USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.

Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.

Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
 
Hadi ma CEO WA TAASISI za SERIKALI ni ccm ni shida yaan
Kwa mawazo na akili ya mtoa mada, hakuna tena sababu ya kuwa na wataalam wa kuongoza kwenye hizo taasisi za serikali!

Maana hao wote watatoka CCM aka chama cha mambuzi baada ya kupata kura chache kwenye uchaguzi wao wa chama. Na kwa akili na mtazamo huo, tunatakiwa kama nchi eti kupiga hatua kimaendeleo!!
 
Kwa mawazo haya ya ki mediocre nchi hii itaendelea kubaki nyuma sana kimaendeleo.
 
Wengi wanajitosa kwenye hivyo vyeo Ili wakumbukwe kwenye teuzi.

Yawezekana na wew ukawa mmoja wa wagombea Kura hazijatosha
 
Wagombea wengi walifanyiwa vetting ya kutosha na wana elimu na uwezo wa kiuongozi
 
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.

Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.

Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
Why 269?
 
Hakika mnastahili kabisa kuitwa chama cha mambuzi! Maana muda wote mnawaza kula tu.
Chama cha Mambuziiiiii ,hakukosea yule jamaa

Chama cha mambuziiiiiiiii👏🤣🤣🤣😂😂😂
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.

Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.

Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
 
Kwenye andiko lako nimeona neno Dr Samia.

Dr Samia toka lini?ilikuwaje na yeye akawa na cheo hicho!!!
Jitahidi kwenda kidigitali la sivyo utapitwa na mengi.
Kuwa abreast na current affairs,pamoja na kwamba mambo ni mengi muda kiduchu.
 
Below that, watakumbukwa next time.
Na ukumbuke kuwa walipata 1/4 ya kura zote za wajumbe
Bado swali la msingi haujajibu.

Kwanini 269 na isiwe 340, 205, 432 au namba nyingine ili walio chini ya hiyo namba wakumbukwe next time ?
 
Back
Top Bottom