujitoa ufahamu kuhusu suala la kina Halima.

..Chadema wameeleza over and hakuna kikao cha CC ya chama kilichowateua kina Halima.
Mkuu JokaKuu, kwanza naheshimu mawazo yako, mambo ya kuna kikao au hakuna kikao, hayo ni mambo ya ndani ya Chadema, NEC na Bunge has nothing at all to do with that, kinacho matter ni NEC wamepokea barua ya uteuzi kutoka Chadema, wakawapa barua za uteuzi wakateuliwa na kuwa wabunge na Spika akawaapisha, hivyo as of now ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine mpaka Chadema uthibitishe otherwise.
.Na chama kimekwenda mbali mpaka kuwachukulia hatua za kinidhamu kwa kuwafukuza uanachama.
Kabla Chadema hawajachukua hatua yoyote walipaswa kwanza to do a due process kujiridhisha na kuuthibisha makosa yao na kisha kuwachukulia hatua za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya Chadema. Hili halikufanyika!.
.Mpaka hapo Chadema wametimiza wajibu wao. Kuendelea kuwadai Chadema wafanye hili au lile, au zaidi ya walichofanya, ni kujitoa ufahamu.
Chama kikuu cha upinzani, ni chama tawala in waiting, hivyo to demand it to do the right thing and do it right, it's not too much to ask. Naendelea kusisitiza Chadema itende haki. Bandiko hili ni la something bigger than that, nimeeleza humu Chadema wana macho lakini hawaoni, what is happening now, has happened before, this is not the first time, kila unapofanya injustices to anyone, it comes back to you in three folds!. No one seems to know about karma, inside Chadema and no one seems to care about the consequences of their actions!. Karma is real!.
Hata yule Blaza wangu, ni karma imekula kichwa!. Zile pyu pyu ni karma, kupata Mbunge mmoja ni karma, then karma ya wale wachache waliotimuliwa bila haki ndio vile, hii karma ya hawa 19!, will Chadema stand?. Ushauri wangu huu kwa Chadema still stands CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
.Haya mambo yakiendelea namna hii watu watakata tamaa na demokrasia yetu, na watakosa imani ya mifumo yetu ya utawala.

..Suala la kina Halima kuna baadhi wanadhani wanawakomoa Chadema, bila kujali kwamba wanasababisha mmomonyoko wa imani ya wananchi dhidi ya Nec, bunge, mahakama, na serikali.
Kwenye hili, nakubaliana na wewe, tena nilitamani kutia mguu wangu ardhini to offer my helping hand kwa makamanda, kuna mtu akanikataza kuwa nitajenga maadui wengi kuliko marafiki kwa hoja kuwa kuna wengi ni kijani na njano machoni lakini mioyoni ni red white and blue!.
Bandiko hili nimewaazima Chadema jicho.
P
 
Mkuu JokaKuu, kwanza naheshimu mawazo yako, mambo ya kuna kikao au hakuna kikao, hayo ni mambo ya ndani ya Chadema, NEC na Bunge has nothing at all to do with that, kinacho matter ni NEC wamepokea barua ya uteuzi kutoka Chadema, wakawapa barua za uteuzi wakateuliwa na kuwa wabunge na Spika akawaapisha, hivyo as of now ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine mpaka Chadema uthibitishe otherwise.

Kabla Chadema hawajachukua hatua yoyote walipaswa kwanza to do a due process kujiridhisha na kuuthibisha makosa yao na kisha kuwachukulia hatua za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya Chadema. Hili halikufanyika!.

