- Thread starter
- #21
Mambo ya kujuana, mwachie Yeye na mkewe.We kimei unamjua vizuri?
Sisi tunaangalia uzoefu wa Ndugu Kimei na michango bungeni, maono nk nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kujuana, mwachie Yeye na mkewe.We kimei unamjua vizuri?
Ukweli ndiyo huo.Mambo ya kujuana, mwachie Yeye na mkewe.
Sisi tunaangalia uzoefu wa Ndugu Kimei na michango bungeni, maono nk nk.
Sawa mkuu! Kutambika ndo asili zetu waafrika... We kama hutaki endelea kuwa msaliti, kuwafata wazungu washenzi😂Hapa tunaongelea mada ya kitaifa,
Kuhusu ukabila, nenda huko kijijini kwenu mkajadiliane ukabila mkitambika huko.
Ingeongeza kubwa Mwigulu ni fisi aliye kabidhiwa kusimamia Bucha, ni mwizi wa kutishaSalaam,Shalom!!
Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali.
Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana tena wakipigiwa Kodi kandamizi za miaka ya nyuma. Nia hii inapingana na Nia ya Rais ya kukusanya Kodi Kwa akili.
Nia hiyo ya kuminya wafanyabiashara Si njema, na kamwe haiwezi kuinua Uchumi wa Nchi yetu, kupata Kodi, ni LAZIMA kuwatengenezea wadau mazingira mazuri ya biashara.
Mazingira mazuri ya biashara nchini, ni pamoja na kupunguza gharama ya umeme, BWAWA limejengwa Kwa mkopo, na pesa Inatakiwa ilipwe, kupunguza Bei ya unit ya umeme kutusaidia kuongezeka Kwa domestic industries za chini, kati na juu. Kujua Kwa viwanda vya ndani kutaongeza mauzo ya nje ya Nchi, kutaongeza ajira na kuongeza mzunguko wa pesa nchini. Haya Mawazo ya kuuza umeme nje ya Nchi yanatoka wapi!!
Kuinua Uchumi wa Nchi ni kubadili mtizamo wa kukopa Kila kukicha. Jambo Hilo ,Mwigulu limemshinda, hivyo mtu sahihi ni kukaa nafasi hiyo ni Mh Kimei.
Waziri Mwigulu ameshindwa kuhakikisha nchi inapata pesa za kigeni za kutosha Kwa kuimarisha Exportation ya bidhaa za ndani, Badala yake nchi yetu inageuka gulio la bidhaa Toka china ambalo linachangia pakubwa kukosekana Kwa pesa za kigeni.
Ni Imani yangu Waziri Mwigulu hajaota mizizi, hivyo naamini ni Rahisi tu kuondolewa na kuwekwa mwingine.
Ni mengi ya kusema, lakini itoshe kusema, Mwigulu Nchemba imetosha sasa!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Hii inchi ina mawaziri kibao wa uchumi na wanauwezo wa kuifanya nchi ikapaa kwa mshtuko wa hali ya juu! Sio mawaziri tu wa uchumi yaani kila sekta wapo! Tatizo ni nchi yetu kuwa waziri lazima uwe mwanasiasa na uwe na chama! MUNGU hawezi kuibariki aridhi iwe na kila aina ya utajiri alafu asiweke watu sahihi juu hiyo aridhi!Salaam,Shalom!!
Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali.
Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana tena wakipigiwa Kodi kandamizi za miaka ya nyuma. Nia hii inapingana na Nia ya Rais ya kukusanya Kodi Kwa akili.
Nia hiyo ya kuminya wafanyabiashara Si njema, na kamwe haiwezi kuinua Uchumi wa Nchi yetu, kupata Kodi, ni LAZIMA kuwatengenezea wadau mazingira mazuri ya biashara.
Mazingira mazuri ya biashara nchini, ni pamoja na kupunguza gharama ya umeme, BWAWA limejengwa Kwa mkopo, na pesa Inatakiwa ilipwe, kupunguza Bei ya unit ya umeme kutusaidia kuongezeka Kwa domestic industries za chini, kati na juu. Kujua Kwa viwanda vya ndani kutaongeza mauzo ya nje ya Nchi, kutaongeza ajira na kuongeza mzunguko wa pesa nchini. Haya Mawazo ya kuuza umeme nje ya Nchi yanatoka wapi!!
Kuinua Uchumi wa Nchi ni kubadili mtizamo wa kukopa Kila kukicha. Jambo Hilo ,Mwigulu limemshinda, hivyo mtu sahihi ni kukaa nafasi hiyo ni Mh Kimei.
Waziri Mwigulu ameshindwa kuhakikisha nchi inapata pesa za kigeni za kutosha Kwa kuimarisha Exportation ya bidhaa za ndani, Badala yake nchi yetu inageuka gulio la bidhaa Toka china ambalo linachangia pakubwa kukosekana Kwa pesa za kigeni.
