peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yaani mpka keroHakika mnastahili kabisa kuitwa chama cha mambuzi! Maana muda wote mnawaza kula tu.
Kula na kunya kwa sababu uwazapo kula lazima ujikumbushe choo kilipo!Hakika mnastahili kabisa kuitwa chama cha mambuzi! Maana muda wote mnawaza kula tu.
Kwa mawazo na akili ya mtoa mada, hakuna tena sababu ya kuwa na wataalam wa kuongoza kwenye hizo taasisi za serikali!Hadi ma CEO WA TAASISI za SERIKALI ni ccm ni shida yaan
Wagombea wengi walifanyiwa vetting ya kutosha na wana elimu na uwezo wa kiuongoziWengi wanajitosa kwenye hivyo vyeo Ili wakumbukwe kwenye teuzi.
Yawezekana na wew ukawa mmoja wa wagombea Kura hazijatosha
Why 269?Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.
Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.
Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
Below that, watakumbukwa next time.Why 269?
Chama cha Mambuziiiiii ,hakukosea yule jamaaHakika mnastahili kabisa kuitwa chama cha mambuzi! Maana muda wote mnawaza kula tu.
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.
Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.
Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
Jitahidi kwenda kidigitali la sivyo utapitwa na mengi.Kwenye andiko lako nimeona neno Dr Samia.
Dr Samia toka lini?ilikuwaje na yeye akawa na cheo hicho!!!
Bado swali la msingi haujajibu.Below that, watakumbukwa next time.
Na ukumbuke kuwa walipata 1/4 ya kura zote za wajumbe
269 ni 1/4 ya kura za wajumbe woteBado swali la msingi haujajibu.
Kwanini 269 na isiwe 340, 205, 432 au namba nyingine ili walio chini ya hiyo namba wakumbukwe next time ?