Chama kikuu cha upinzani, ni chama tawala in waiting, hivyo to demand it to do the right thing and do it right, it's not too much to ask. Naendelea kusisitiza Chadema itende haki. Bandiko hili ni la something bigger than that, nimeeleza humu Chadema wana macho lakini hawaoni, what is happening now, has happened before, this is not the first time, kila unapofanya injustices to anyone, it comes back to you in three folds!. No one seems to know about karma, inside Chadema and no one seems to care about the consequences of their actions!. Karma is real!.
Hata yule Blaza wangu, ni karma imekula kichwa!. Zile pyu pyu ni karma, kupata Mbunge mmoja ni karma, then karma ya wale wachache waliotimuliwa bila haki ndio vile, hii karma ya hawa 19!, will Chadema stand?. Ushauri wangu huu kwa Chadema still stands CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Kwenye hili, nakubaliana na wewe, tena nilitamani kutia mguu wangu ardhini to offer my helping hand kwa makamanda, kuna mtu akanikataza kuwa nitajenga maadui wengi kuliko marafiki kwa hoja kuwa kuna wengi ni kijani na njano machoni lakini mioyoni ni red white and blue!.
Bandiko hili nimewaazima Chadema jicho.
P

..kama Cdm wangekuwa hawajakana kuwateua wakina Halima then kungekuwa hakuna haja ya kuuliza kama kulikuwa na kikao.

..sasa kwasababu Cdm wamedai hawajawateua, anayetafuta UKWELI inabidi aangalie kama taratibu zinazotumiwa na Cdm ktk uteuzi wa viti maalum zilifuatwa. Na huwezi kufanya hivyo bila kuangalia kama VIKAO VYA UTEUZI vilikaa.

..Ni kweli kwamba Nec hupokea barua ya uteuzi toka ktk chama. Na barua za uteuzi ktk Cdm huandikwa kuwatambulisha wanachama ambao wameteuliwa na KIKAO CHA KAMATI KUU.

..Kwa msingi huo basi, mwanachama yeyote wa Cdm ambaye amepata barua ya uteuzi viti maalum bila kamati kuu kuwa imeelekeza au kuthibitisha uteuzi wake atakuwa amefanya UDANGANYIFU.

..Hivyo basi, tunarudi palepale, kwamba ikiwa Halima na wenzake hawakuteuliwa na Kamati Kuu ya Cdm, uhalali wa barua yao ya uteuzi unatoka wapi? Je, ni sahihi kwa wao kuendelea kuwepo bungeni wakati hawajateuliwa na vikao halali vya chama chao? Je, ni sahihi kwa wao kuendelea kuwepo bungeni hata baada ya kufukuzwa uanachama na Cdm?
 
Wewe jamaa thinking yako itakuwa so biased au umeamua kujitoa ufahamu.
Mkuu mnengene, kwanza asante kuchangia uzi wangu, pili mawazo yako naheshimu na likes nimekutwangia.
Chadema wametoa kauli kwamba hawajateua wala kupeeleka barua NEC.
Kuna mambo hufanywa kwa kauli na kuna mambo hufanywa kwa maandishi. Kama Chadema hawakuteua na hawakupeleka barua, majina na kuwasainia fomu, then kumefanyika jinai ya forgery. Hili ni kosa la jinai, hivyo hatua ya kwanza ni kwa Chadema kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike. Hili la Chadema kufanya mambo kienyeji enyeji bila kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni, nimewahi kulizungumzia Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Kwa nini huwahoji NEC wamepata wapi hiyo barua na Kwa nini huoji Kwa nini NEC hawajawasilisha hiyo barua Polisi ili wachunguze kama imefojiwa kwani forgery ni kosa la jinai.
There you are, mtendwa ndiye mtu wa kwanza kuripoti polisi, ndipo NEC waikabidhi polisi barua ya uteuzi ya Chadema na ni Chadema ndio wangethibisha ni forgery. NEC hawawezi kwenda polisi bila mlalamikaji kuripoti polisi.
Na kwanini huoji kwamba NEC hawafanyi dua diligence ya barua wanazopokea kuhusu suala kama hilo nyeti na la kikatiba hususani baada ya chadema kulalamika.
Due diligence inafanywa kila mahali, na maadam sasa tuna serikali mtandao, tuachane kabisa na hizi mambo za makaratasi. Uchaguzi wa 2025 kuanzia kujaza fomu hadi kurejesha iwe ni online, huwezi ku lodge forged documents. Ila mpaka hapa ninapoandika Chadema bado haija fanya any due process wala kulalamika popote zaidi ya kuitisha ile a kangaroo court yao na kutoa maamuzi batili ya Kikangroo na baadae kuitisha kikao halali cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC batili!.
Embu jaribu kuwa judgemental na reasonable acha kutoa ma thread yako ya hovyo and biased.
Next time unapokutana na ma thread ya hovyo and biased, just save your time, by ignoring them, ungekuta saa hizi hata mimi ningekuwa ninejilalia zangu!.
P
 
