peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.
Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.
Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.