Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Usiamini serikali haiwezi kutapeliwa labda kama walifanya kwa makusudi . Serikali yenye tume ya madini , geology n.k hiyo haiwezekaniWalishajaribu kitambo hiyo biashara lakini wakapata hasara kubwa Benki maana inasemekana walikuwa wanauziwa makakumba mengi kuliko dhahabu ![emoji28][emoji28]
Mbona bado wapo wanachimba nini huko geita?Lakini dhahabu nyingi ya kutufanya tuwe matajiri tulishawagaia rafiki zetu Wazungu kitambo sana !!
Hiyo pesa ya kununua dhahabu mnayo? Au ndo mtaanza mbanga zenu kama za koroshow!!Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni. Uchumi tunao, tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Siwez wauzia nyie dhahabu yangu, mje mlete zile mbanga zenu kama za koroshow!!Usiamini serikali haiwezi kutapeliwa labda kama walifanya kwa makusudi . Serikali yenye tume ya madini , geology n.k hiyo haiwezekani
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Uwajibikaji ukiwepo kila kitu kinawezekana !Usiamini serikali haiwezi kutapeliwa labda kama walifanya kwa makusudi . Serikali yenye tume ya madini , geology n.k hiyo haiwezekani
Shida ni serikali kujiingiza kwenye biashara ambayo wanadamu washatoka jasho la damu kuipata yenyewe inakuja kuwanyang'anya kwa nguvu kwa lazimaHatari sana !! Watakuwa wakinunua kakumba kisha waje waseme wamekula hasara !!
Hili jambo itawezekana km ikiamua Africa nzima. But nchi Moja watatumia mamluki hata WA nchi jirani tuingie vitani ili tu kuwe vurumaiKwakweli kwa hili inasikitisha sana. Tatizo naloliona wakubwa wanawaogopa hao tuliowakodishia migodi ya dhahabu. Magufuli alitingisha kidogo nadhani akawashindwa je nani ataweza? Lakini naamini atatokea atakaeweza.
Hii kitu haiwezekani na wao wanajua hivyo !!Shida ni serikali kujiingiza kwenye biashara ambayo wanadamu washatoka jasho la damu kuipata yenyewe inakuja kuwanyang'anya kwa nguvu kwa lazima
Huo tunaita government robbery
ni wizi kama wizi mwingine!
Dhahabu ipo chini ya ardhi,serikali ikachimbe isafishe ikauze yenyewe ipate hizo hela inazozitaka!
Haiwezi
na ikienda kwa sera hizi wananchi wataenda lima wataacha mashimo wazi ije ichimbe yenyewe kitu ambacho haitaweza kamwe!
Hata kale kakodi kadogo ilikua inapata ndio imekufa!
Serikali zinaongozwa na majitu majinga kama haya haya akina Faizafoxy,useless!
They think kwavile wapo serikalini then their brains will never do wrong!
serikali haiwezi tapeliwa?Usiamini serikali haiwezi kutapeliwa labda kama walifanya kwa makusudi . Serikali yenye tume ya madini , geology n.k hiyo haiwezekani
Hayo ni mawazo yako. Binadamu ni wale wale awe anafanya kazi private au government we all share the common behaviour.serikali haiwezi tapeliwa?
ndugu!
naona watu tumekua conditioned tangu kindergarten kwamba serikali ni dude fulani hivi next to God!
not really
hakuna organization inefficient kama governments!
organizations zinazoongozwa vizuri na efficient ni private companies starting with Starter Ups,then medium enterpirses,then large
halafu mind you,serikali zinaongozwa na very low quality personnel!
yaani talent per capita ndani ya serikali ni worse than talent per capita kwenye private enterprises.You know why?private enterprises know how to spot,recruit na ku-retain and compensate talent more than government will ever do!.....
government ya Tanzania ni even worse,ndio watu wenye akili za Faizafoxy wapo humo wanakuja na sera za nationalization ya jasho la wanadamu wengine kwa lazima....
Leo kaja na sera ya kuiba dhahabu za watu,akimaliza hela isipomtosha ataenda kwenye viwanda vya watu akimaliza atavamia maduka binafsi ya watu,wakitoka hapo watavamia viofisi vya watu.....jambazi ni jambazi regardless
Ni maajabu sana, yaani umasikini mpaka kwenye fuvu
Tumepiga kelele sana kuhusu hili la kuwa na Gold reserves lakini wapi
Kuna nchi hawachimbi dhahabu wala hawana kabisa
Nimekuelewa, ukiwa na reserve kubwa ya dhahabu unakuwa na nguvu ya kupanga bei, kwa kuiuza au kuzuwia kuiuza upendavyo.Bei inao toka BOT iko chini ukiangalia na Market price ya dhahabu nje. BOT iki toa bei nzuri utakuja kuona 'Black Market' tena, labda kama una adopt command economy kama mwendazake, ambao imesha pita na wakati tuko kwenye 'free market economy' unauza pale ambapo unapata faida kubwa.
Ni economic strategy nzuri kuifanya tanzania kua price maker wa dhabu sio kua price takers katika soko la dunia shilling ya Tanzania itapanda thamani automatically kwasbb itakua backed up with gold reserve........ila politically utakosa kura za raia kwasbb maisha na huduma kwa raia wa kawaida itakua juu, na hamna Raisi atakae risk kukosa kura, bora atudaganye na plastic/fragile economy za kujenga flyovers na madaraja wakati uchumi uko hoi, ili apate kura za raia.Nimekuelewa, ukiwa na reserve kubwa ya dhahabu unakuwa na nguvu ya kupanga bei, kwa kuiuza au kuzuwia kuiuza upendavyo.
Tazama Saudi Arabia wanavyotamba na oil yao, wanamuwa wao wauze kiasi kipi na kwa bei ipi.
Maskini hata dhahabu huijuiDhahabu unadhani haichimbwi mrangi? Wachimbaji wadogo wanapata sana dhahabu na serikaki ina uwezo wa ku collect ya kutosha sana tuu kwa ajili ya kuitumia kama fedha za kigeni .ni kwamba tu bado naona serikali haijaweka nia ya dhati na mkazo kwenye uchumi huu wa vito. Sisi ni matajiri sanaa.
Hili ndio tatizo la umasikini wa akiliBOT najuwa tu tukiendage kuchoma dhahabu wanatukata % yao
Ova
Haswa ni kweli KSA wanaamua wanavyotaka kwa mafuta yaoNimekuelewa, ukiwa na reserve kubwa ya dhahabu unakuwa na nguvu ya kupanga bei, kwa kuiuza au kuzuwia kuiuza upendavyo.
Tazama Saudi Arabia wanavyotamba na oil yao, wanamuwa wao wauze kiasi kipi na kwa bei ipi.
Binadamu sio sawa mzeeN
Hayo ni mawazo yako. Binadamu ni wale wale awe anafanya kazi private au government we all share the common behaviour.