Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Buzwagi , tulawaka sijui bulyanhulu hao wote wapo chini ya Barrick gold corporation Canada. Unamkumbuka yule mzungu alikuja kuongea na magufuli mark Bristow ndio kiongozi wao wapo tangu miaka ya 90 hapa bongo wanachimba dhahabu.Ayaa buzwag je
Huu mchango wako chanya uwe ktk nyanja zote. Za maliasili. Hadi ktk bandari. Siyo unabagua.Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Kuna una akili kubwa tu lakini pia ni mtaalam wa kujitoa ufahamu linapokuja suala la DP World!!Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Watu naive ndiyo huamini kuwa mambo yanaendeshwa kwa nguvu ya soko.Ndugu Faiza Foxy, Nasikitika unatoa ushauri uliopitwa na wakati. Nadhani bado unaishi zama za Nyerere na enzi za ucommunist . Sasa hivi kila kitu kinasukumwa na nguvu ya soko, wewe unawaza itungwe Sheria ya kuzuia watu wasiuze wanakotaka.!! Dhahabu yenu ni yenu kwasababu inachimbwa kwenye ardhi yenu, lakini kiuhalisia siyo yenu kwasababu yote mlishaibinafisisha kwa wageni.
Sasa unauliza madevu kwa Osama si lazima utayakuta?Lengo langu nikukueleza kuwa mafanikio siyo lazima uwe na A darasani
Si inachapa tu pesa na kwenda kununua dhahabu. Tena kufanya waiuzie haraka hata kodi wasitozwe. Tofauti itakuwa kwa wachimbaji wa kubwa wanaotaka kuuza kwa dola.ANamaanisha kwamba je bot ana hela za kununua dhahabu kwa hao wachimbaji
BOT itajipangia bei mseleleko ? Watendaji na waliopewa mamlaka kwenye hili taifa wana janjaa janjaa nyinyi.. Bora watu waendelee export mzigo huko dubai na uingeleza pamoja na uswiziUnajuwa maana ya wanunue na wauze wao?
Kama ulikuwa huelewi hiyo ndiyo maana ya Biashara.
Bia = uza, shara = nunuwa.
Kwa Kiarabu rasmi kabisa, ambacho ndipo Kiswahili kiliilipata neno hilo.
Kweli Dp World wanaweza maana pesa wanazo mpaka zimewalevya sasa wanazitumia kuwanunua wachezaji wa mpira mahiri Duniani wakiwemo Wazungu 😅😅🙏🙏 !Labda wapewe na DP World
Benki Kuu inatakiwa inunue dhahabu, iwe hiyo inayochimbwa hapa kwetu au kokote inakouzwa ili nchi iwe na akiba ya dhahabu badala ya fedha za kigeni ... Siyo kutunga sheria ya kuzuia ununuzi wa dhahabu, au kuipendelea Serikali, nadhani umeelewa isivyo.Ndugu Faiza Foxy, Nasikitika unatoa ushauri uliopitwa na wakati. Nadhani bado unaishi zama za Nyerere na enzi za ucommunist . Sasa hivi kila kitu kinasukumwa na nguvu ya soko, wewe unawaza itungwe Sheria ya kuzuia watu wasiuze wanakotaka.!! Dhahabu yenu ni yenu kwasababu inachimbwa kwenye ardhi yenu, lakini kiuhalisia siyo yenu kwasababu yote mlishaibinafisisha kwa wageni.
Sana ninakubaliana na wewe Damkubwa FaizaFoxy [emoji817] Dkt Kikwete ni jabali la siasa na maendeleo. Yaani kama angekuwa rais kwa miaka hata 15 hakika Dubai tungeikuta. Mungu ambariki sana Dkt Kikwete
Yaani nilimaanisha aongezewe 15. Yaani ingewezekana tubadili katiba ili arudi JK awe rais. Bado ana nguvu.Huu sasa ni uwongo wa wazi,eti angetawala miaka 15 Dubai tungeikuta.JK ametawala miaka 10 yote hatukuwahi hata kufikia 1/16 ya Dubai,hiyo miaka 5 ungemuongezea ndiyo tungeifikia Dubai.Hata kama ni kumsifia na yeye akisoma hapa atajua mnamnafikia.
Bibii 🐸skamooo...Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Kila mama akitoa mkeka, huwa naagalia kwa makini kuona kama jina lako limo au la?Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.