Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

Ulitumwa kusomea vishazi huru na tegemezi? Vuna ulichopanda

Acha waliosoma
Inorganic chemistry
Ma integrations
Electrostatic, genetics wale maisha

We si uliona sifa zile hadithi za mkoloni
Hii ndio point
Inafaa walimu wa sayansi waanze hata 1.2M
Hawa wengine 700k inatosha kabisa...

Ule mzigo wa advance ni wa maana tofauti kabisa na hizo combination za H za kucheza ngoma na kuandika ulichojifunza kutokana na ngoma
 
Shuleni tulikua tunawachukulia watu wa arts hua ni watu wa maneno mengi na umbea umbea, yaani ilikua ukitaka demu unamwagiza mtu wa art maana wanakuaga karibu na watoto wakike, tena ungeweza kukuta wanaume Kwa wanawake wote wanacheza netball , science ilikua inakuweka busy sana , physics, Biology, Chemistry, Basic&Additional Math's, hapo ilibidi kuwatafuta watu wa art wakufundishe civics &GS , art hata ukiwa umelala unajisomea tu, kitenzi shirikishi, causes of majimaji war, hizi unasoma umelala
 
Kwahiyo ni kazi ya nani kuajiri walimu?
 
Pole sana mwalimu wa civics
 
Hapo unakuta ni elf 50 ndo inaliliwa
 
1. Ada vyuoni mnaposoma mwalim wa sayans analipa kubwa kuliko art
2.Teaching load ya Mwl wa sayans ni kubwa,,sababu wapo wachache,
3.Mwalimu wa sayans inamlazimu kufanya kaz za lab technician sababu 90% ya shule hazina lab technician,,ko mwenzio anapopambana na ma chemical wee unapiga umbea tu unaona haki
 
Mleta hoja kasukumwa na wivu, husda, na chuki dhidi ya walimu wa sayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…