Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?

Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,

Tena wakifika form three walimu wa science wanajichagulia watoto wao wa kuwafundisha,
Unakuta shule wanafunzi 300 wanasoma historia
Wanafunzi 60 wanasoma science
Hapo mwalimu mwenye mzigo mkubwa ni yupi? Kama sio huyu mwenye watoto 300!

Badala ya kujifanya kuongeza pesa kwa walimu wa science,
Serikali iajiri walimu wengi wa science na sanaa ili kuweka ikama sawa,
Na kutoa mzigo mkubwa wa vipindi kwa walimu waliopo,
Halafu iongeze mishahara na kuweka mazingira mazuri ikiwemo nyumba za kisasa kwa walimu,

Walimu acheni kujiwekea matabaka ninyi kwa ninyi,
Hakuna mwalimu bora kuliko mwingine
Itikadi za mwendazake ziachwe kama zilivyo
 
Kwa argument kama hizi, tukubali huna akili cc cocastic
 
Principle of Equivalence.
 
Una wivu sana na ukiendelea hivi utakuja kuwa bonge la mchawi
 
Nani alikwambia usiwe Mwalimu wa sayansi?
 
Wanafunzi 700.
Walimu 30.
Arts 26.

Science 4.
Muda wa kipindi dakika 40-80.
Vipindi kwa juma moja;
Arts 12
Science 24.
 
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?

Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,

Tena wakifika form three walimu wa science wanajichagulia watoto wao wa kuwafundisha,
Unakuta shule wanafunzi 300 wanasoma historia
Wanafunzi 60 wanasoma science
Hapo mwalimu mwenye mzigo mkubwa ni yupi? Kama sio huyu mwenye watoto 300!

Badala ya kujifanya kuongeza pesa kwa walimu wa science,
Serikali iajiri walimu wengi wa science na sanaa ili kuweka ikama sawa,
Na kutoa mzigo mkubwa wa vipindi kwa walimu waliopo,
Halafu iongeze mishahara na kuweka mazingira mazuri ikiwemo nyumba za kisasa kwa walimu,

Walimu acheni kujiwekea matabaka ninyi kwa ninyi,
Hakuna mwalimu bora kuliko mwingine
Itikadi za mwendazake ziachwe kama zilivyo
Mlalamikaji daily.
 
Vipi mkuu ulishindwaje na wewe kusoma sayansi?
 
Utofauti wa mshahara Sasa ukiuona ndiyo utachoka, kwa ufupi mwalimu wa Sanaa alitakiwa azidiwe angalau laki 4 na mwalimu wa masomo ya sayansi.
Akili ndogo
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?

Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,

Tena wakifika form three walimu wa science wanajichagulia watoto wao wa kuwafundisha,
Unakuta shule wanafunzi 300 wanasoma historia
Wanafunzi 60 wanasoma science
Hapo mwalimu mwenye mzigo mkubwa ni yupi? Kama sio huyu mwenye watoto 300!

Badala ya kujifanya kuongeza pesa kwa walimu wa science,
Serikali iajiri walimu wengi wa science na sanaa ili kuweka ikama sawa,
Na kutoa mzigo mkubwa wa vipindi kwa walimu waliopo,
Halafu iongeze mishahara na kuweka mazingira mazuri ikiwemo nyumba za kisasa kwa walimu,

Walimu acheni kujiwekea matabaka ninyi kwa ninyi,
Hakuna mwalimu bora kuliko mwingine
Itikadi za mwendazake ziachwe kama zilivyo
Mtu yeyote mwenye akili na ufahamu na anaye fikiria vitu kwa mapana atakuelewa vizuri sana ila kwa akili hizi za watanzania walio wengi ambao ni viazi mbatata hawato kuelewa
 
Kwa hoja aliyo isema mtoa mada na ulicho comment wewe nachelea kabisa kusema wewe ndiye huna akili kabisa
Kama na wewe unasupport upuuzi huo nawe nakuhakikishia huna akili! Mtoto anatakiwa asome Sayansi. Ndiyo maana kuanzia form one kila mmoja anasoma masomo yote. Kushindwa kusoma masomo ya sayansi ni upungufu.
 
Akili ndogo hizi
Akili Yako kubwa ukaishia kusoma masomo ya Sanaa na Bado unataka ulinganifu. Mtu asolve Calculus, asolve D.E, asolve Logic, Amueleweshe mwanafunzi Mambo ya Physics, electronics, asolve Mechanics halafu awe sawa na mtu anayebwabwaja habari za Aristotle na ndugu yake Socrates kwenye GS.
 
Back
Top Bottom