Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

Ulitumwa kusomea vishazi huru na tegemezi? Vuna ulichopanda

Acha waliosoma
Inorganic chemistry
Ma integrations
Electrostatic, genetics wale maisha

We si uliona sifa zile hadithi za mkoloni
Hii ndio point
Inafaa walimu wa sayansi waanze hata 1.2M
Hawa wengine 700k inatosha kabisa...

Ule mzigo wa advance ni wa maana tofauti kabisa na hizo combination za H za kucheza ngoma na kuandika ulichojifunza kutokana na ngoma
 
Shuleni tulikua tunawachukulia watu wa arts hua ni watu wa maneno mengi na umbea umbea, yaani ilikua ukitaka demu unamwagiza mtu wa art maana wanakuaga karibu na watoto wakike, tena ungeweza kukuta wanaume Kwa wanawake wote wanacheza netball , science ilikua inakuweka busy sana , physics, Biology, Chemistry, Basic&Additional Math's, hapo ilibidi kuwatafuta watu wa art wakufundishe civics &GS , art hata ukiwa umelala unajisomea tu, kitenzi shirikishi, causes of majimaji war, hizi unasoma umelala
 
nilisoma moja ya shule kubwa ya Serikali; ikiwa na Mikondo ABCD kulikuwa na mwalimu mmoja wa hesabu na wawili wa physics, wawili wa Biology. Lakini tulikuwa na walimu 36 wa English/Kiswahili etc
Hapo naongelea miaka hiyo na kwa sasa ndio nasikia walimu wa Hesabu ni bidhaa adimu
Mwalimu wa Hesabu anaweza kufundisha hadi anasikia kizunguzungu huku waalimu wa Arts wanagombea wapangiwe vipindi (wasije kukosa)
Kwahiyo ni kazi ya nani kuajiri walimu?
 
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?

Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,

Tena wakifika form three walimu wa science wanajichagulia watoto wao wa kuwafundisha,
Unakuta shule wanafunzi 300 wanasoma historia
Wanafunzi 60 wanasoma science
Hapo mwalimu mwenye mzigo mkubwa ni yupi? Kama sio huyu mwenye watoto 300!

Badala ya kujifanya kuongeza pesa kwa walimu wa science,
Serikali iajiri walimu wengi wa science na sanaa ili kuweka ikama sawa,
Na kutoa mzigo mkubwa wa vipindi kwa walimu waliopo,
Halafu iongeze mishahara na kuweka mazingira mazuri ikiwemo nyumba za kisasa kwa walimu,

Walimu acheni kujiwekea matabaka ninyi kwa ninyi,
Hakuna mwalimu bora kuliko mwingine
Itikadi za mwendazake ziachwe kama zilivyo
Pole sana mwalimu wa civics
 
Unachokitaka ni hiki 👇

1000011178.jpg
 
Hapo unakuta ni elf 50 ndo inaliliwa
 
1. Ada vyuoni mnaposoma mwalim wa sayans analipa kubwa kuliko art
2.Teaching load ya Mwl wa sayans ni kubwa,,sababu wapo wachache,
3.Mwalimu wa sayans inamlazimu kufanya kaz za lab technician sababu 90% ya shule hazina lab technician,,ko mwenzio anapopambana na ma chemical wee unapiga umbea tu unaona haki
 
Mleta hoja kasukumwa na wivu, husda, na chuki dhidi ya walimu wa sayansi.
 
Back
Top Bottom