Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

Dunia inaondoka kwa kasi Sana .
Those days unaambiwa kesho jiandae unaenda depo ,Basi usiku mzima ni kuwaza na kuwazua itakuwaje ,Mara upite huku kuangalia mazoezi ya huku ,kijasho chembamba kinakushuka Sana .

Huko nako unafika huulizwi chochote ni kuparangana na mbinde zote za huko finally uko chomboni na vimaswali vya kijinga wewe ni mtoto wa mzee kibuyu 😠

Tuvyeti wanatuangalia Kama toilet paper ila hawakuachi Wala nini .

Rest easy parents ,keep resting Mbuge

Pombe sio nzuri ndugu zangu ,jipende jilinde maisha ni popote
 
Nina miaka 50.

Nipo tayari kupambana mstari wa mbele vitani.

Mtanichukua??
 
Hello

Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia

Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate nafasi mnakatisha tamaa sana vijana watu wanapata nafasi kwa shida sana kuwalamba miguu mabos huyo unae muona boss kwako na kuzani kazini ndio mwenye mamlaka ana wakubwa zake pia

Kabla ya kwenda kwenye usahili hakikisha Nida yako ipo safi hii kwasasaivi inawaangusha ana vijana nida yako na ya baba yako hazifanani unaweza kwenda Nida sasaivi mapema kujihakikishia nida zako zipo sawa hazina shida yoyote ila vijana mnakaa mpaka siku ya mwisho mnaaza kukimbiza wazeee vichwa huwa vinauma hamjui

Pili majina yako yawe yako sawa kama unaitwa khamis na linaazia na k na h basi hakikisha vyeti vyako vyote vipo sawa vinaendana sana kama mahali pana shida nenda katafute barua kwa mwanasheria inayo kutambulisha au kukuthibitisha kuwa wewe ndio muhusika

Tatu afya nenda tu hospital kajichunguze mwenyewe wapi unashida ili ujijue kuna magonjwa mengine mnajitia aibu sana mfano mtu kijana mdogo anakutwa na bawasili au dalili za tenzi dume kwahiyo nashauri mjichunguze kwaza

NImeshangaa sana juzi kati hapa boss alikuwa na mtoto wa dada yake kidato cha sita kapata nafasi kijana anasema kuwa hana cheti cha form six ila ana transcript tu wenzake ambao wamemaliza mwaka mmoja wana vyeti unajiuliza hawa vijana wanakuwaga wanawaza nini

Ase nafasi zinapatikana kwa shida ukipata tumia vizuri acheni kukimbiza wazee
Lima chalii
 
Afande naomba kuuliza dalili ya bawasiri ina shida gani kwa askari?
Nafikiri ni kitu kinachotibika na hatua hiyo ya dalili haiwezi kumzuia askari kufanya mafunzo au kazi za askari.
Bawasili ukiwa nayo ngumu kwako kupiga kozi kutokana na mazoezi na kukaa sana kwasababu mgonjwa wa bawasili hawezi kukaa chini mda mrefu sana
 
Kwahiyo niende kwenye kambi yeyote na vyeti vyangu nikagaregare hapo getini.

Au utaratibu unakuwaje mkuu.
Wakujutolea washafika makambini mbona tafuta mbanga uende kama baba kanituma
 
...kila mtu anapambana mtu wake apite au apate nafasi mnakatisha tamaa sana vijana watu wanapata nafasi kwa shida sana kuwalamba miguu mabos huyo unae muona boss kwako na kuzani kazini ndio mwenye mamlaka ana wakubwa zake pia
Duh,
Nchi umeharibika mnoo.
Asiyekuwa na wa kumpambania huko ndani asahau kutoboa hata kama ana vigezo!!!
 
Back
Top Bottom