Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

Kuna sehemu vyeti.vinahitajika acha uongo
Mfano unaweza panda ndege ambayo rubani hana vyeti? Au waweza kubali.kutibiwa na daktari asiye.na vyeti?
Kwa jinsi Uzi ulivyonyooka, nahisi wewe umepotezana (kama umeusoma)
Nina swali kwako, Je unataka kuwa Rubani au Daktari? na una UHAKIKA kuwa utavipata baada ya kuhitimu?
Kama jibu ni ndiyo, NENDA KASOME
 
Kuna mwanangu amesoma Taxation ila ni fundi fenicha keko anafitisha milango ya kisasa balaa. 🀣
 
Tatizo Watu wanaamini ukisha pata degree lazima uwajiriwe, Elimu ni kwa ajili ya kukuongezea maarifa ili uyamudu mazingira yako Kama Binaadamu! Wanyama hawana elimu lakini wanaweza ku master mazingira yao bila shida!!
We ni mpuuzi, kama degree sio lazima ajira unafikiri watu wangehangaika kusoma. Watu wameishi na mfumo huu toka kuasisiwa kwa taifa hili.

Mipango mibovu ya serikali yetu ndio imetufikisha hapa. Serikali imekazania elimu watu wasome wamesoma ila pa kuwaajiri hamna sababu nchi haina viwanda zaidi ya taasisi ambazo zina watendaji tayari.

Sekta binafsi pia ingesaidia ila still bado haijakuwa kwa kiwango hicho sababu ya sera za kiwaki za serikali.
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Vipimo kati ya elbow moja na nyingine hapo ni universal havibadiliki.

Hiyo ni shower hapo kuna elbow ya maji moto naya maji baridi. Kikawaida kutoka centre ya elbow moja hadi nyingine ni 15 cm kokote uendapo duniani haibadiliki

Sorry mzee japo ni late reply ya post yako ukimuuliza huyo jamaa kuhusu plumbing lakini kwa uzoefu huyo ni saidia fundi kwa hivyo ujuzi bado ni mdogo kwenye hiko kiwanda sio fundi kamili.
 
Sorry mzee japo ni late reply ya post yako ukimuuliza huyo jamaa kuhusu plumbing lakini kwa uzoefu huyo ni saidia fundi kwa hivyo ujuzi bado ni mdogo kwenye hiko kiwanda sio fundi kamili.
Hakika mkuu jamaa ni saidia fundi nimejionea hilo
 
Sa Kuna haja gani ya kusoma degree ya mechanical engineering hufu na wewe unaenda kufungua garage kama mafundi wa veta. Mkitaka kujua vizuri elimu na mafanikio pendeni kusoma America experience
 
Maisha ni fumbo kulitegua inahitaj muda, upo sawa na haupo sawa kutokana na muda. Ahsante kwa ushauri !!
 
We jamaa huwa nakufuatilia kwenye content zako, kiukweli una mawazo flani mazuri yanayoshikika. Mkuu una unyama flani hv ambao huwa siuoni kwa sisi wengine. Huwa unachangia mara chache lakini uko deep sana.


BIG UP BRO
 
Mkuu mmoja aliwashauri Form 4 wiki 2 zilizopita kitu cha namna hii,mke wake ni mwl wa veta pia
 
Unamwita mwenzio mchawi mm nakuita wewe ni mjinga unaelekea kuwa mpumbavu unasemea marekani ungejua hiyo marekani haikua hata na vyuo vikuu ili ipita ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…