..kama Cdm wangekuwa hawajakana kuwateua wakina Halima then kungekuwa hakuna haja ya kuuliza kama kulikuwa na kikao.
The government na taasisi zake zote works on black and white, Chadema wamekanaje wakati hatua ya kwanza ya jinai yoyote ni RB ya Polisi unless Chadema nao walitaka kujifanya ni cha Ki Bilionea kama Mo Dewji RB ya Polisi na lile counter book litoke pale kituoni liletwe ofisini kama walivyo fanya kwa MO?.
..sasa kwasababu Cdm wamedai hawajawateua, anayetafuta UKWELI inabidi aangalie kama taratibu zinazotumiwa na Cdm ktk uteuzi wa viti maalum zilifuatwa. Na huwezi kufanya hivyo bila kuangalia kama VIKAO VYA UTEUZI vilikaa.
Siku zote it's the ones who alleges must prove. Analamika kina Mdee wamefoji ni Chadema, kwa mujibu wa NEC na Bunge, kina Mdee ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine wa Chadema na Bunge la JMT!. The burden of proof of forgery lies with Chadema!.
..Ni kweli kwamba Nec hupokea barua ya uteuzi toka ktk chama. Na barua za uteuzi ktk Cdm huandikwa kuwatambulisha wanachama ambao wameteuliwa na KIKAO CHA KAMATI KUU.
Niliuliza swali hili humu hakuna aliyenijibu Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
..Kwa msingi huo basi, mwanachama yeyote wa Cdm ambaye amepata barua ya uteuzi viti maalum bila kamati kuu kuwa imeelekeza au kuthibitisha uteuzi wake atakuwa amefanya UDANGANYIFU.
Yes, udanganyifu huu ni jinai ya forgery. Chadema walipaswa kuripoti polisi, unless kama wangewapanga mmoja mmoja na kuwapeleka kwenye kile chumba walicho mshughulikia Kagenzi, hivyo wangewashughulikia kikamilifu mmoja baada ya mwingine ndio maana hawaja ripoti polisi mpaka leo?.
..Hivyo basi, tunarudi palepale, kwamba ikiwa Halima na wenzake hawakuteuliwa na Kamati Kuu ya Cdm, uhalali wa barua yao ya uteuzi unatoka wapi? Je, ni sahihi kwa wao kuendelea kuwepo bungeni wakati hawajateuliwa na vikao halali vya chama chao? Je, ni sahihi kwa wao kuendelea kuwepo bungeni hata baada ya kufukuzwa uanachama na Cdm?
  1. Kama nilivyo sema serikali inafanya kwa black and white. NEC walipokea barua ya uteuzi ya Chadema that looks authentic bonafide genuine
  2. NEC ikafanya uteuzi na kuwapa authentic bonafide genuine Letters za uteuzi
  3. Bunge limewapokea authentic bonafide genuine wabungez wa Chadema na kuwaapisha chap chap. Sasa ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine.
  4. CC ya Chadema imewatimua Kikangroo na baadae Baraza Kuu Chadema kuyabariki maamuzi batili na ya Kikangroo ya CC batili ya Chadema. Wameyapinga mahakamani, Bunge limewakingia kifua.
  5. Kazi iendelee
P
 
The government na taasisi zake zote works on black and white, Chadema wamekanaje wakati hatua ya kwanza ya jinai yoyote ni RB ya Polisi unless Chadema nao walitaka kujifanya ni cha Ki Bilionea kama Mo Dewji RB ya Polisi na lile counter book litoke pale kituoni liletwe ofisini kama walivyo fanya kwa MO?.

Siku zote it's the ones who alleges must prove. Analamika kina Mdee wamefoji ni Chadema, kwa mujibu wa NEC na Bunge, kina Mdee ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine wa Chadema na Bunge la JMT!. The burden of proof of forgery lies with Chadema!.