Ni Imani yangu Waziri Mwigulu hajaota mizizi, hivyo naamini ni Rahisi tu kuondolewa na kuwekwa mwingine.
Ni mengi ya kusema, lakini itoshe kusema, Mwigulu Nchemba imetosha sasa!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Sasa sisi tunaongelea Uchumi, MADA ya kitaifa, wewe inaingiza mambo ya ukabila kutambika😀Sawa mkuu! Kutambika ndo asili zetu waafrika... We kama hutaki endelea kuwa msaliti, kuwafata wazungu washenzi😂
Biashara zinakufa daily, ajira zinapotea,Hii inchi ina mawaziri kibao wa uchumi na wanauwezo wa kuifanya nchi ikapaa kwa mshtuko wa hali ya juu! Sio mawaziri tu wa uchumi yaani kila sekta wapo! Tatizo ni nchi yetu kuwa waziri lazima uwe mwanasiasa na uwe na chama! MUNGU hawezi kuibariki aridhi iwe na kila aina ya utajiri alafu asiweke watu sahihi juu hiyo aridhi!
Tatizo ni mfumo na namma ya kuwatumia rasilimali watu hawa Haupo!
Kwani Mwigullu hana uchagga? 😂Bila shaka wewe utakuwa mchaga, ndomana unampigia debe mchaga mwenzako.
Makabila ya kishetani hayo ni marufuku kupewa nafasi za juu, muasisi wa taifa alituachia wosia huo... Na hata kwa akili timamu ya kawaida unajionea. Hawafai kabisa! Wana maroho mabaya sana! Makabila na mabinafsi, bora huyo mwigulu.
Na serikali inajua inachokifanya ndugu, tulia!
Kabisa kabisa! Awekwe mchaga pale! No! Kabila hili halifai kabisa, nchi itafilisika mileleBila shaka wewe utakuwa mchaga, ndomana unampigia debe mchaga mwenzako.
Makabila ya kishetani hayo ni marufuku kupewa nafasi za juu, muasisi wa taifa alituachia wosia huo... Na hata kwa akili timamu ya kawaida unajionea. Hawafai kabisa! Wana maroho mabaya sana! Makabila na mabinafsi, bora huyo mwigulu.
Na serikali inajua inachokifanya ndugu, tulia!
Kwamba ameshamea mizizi iliyofika Hadi kwenye vijito vya maji sio!!"Mwigulu ndio mboni ya mama,na hicho cheo ndio kilele chake mwigulu hakuna kingine zaidi ya hapo alipo na hawezi tolewa pale amesimikwa"sauti ya Mgunga pori huko mboka manyema ilisikika!!
Hadi wana wa mungu watakaposambaratisha utawala wa chini ndio tutapata mwenye haki atakaetuvusha baada ya 2025,kwa kinywa Cha yule mzee ni kwamba huyohaondoki hadi awamu hii ipite ije ile nyingine ya mjoli!Kwamba ameshamea mizizi iliyofika Hadi kwenye vijito vya maji sio!!
Ngoja tutumie chensaw!!
Unatakiwa ujivunie kuongozwa na anayekuzidi akili, Elimu, uzoefu na Maarifa.Kabisa kabisa! Awekwe mchaga pale! No! Kabila hili halifai kabisa, nchi itafilisika milele
Loh!!Hadi wana wa mungu watakaposambaratisha utawala wa chini ndio tutapata mwenye haki atakaetuvusha baada ya 2025,kwa kinywa Cha yule mzee ni kwamba huyohaondoki hadi awamu hii ipite ije ile nyingine ya mjoli!
umeona eeeMtu huyu alifaa aishie Ile nafasi ya kiongozi wa green guard.
Sijui amefikaje kuwa mchumi na waziri wa Fedha,
Ama Kweli, uchawi upo🤔
Hiyo ni kazi ya Waziri wa fedha ya kuongeza exports za bidhaa tunazozalisha?Waziri Mwigulu ameshindwa kuhakikisha nchi inapata pesa za kigeni za kutosha Kwa kuimarisha Exportation ya bidhaa za ndani,
Si ni wewe ulianzisha kunitamkia hivyo komredi 😁Sasa sisi tunaongelea Uchumi, MADA ya kitaifa, wewe inaingiza mambo ya ukabila kutambika😀
Na wana ubavu hata wa kubadili mfumo mzima! Wizara nzima ikawa na wafanyakazi wa kichaga... Wapo kama kunguni wale 😂Kabisa kabisa! Awekwe mchaga pale! No! Kabila hili halifai kabisa, nchi itafilisika milele
CRDB aliwajaza wanaoujuanaMambo ya kujuana, mwachie Yeye na mkewe.
Sisi tunaangalia uzoefu wa Ndugu Kimei na michango bungeni, maono nk nk.