Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani CC 2500 Anatembea KM za vitz...!!
Inawezekana kwasabab ukiwa na nidham mbaya kweny driving hata ist utapata 8km/l kama brevis bt ukiendesha vzr itakupa matokeo mazur kweny mafuta
 
Kanunue toyota port gari nzuri sana utanishukuru baadae.seve hii comment
 
Ushauri mzuri
 

Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
 
Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
Jua kutofautisha kati ya average:sum of Xi /n na range: maximun X - minimum X
 
Jua kutofautisha kati ya average:sum of Xi /n na range: maximun X - minimum X

Hapo lazima uangalie Average, sababu Max na Min zinajikata humohumo kwenye Average.
 
Inawezekana sana...Mimi Carina Si, highway napata 15km/litre...
 
s
io endapo ..lazima yawepo
 
Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
Asante kwa mrejesho. Kuna watu wana magar ya kuazima nao wanajiona wanamiliki
 
B

Boda boda nao watu hata kama hawana kitu
shida ni unaenda zako misele njiani unapungiwa,unajua labda ndugu yako unasimama

mtu anakuja speed anarukia kwenye pikipiki anakwambia "nikimbize POSTA chap" ndio

kumwmbia mimi sio boda,kashakukata stim yani muda wote wa maisha yako na hizo pikipiki

utautumia kuelimisha watu wewe sio boda,utakamatwa na kamata kamata wakijua n boda,yani headache.
 
Hahahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.

Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba ndugu na kutisha watu, i hope ujawai kumiliki gari thts way unauoga wa kike,

mm sina kazi, ni mishen town tuu, na pato langu kwa mwezi halizidi lak 4, namiliki gari na cjawai park wala kudundia wese,

kwa maisha leo gari sio anasa, haswa ukiwa n familia…
Badili mtazamo ndugu
 
Nikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
Kama wabongo hawatunzi nae hatatunza hata akinunua jipya litakufa siku Si nyingi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…