Niliuliza swali hili humu hakuna aliyenijibu Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Yes, udanganyifu huu ni jinai ya forgery. Chadema walipaswa kuripoti polisi, unless kama wangewapanga mmoja mmoja na kuwapeleka kwenye kile chumba walicho mshughulikia Kagenzi, hivyo wangewashughulikia kikamilifu mmoja baada ya mwingine ndio maana hawaja ripoti polisi mpaka leo?.

  1. Kama nilivyo sema serikali inafanya kwa black and white. NEC walipokea barua ya uteuzi ya Chadema that looks authentic bonafide genuine
  2. NEC ikafanya uteuzi na kuwapa authentic bonafide genuine Letters za uteuzi
  3. Bunge limewapokea authentic bonafide genuine wabungez wa Chadema na kuwaapisha chap chap. Sasa ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine.
  4. CC ya Chadema imewatimua Kikangroo na baadae Baraza Kuu Chadema kuyabariki maamuzi batili na ya Kikangroo ya CC batili ya Chadema. Wameyapinga mahakamani, Bunge limewakingia kifua.
  5. Kazi iendelee
P

..Suala hili limeshatoka mikononi mwa Cdm liko ktk public na serikali ilipaswa kulichunguza.

..Kuendelea kujificha ktk kichaka kwamba Cdm hawajaripoti foggery ni kujitoa ufahamu ambako nilikueleza mwanzo.

..Kikao cha Kamati Kuu ya Cdm hakikukaa kuwateua kina Halima. Katika mazingira hayo tunapaswa kujiuliza waliteuliwa namna gani?

..Huwezi kusema Cdm waripoti forgery wakati hatuna uhakika kama kina Halima waliteuliwa kwa barua iliyogushiwa,au kwa uhuni wa aina nyingine.

..Baada ya Cdm kukana kufanya kikao cha kuwateua, na kukana kuandika barua, kwanini TUME na bunge hawajahojiwa, au hawajatakiwa kubainisha kina Halima waliteuliwa namna gani?

..Waandishi wa habari mnatuangusha. Kwenye nchi za wenzetu waandishi wa habari wangeingia kazini na kuchunguza kilichojiri badala ya kusubiri kutafuniwa kila kitu.

..Na mwandishi mkongwe kama wewe kushindwa kuuliza MASWALI SAHIHI kulingana na mazingira ya suala la ubunge wa kina Halima inashangaza, na kusikitisha.
 
Mkuu JokaKuu, kwanza niendelee kukushukuru tena na tena kwa hoja zako mujarab kwenye issue hii ya ubunge wa kina Mdee.
Rules are rules and must always be obeyed, kukitokea jinai yoyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi, unless ni jinai ya bodily injury or harm, then hatua ya kwanza ni saving lives ndipo PF.3 ifuate tena kuna lots of lives wasted kwa hospital kukataa kuwapokea majeruhi mpaka waje na PF.3.

Lissu kabla hajashambuliwa alifanya press conference na kueleza anafuatiliwa hadi kutaja number ya gari!, what did the police do?. They did nothing kwasababu Lissu was supposed to report polisi na sio kuishia kwenye press conference kwa kuamini taarifa yake imelifikia Jeshi Letu la Polisi!.

The facts that Chadema walitoa taarifa hawateui viti maalum, na baada ya wabunge waliojiteua kuapishwa was a very good reason why Chadema should have reported immediately this crime kwasababu ni uchaguzi wa kijinai ndio ungewapa Chadema a documentary evidence ya basis ya uamuzi wa kuwatimua kupitia zile Kangaroo Court zake.

Serikali haiwekani kuchunguza jinai ya a private entity. Vyama vya siasa ni public entities kwa upande wa katiba zake na matumizi ya fedha za ruzuku lakini day to day operations, ni like a private entity.

Na hili sio kwa Chadema tuu, hata CCM, sote tunajua udukuzi ni kosa la jinai, ukifanyika udukuzi wowote jeshi la polisi lilipaswa kuchunguza, kuna watu walidukuliwa, voices notes zao za private conversations zikamwagwa public against the right to privacy, what did Jeshi la polisi do?, they did nothing!. Sababu, no one reported!.

