Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Watakuambia watanzania ni waoga kuliko wakenya kama unataka kuandamana hamia kenya.Hivi kwanini wa Tanzania wote nchi nzima tusiandamane kuiwajibisha selikali kwa kushindwa kuja na suruhu ya tatizo la mgao was umeme?
Tuachane na Tanesco maana hawa wanasiasa wanatuchanganya sana wanakata umeme saa 2 asubuhi kisha wanarudisha saa nne using au sita usiku maana yake kuwa sisi tunaogopa Giza kuliko kufanya kazi zinazo tufanya tule na kulipa kodi?