Wapande bus linalofika huko au kituo cha karibu zaidi na huko. Mbona maswali mepesi sana haya kwa mtu mzima!Vipi wanaoenda Tandika, Mbagala, GongolaMboto, Chanika nao washushwe wapi ili wafike home kirahisi?
Hii mada umechangia kama mwananchi sio uvccm,elewa kuwa against na serikali kuhusu maendeleo si lazima uwe mpinzanilofa sana gentleman 🤣
Wakati kituo kipo ubungo walikua wanafikaje huko wanapoishi!?Vipi wanaoenda Tandika, Mbagala, GongolaMboto, Chanika nao washushwe wapi ili wafike home kirahisi?
Haupo serious Yoda, watoke Arusha hadi Tandika, Mbagala, GMboto, Chanika kama hakuna stations maalum?Wapande bus linalofika huko au kituo cha karibu zaidi na huko. Mbona maswali mepesi sana haya kwa mtu mzima!
Sasa hivi bus zinazofika karibia hayo maeneo yote na pia yani hata kama kusingekuwa na bus za kufika huko suluhisho lisingekwa la kutaka abiria wote wanaotokea njia ya Chalinze washushiwe Magufuli.
Kama kutokea Ubungo waliweza kufika wanakoishi, inashindikana vipi kutokea Magufuli kwenda wanakioshi?Wakati kituo kipo ubungo walikua wanafikaje huko wanapoishi!?
Ni kweli kabisa mkuu..Hao sio Wafanyabiashara, ni majuha. Mfanyabiashara gani anataka serikali itumie mabavu kumletea wateja. Mfanyabiashara kama unaona hakuna wateja mahali unafunga biashara unaenda kufungua sehemu yenye wateja.
Ubungo kulikua ovyo mno,kwanza ubungo akukua na mabasi yanayoanzia safari ubungo,abiria alikua akishuka atembee mpaka river side,njia panda ya chuo ndio apate usafiri,mbezi kuna kituo cha daladala zinazoanzia safari pale,mbezi kuna daladala zinazofika kila sehemu ya dar tofauti na ilivyokua ubungoNinacho fahamu mimi ni kwamba hali hiyo inasaidia sana Wasafiri
Stand ya Magufuli imekaa kushoto sana na inakua mbali sana hata kupata connection ya usafi
Lakini kwa maeneo ya Ubungu Manzese hadi Magomeni muunganiko wa ruti za kutoka maeneo ya mbali kwa usafiri zinakua angalau
Nb
Nilikua natamani wapiga debe wote watolewe na iwe standard kama unaingia Airports
Hii mada imekaa kiupuuzi tuMbona mabasi yote ni lazima yaingie magufuli na kushushwa shekilango,then yanaelekea ofisini kwao,
Binafsi sishukiagi magufuli,nashukia kariakoo,ulisema lazima abiria wote washuke magufuli mbona tutateseka
Kampuni za bus zinazoelekea Kaskazini zina ruti mbili kwa sasa, ya Bagamoyo na Chalinze. Bus zote zinazopitia Chalinze na Morogoro road zinapita Magufuli Stendi abiria wanaotaka kushuka hapo wanashuka na wanaotoka kushukia Shekilango wanaenda kushukia huko. Gari isipopita Magufuli ina maana haikuwa na abiria wa kushushia hapo kwa sababu makonda huwa wanauliza abiria vituo wanavyoshukia.Haupo serious Yoda, watoke Arusha hadi Tandika, Mbagala, GMboto, Chanika kama hakuna stations maalum?
Lazima serikali ijenge vituo rasmi kwa ajili ya maeneo husika, huwezi kuruhusu kila mtu ajijengee kituo chake, ni kama nchi haina moderators, ipo ipo tu. Kuanzia Shekilango hadi Kagera kila tajiri ameamua kujijengea kituo chake, kuna iongozi kweli hapo?
Gentleman,Hii mada umechangia kama mwananchi sio uvccm,elewa kuwa against na serikali kuhusu maendeleo si lazima uwe mpinzani
Unaniuliza mimi mkuu!waulize hao wanaopinga stendi ya mbezi,then wengi wanaiokataa stendi ya magufuli ndio wale waliokuja mjini stendi ikiwa ubungo "washamba",hapo kitambo stendi ilikua kisutu na mnazi mmoja na watu walisafiri,then ikaja ubungo,wengi wamekalia kwenye present,awaangalii miaka 20 ijayo magufuli terminal itakuajeKama kutokea Ubungo waliweza kufika wanakoishi, inashindikana vipi kutokea Magufuli kwenda wanakioshi?
Kama ndoivo basi serikali wasingejenga kile kituo cha Magufuli tungekuwa kama Nairobi bila mpangilio wakujua stand kubwa ipo wapiWapande bus linalofika huko au kituo cha karibu zaidi na huko. Mbona maswali mepesi sana haya kwa mtu mzima!
Sasa hivi bus zinazofika karibia hayo maeneo yote na pia yani hata kama kusingekuwa na bus za kufika huko suluhisho lisingekwa la kutaka abiria wote wanaotokea njia ya Chalinze washushiwe Magufuli.
Hata miaka 50 ijayo bado Stendi ya Magufuli haiwezi kuwa na msaada kwa watu wa Ubungo, Sinza, Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mwenge, Bunju.Unaniuliza mimi mkuu!waulize hao wanaopinga stendi ya mbezi,then wengi wanaiokataa stendi ya magufuli ndio wale waliokuja mjini stendi ikiwa ubungo "washamba",hapo kitambo stendi ilikua kisutu na mnazi mmoja na watu walisafiri,then ikaja ubungo,wengi wamekalia kwenye present,awaangalii miaka 20 ijayo magufuli terminal itakuaje
🚮Hii mada imekaa kiupuuzi tu
Basi tu kilimo kinadharaulika ila ndo utajiri ulipoNi kweli kabisa mkuu..
Sema hiyo kauli ya kwenda kijijini kulima.
Inatuvunja sana moyo vijana wapambanaji..
Kwanini kulima..?
WTF is stendi kubwa kwa abiria, hakuna abiria anayejali stendi kubwa au ndogo. Abiria anachojali ni urahisi wa yeye kupanda au kushwa karibu zaidi na anapoishi.Kama ndoivo basi serikali wasingejenga kile kituo cha Magufuli tungekuwa kama Nairobi bila mpangilio wakujua stand kubwa ipo wapi
Mbona miji mikubwa ya ulaya stand zinakuwa nje ya mji halafu abiria wanachukua metroHata miaka 50 ijayo bado Stendi ya Magufuli haiwezi kuwa na msaada kwa watu wa Ubungo, Sinza, Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mwenge, Bunju.
Hapo umechemka mji mkubwa lazima upewe thamani kwa kujenga miundombinu inayolingana na hazi ya jiji .WTF is stendi kubwa kwa abiria, hakuna abiria anayejali stendi kubwa au ndogo. Abiria anachojali ni urahisi wa yeye kupanda au kushwa karibu zaidi na anapoishi.
Mkuu karibu 80% ya abiria wote wanaokwenda mikoani kupitia Morogoro Road wanapandia mabasi kwenye vituo vya Ubungu, Manzese hadi MagomeniUbungo kulikua ovyo mno,kwanza ubungo akukua na mabasi yanayoanzia safari ubungo,abiria alikua akishuka atembee mpaka river side,njia panda ya chuo ndio apate usafiri,mbezi kuna kituo cha daladala zinazoanzia safari pale,mbezi kuna daladala zinazofika kila sehemu ya dar tofauti na ilivyokua ubungo