Rais wetu wa wakati huo akakasirika kwasababu ya voice notes hizo, akawatumbua watu na kukielekeza chama kuwachukulia hatua, nilieleza humu, it was all wrong Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity

Kama kuwasaidia wenzetu Chadema kwa kuwashauri the right thing to do ni kujitoa ufahamu, then be it, na vipi ushauri wa kuitaka itende haki ili kuepuka karma?

A very valid question, thanks God mimi namjua aliye wateua kisha akawaita mahali kuwabembeleza wajitoe, wakamgomea, hivyo akawageuka na hapa nimewatajia Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Now you coming to the right sense, the bone of contention is the appointment letter. Niliuliza humu hamjibu Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

The one who alleges must prove

Hapa umesema kweli tupu Nakiri media yetu tuna problem Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

Naomba na mimi nikiri udhaifu, kwa vile najijua, na uwezo wangu wa kuuliza maswali naujua and what I'm capable of, ni kweli kabisa kwenye hili, sijatimiza wajibu wangu kikamilifu.
na hili naliombea msamaha nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa Sana!.
P
 
Pasco huwezi ukatumia nguvu kubwa namna hii bila malipo. Yaani unatumia nguvu nyingi sana kama anavyofanya Haji Manara ili wana Yanga wamkubali lakini wenye akili wanajua kuwa anatetea mshahara anaolipwa na GSM,vivyo hivyo na wewe unakomaa masaa yote kuhalalisha posho wanayokulipa hawa covid 19. Shame on you !!!!
 
Good
 
CCM Zanzibar wamefukuzwa mzee wa miaka 83 + kupigwa bila kupewa room ya kujieleza hatukusikii uhihoji lakini issue ya Halima kwa vile anakulipa umekomaa hadi aibu
 
Pasco huwezi ukatumia nguvu kubwa namna hii bila malipo. Yaani unatumia nguvu nyingi sana kama anavyofanya Haji Manara ili wana Yanga wamkubali lakini wenye akili wanajua kuwa anatetea mshahara anaolipwa na GSM,vivyo hivyo na wewe unakomaa masaa yote kuhalalisha posho wanayokulipa hawa covid 19. Shame on you !!!!
Mkuu VESTLINE, naomba nikuambie kitu kama utaamini,
jee ulikuwepo if wakati namtetea EL?. Amini usiamini, nilikuwa pro EL bure, sikuwahi kupokea hata senti moja ya Lowassa!.

Juliana Shonza alipotimuliwa Chadema, nilimtetea sana humu, Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015! sikupokea hata senti moja. Unamjua aliye wachomea kina Shonza ni nani?, na nini kilimkuta?.

Zitto alipotimuliwa Chadema, nilimtetea sana humu, Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" sikupokea hata senti moja ya Zitto!. Unamjua aliyeshadadia kutimuliwa kwa Zitto ndani ya Chadema ni Nani na nini kilimkuta?.

Sasa ni issue ya kina Halima, sijawahi kupokea hata senti moja kutoka kwa yeyote.

Mimi ni mtetezi wa haki wa kujitolea, na hata kazi yangu ya uandishi wa habari wa kujitegemea, ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na media yoyote wala sitegemei uandishi wa habari kuendeshea maisha yangu.

Kama unaamini nimelipwa, sawa tuu amini hivyo.
P
 
Wanabodi,

Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!.

Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa kuona mabaya fulani kupitia kitu kinachoitwa precognition kuwa yatawatokea watu fulani, usipowaambia, halafu yakatokea, utaumia sana kwa a guilty conscious kuwa I saw it coming but you did nothing to help out!. Lakini ukiona jambo baya kinakuja, ukiwaambia, unaweza kuzuia, ila ukiwaambia, wakapuuza, yakija kutokea ya kutokea, angalau hupati a guilt conscious ya dhamira yako kukusuta maana uliwaambia!.

