Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

Watakuambia watanzania ni waoga kuliko wakenya kama unataka kuandamana hamia kenya.
 
Mkuu hapa nilipo kila siku mchana lazima umeme ukatike mchana. Hakuna DG wa TANESCO amewahi kutufanyia hivi
Hata mkeo ukimwachia chakula kidogo kulisha familia!
ANACHOWEZA Nikubalansi milo mhimu tu!

Hatakama watoto wamezoea mboga saba inabidi wamwambie BABA na si MPISHI!
Mkurugenzi ni mtoa huduma tu! LAKINI KAMA HANA CHA KUTOA lazima mgao uhusike!

Yeye ni mshauri namna ya kuongeza lakini mtekelezaji ni SERIKALI!
 
Unafanya makusudi kuongea huu ujinga? Jana moja ya tatizo alilokuwa analalamikiwa na kuulizwa sana ni hilo la ucheleweshaji wa kuunga umeme. Kuna mmoja kutoka moshi alimwambia ana miezi 9 Hadi sasa Hakuna majibu anayopata kutoka Tanesco ni lini ataungiwa umeme
 
Kwani hata kama huduma ikibinafsishwa wewe kama mwananchi unakosa nini?

Unataka kung'ang'ania watu wa ndani hata kama ni wabovu?

Kama outsourcing inaleta matunda chanya WHY NOT?
Unless uwe mnufaika umepokonywa tonge lakini sisi wananchi TUNAHITAJI MATOKE CHANYA!
Tutaponda huduma mbovu, tutapongeza huduma bora full stop
 
Wewe una tatizo la akili? Umesema huduma imeimarika, Mimi nikakuambia sio kweli ndio maana wameamua kuoutsource idara ya huduma sababu ufanisi haukuwepo na Hilo amelizungumza jana.

Wapi nimesema napinga hizo kazi kuwa outsourced? Mimi nimekujibu kulingana na ulichosema hapo.
 
Kulaum ni sehemu ya binadam, kuna haki na wajibu, mteja wajibu wake alitakiwa kutoa risiti za malipo kuonyesha malalamiko!

Anaweza kuwa kalipia kumbe katapeliwa, au taarifa zake za kibenki hazikufika TANESCO kutokana na changamoto ya kimtandao!
Hivyo huwezi sampo malalamiko kama hayo kuwa ni huduma mbovu!
 
Sasa kuna ubaya gani hapo kama ni kuongeza ufanisi!
Kwqni hata kwenye mpira kufanya sub si kawaida ili timu ishinde! Tatizo liko wapi?
 
Wewe una tatizo la akili sio bure
 
Sasa kuna ubaya gani hapo kama ni kuongeza ufanisi!
Kwqni hata kwenye mpira kufanya sub si kawaida ili timu ishinde! Tatizo liko wapi?
Ndio maana nikasema una tatizo la akili. Yeye mwenyewe kasema sababu ya kuoutsource ni kukosekana ufanisi.
 
Nyie kuna sehemu inasumbua umeme kama mbinga?.?

Wenyewe tushazoea solar tu maana Tanesco haina maana tena, umeme wanawasha asubuhi Saa 3/ hadi saa 1 Jioni wanakata hadi siku ya pili, siku ya pili hakuna umeme kutwa wanarudisha saa 1 jioni na hapo saa nne wanakata,mfyuuuuuu,


TANESCO kufanikisha msahau,maana kila MTz anawalaani.
 
Wako busy kujibu magroupuni kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…