Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

Kama na wewe unasupport upuuzi huo nawe nakuhakikishia huna akili! Mtoto anatakiwa asome Sayansi. Ndiyo maana kuanzia form one kila mmoja anasoma masomo yote. Kushindwa kusoma masomo ya sayansi ni upungufu.
Ndiyo maana nakwambia huna akili kwa sababu una uelewa mdogo sana sana kuhusu elimu sasa mtu kama wewe ni wa kukudharau tuu maana unawaza chini ya kiwango sana
 
Dharau umezitengeneza kwenye akili yako. Kulikuwa na hoja kuntu za kutofautisha mishahara kati ya walimu wa art na science:
1. Inavutia Wanafunzi wengi kusomea masomo ya sayansi ili hata mbeleni anaweza kwenda kusomea ualimu wa masomo ya sayansi.
2. Shule nyingi hazina laboratory technicians; Kwa hiyo, Mwalimu wa sayansi anafanya majukumu mawili: kufundisha theory Kisha kuaandaa na kusimamia practical.
3. Mengineyo watajazia wananzengo wengine.

Pia soma: Maoni: Walimu wa masomo ya Sayansi wapewe malipo ya ziada
 
Wajinga wengi huwa na fikra kama zako na watu wa aina yako huwa ni wa kuwadharau tu
 
Changamoto ya masomo ya sayansi ni mpaka uingie maabara.! Huko utashika makemikali ambayo ni hatari Kwa afya.
Mfano conc acids.
 
Fact
 
Tofauti ya mwalimu wa sayansi na sanaa huwa ni pale wanapoajiriwa na tofauti haizidi 50k ila baadae wakipanda cheo mshahara huwa unalingana. Nyongeza hiyo nafikiri ni motisha ya kuwa na vipindi vingi na kuandaa zana za kujifunza na kufundishia
 
ID inafanya wote tukupuuze
 
Ulitumwa kusomea vishazi huru na tegemezi? Vuna ulichopanda

Acha waliosoma
Inorganic chemistry
Ma integrations
Electrostatic, genetics wale maisha

We si uliona sifa zile hadithi za mkoloni
Ungekuwa serious na science si ungekuwa dk Janabi sasa,
Mbona unashika chaki
 
Nguvu ya kufundisha masomo ya sayansi haiwezi kuwa sawa na kufundisha masomo ya sanaa.

Unataka kulinganisha nguvuya kufundisha phys iwe sawa na kufundisha English au history ?

Kingine kama hujui wanafunzi wa sayansi wanalipa ada kubwa kuliko wenzao wa arts
 
Kwahiyo watoto wanapata A ya English wote,
Nguvu ,
Nguvu ipi?
Ya kuongea? Misuli au nguvu gani?
Unajua nguvu ya kufundisha English wewe kwa mtoto ambaye hata kiswahili hajui,
Leo kuna mpaka viongozi wakubwa tu wengine ni marehemu
Kingereza hawajui
 
Ulitumwa kusomea vishazi huru na tegemezi? Vuna ulichopanda

Acha waliosoma
Inorganic chemistry
Ma integrations
Electrostatic, genetics wale maisha

We si uliona sifa zile hadithi za mkoloni
Sasa hizi ni sayansi au historia ya sayansi! wamegundua nini kwenye jamii zaidi ya kukariri hizo theory vichwani mwao, wako overrated hawana cha ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…