Hivyo hili ni Bandiko la kujitolea kutoa msaada wa bure kabisa
kwa Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kitu kinachoitwa karma ni nini na kinafanyaje kazi "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Japo Wana Macho, Hawaoni!
Japo watu wote wana macho, wengi wana macho ya nje tuu yanayoona vitu vya nje, lakini hawana jicho la ndani (jicho la roho) kuona vitu visivyoonekanika kwa macho ya kawaida, hivyo wanasemwa kuwa wana macho lakini hawaoni.

Japo Wana Masikio, Hawasikii!
Vivyo hivyo kwa masikio, watu wengi wana masikio na wanasikia, ila masikio yao ni masikio ya nje, yanayosikia sauti za nje tuu, lakini hawana sikio la ndani (sikio la roho) kuweza kusikia sauti za ndani "voices from within" hivyo wanasemwa kuwa wana masikio lakini hawasikii.

Jicho la Ndani na Sikio la Ndani
Kila kiumbe anacho ila tumetofautiana sana uwezo wa kutambua, mfano kuna wanyama wana uwezo mkubwa zaidi ya binadamu kutambua hatari. Mfano mbwa anapotumia pua kunusa, amini usiamini, anachonusa sio harufu bali ni sauti ya ndani. Hivyo wale mbwa wanusa mizigo airports au wale panya watengua mabomu, ni wanatumia jicho la ndani na sikio la ndani.

Kwa vile sio watu wote wamejaliwa uwezo wa kutumia jicho la ndani kuona hatari iliyo mbele yetu sisi tuliojaaliwa jicho hilo, na sikio hilo tukiona kitu na tukisikia kitu cha hatari kinakuja kutokea ni vizuri tukasaidia.

Kila tukio, linatokea kwa sababu, everything happens for a reason, hivyo likitokea jambo baya lolote, wengi huishia kwenye kuliangalia tukio tuu la nini kilichotokea na matokeo yake tuu, lakini hawajiulizi the underlying causes za kilichopelekea tukio hilo kutokea, the reasos behind the underlying causes and the consequences.

Hata wengi wakijikwaa na kuanguka, huinuka kujifuta vumbi na kuendelea na safari yao, huwa hawarudi kuangalia wamejikwaa wapi, ili wakipita tena njia hiyo, wasije wakajikwaa tena pale pale na wakaanguka tena vile vile.

Kwenye ile dhana ya usaliti wa ule "Waraka wa Mabadiliko", Chadema ilijikwaa mahali kwenye issue ya kumtiimua Zitto, na kiukweli imekula bakora za karma za kutosha, na wahusika wakuu wametandikwa bakora zao, Chadema ikaangukia, na wahusika wakaanguka, kisha wakasimama na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia walipojikwaa bali walipoangukia. Ni Kwa nini Chadema wakijikwaa wakaanguka, wakainuka wakaangalia tuu walipoangukia na sio walipo jikwaa, kwasababu Chadema wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

Sasa kwenye hili la Halima Mdee, Chadema, imejikwaa tena pale pale ilipojikwa kwenye issue ya kumtumua Zitto, safari hii Chadema bado haijaanguka na bakora za karma bado hazijaanza kutembea.

Kwa vile Zitto alikimbilia mahakamani akashindwa, Chadema wakashangilia ushindi huo, nashukuru mimi niliwaeleza humu kuwaelimisha kuhusu karma, na nikawaambia the consequences ya matendo, hivyo kwenye hili la Halima Mdee, nae amekimbilia mahakamani, ikitokea na Halima akashindwa kama alivyoshindwa Zitto, hivyo Chadema wakafanikiwa kuwatimua rasmi hao wanaowaita Covid 19, naomba mimi niwe mtu wa kwanza kuwaambia the consequences will be very devastating, kwenye karma ya Zitto, angalau someone survived miraculously, I'm not sure kwenye hili, if anyone will!. Kwa kuchelea this, nimejitolea kuishauri Chadema the right thing to do na kuepuka adhabu ya karma.

Dhana ya Usaliti
Sijui ni wanachama wangapi wa Chadema waliusoma ule Waraka wa Mabadiliko, ukiwa ni msomaji mzuri wa maandishi ya mtu fulani, unajikuta unapata skills zinazoitwa graphology, ambapo ukisoma andiko fulani unamjua mwandishi ni nani, Waraka ule wa Mabadiliko sio kazi ya Zitto ile, mimi najua ni kazi ya Nani!.

Contents za Waraka huo ni hoja za ukweli tuu, na sio kweli kuwa lengo la waraka ule ni kufanya Mapinduzi ya uongozi wa juu, waraka ule ulikuwa ni waraka wa kuunda kitu kinachoitwa "a winning coalition" na kuitumia hiyo winning coalition kushinda nafasi zote za uongozi wa juu ndani ya Chadema kwenye uchaguzi wa ndani.

Kwanini Chadema Itandikwe na Karma?.
Karma inataka haki bin haki.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, CC ya Chadema inauwezo tuu wa kumsimamisha NKM lakini sio mamlaka yake ya nidhamu, hivyo CC ya Chadema haikuwa na uwezo wa kumfukuza Zitto. Mamlaka halali ya nidhamu ya NKM ni Baraza Kuu na mamlaka ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Zitto?. Bakora za karma zimeshughulikia.

The same same scenario ya kutumbuliwa kwa Zitto, imejirudia katika kutimuliwa kwa Halima Mdee, CC ya Chadema ina uwezo wa kumsimamisha tuu Mwenyekiti wa Bawacha, lakini sio mamlaka yake halali ya nidhamu. Mamlaka halali ya nidhamu ya Halima Mdee ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Mdee?. Bakora za karma zitashughulikia!.

A Way Forward
  1. Kitu muhimu cha kwanza kwa Chadema kufanya ni kutengua maamuzi yote kuwahusu hao wabunge 19 kuwa bado ni wanachama halali wa Chadema na kuwakubalia waendelee na ubunge wao.
  2. Baada ya kurejeshewa uanachama wao, wafute kesi iliyopo mahakamani
  3. Chadema kufanya a due process, uteuzi wao ulifanyikaje. Ikijiridhisha kuna jinai then waripoti rasmi polisi.
  4. Kule wathibitishe jinai ya forgery imefanywa na polisi kufanya uchunguzi wa kijinai na ikithibitishwa tuu jinai hiyo, then ni NEC ndio watakao watengua ubunge wao.
  5. Process ya mashitaka ya ndani ifanyike kwa mujibu wa katiba ya Chadema.
  6. Only ring leaders ndio waadhibiwe kwa kulazimishwa kuomba msamaha, na kuvuliwa vyeo vyote wabaki wanachama wa kawaida.
  7. Na wakosaji hao wakishupaza shingo zao then watimuliwe kwa haki na sio kwa kutumia a Kangaroo Court kama mwanzo.
  8. Hili likifanyika, Chadema itakuwa imewatendea haki wanachama wake.
  9. Adhabu ya bakora za karma ninazoziona hazitakuja, hazita itandika Chadema, Chadema itakuwa salama na viongozi wake watakuwa salama.
  10. Chadema will prosper again, uchaguzi wa 2025 watashinda baadhi ya majimbo.
Mwenye macho na aone Mwenye masikio na asikie!.

Jumamosi Njema

Paskali.
Wewe pia ni kipofu chadema ni mfu tayari na chadema yenyewe inajua hivyo kitu pekee inacho tegemea chadema kufufuka ni kimoja tu ni kufanya juu chini SA100 agombee uchaguzi wa 2025 maana wanajua akubaliki na jamii hivyo wanaweza kupigiwa kura na wananchi kwa kukosa mbadala na kukifanya chadema kiwe na nguvu tena ...ila ikitokea watu wa legacy ya jpm na nyerere wakapata chama mbadala basi huo utakuwa mwisho wa vyama vyote vya upinzani vilivyo kuwa vikubwa kwa sasa
 
Mkuu
Nimeishia KWA halima mdee tu HAPO!!

wamekulipa sh. Ngapi!!?
Unatia aibu!!

Agizo la WABUNGE wasio Halali bungeni kuondolewa Sio mjadala ni agizo la Dola Sio matakwa ya mbowe wala samia!!

Litekelezwe
Mimi nimeishia kwa zuzu Zitto tu
Alipo taja zuzu Zitto basi chakula kili chacha
 
Back
Top Bottom