Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

Umeongea Kweli yote,

Mimi nimeshauri kama Mwananchi ambaye ndiye Hasa mwajiri wa Serikali iliyopo madarakani akiwemo Mwigulu na wizara hiyo.

Asiposikia ushauri, tutakutana 2024&2025.
 
Labda wasomi kiwango Cha PhD kutoka vyuo maarufu duniani watusaidie

Ni nchi gani baada ya industrial revolution imeendelea sana na uchumi wake ulipaa juu bila ya umeme wa uhakika

Mwigulu nchemba nisikie! tuache mizaha hatuna umeme. Narudianl hatuna umeme

Ccm Mmechezea uchumi wa nchi kwa kuchezea umeme

Hakuna miujiza hakuna Kodi hakuna uzalishaji
 
Ni hatari sana kuongozwa na viongozi wenye upeo hafifu.

Wangeshusha Bei ya umeme waone Uchumi utakavyochipua Kwa Kasi!!
 
Nchi Haina umeme halafu eti waziri anatagemea uchumi.na mapato ya nchi yapande?

Hao wafanyabiasha hela za Kodi watazitoa wapi wakati miaka 2 hatuna umeme
mliberali nakubaliana nawe, "" mpaka kufikia hatua ya kudondoka maana yake mtu huyo alikwaa hatua fulani nyuma ya mwanguko ""
 
Mbona watumishi wa Serikali inakusanywa kirahisi?

Iweje washindwe kujua nini wafanye Ili biashara zianzishwe, zikue Kisha ajira zitengenezwe Kodi ikusanywe Kwa wingi?

Kuyafikia hayo ,unahitaji mchumi Original, Si huyu mgambo mkamua wachuuzi!!
Kwasababu Serikali ndie anayewagawia watumishi wake.

Hata wafanyabiashara wakiongezeka bado itabidi serikali iongeze juhudi kukusanya kodi kutoka kwao.
 
Umeongea Kweli yote,

Mimi nimeshauri kama Mwananchi ambaye ndiye Hasa mwajiri wa Serikali iliyopo madarakani akiwemo Mwigulu na wizara hiyo.

Asiposikia ushauri, tutakutana 2024&2025.
Heri wenye imani na matumaini kama yako - hasa kuhusu kuiajiri serikali ya JMT 😁
 
Wote ni wale wale kasoro nyuso zao tu.hata kimei ni hovyo tu akiwatesa sana watumishi kwenye mikopo ya crdb kwa kuweka riba ya 17% ili aonekane anafanya vzr.huyo hana tofauti na mtoza ushuru.akipewa watu mtalia bora hata mwigulu
 
Kwasababu Serikali ndie anayewagawia watumishi wake.

Hata wafanyabiashara wakiongezeka bado itabidi serikali iongeze juhudi kukusanya kodi kutoka kwao.
Hizo juhudi ndizo nazoziongelea,

Kuhakikisha mazingira mazuri ya biashara yanapatikana Kwa kusaidia Uchumi wa sekta wa biashara level zote zinakua na kuongeza ajira na mzunguko wa pesa ukue mara dufu.

Haya mambo ya kuwaza kukusanya tu bila kulea biashara Hasa za chini na kati, hatofanikiwa chochote.

IPO haja ya kushirikiana na wizara ya nishati, Bei ya nishati ya umeme ishuke, nishati nafuu na ya HAKIKA ndiyo backbone ya Uchumi wowote .
 
Naunga mkono HOJA πŸ™

No. 5 .
Safari za nje za viongozi zimulikwe na kupunguzwa Ili kuwa na akiba ya kutosha ya forex.

No. 6

Waziri wa mambo ya nje aondolewe, tupate waziri Mahiri atakaye wakilisha Nchi vizuri, atakaye pambana Nchi ipate fursa za kibiashara huko duniani kama afanyavyo balozi wa china nchini petu.
 
Kimei pamoja na usomi wake na kufanya vizuri crdb alikuwa na udhaifu wa ukabila na kujaza wachaga sana crdb kuanzia wafagizi mpaka ma memenejan kuipendelea sana KKKT kuingia nayo miradi mingi ikiwemo ya viwanja fukayosi bagamoyo..Hivyo angeendelea kuwa back bencha bungeni mzee wa five star apartments
 
Kwa kuwa umekubali alifanya vizuri,

Apewe nafasi hiyo.

Hayo mambo ya ukabila ni another topic.
 
Umezungumza jambo moja muhimu sana. Bwawa la umeme limekamilika kwa hivyo wasia wa magufuli utekelezwe. Bei ya umeme ipunguzwe kwa kiasi kikubwa ili kuvutia wawekezaji na kuwapunguzia wafanya biashara gharama ili hatimae bei zishuke za bidhaa. Waroho wenye kutaka kufaidi peke yao uwekezaji wa umma kwenye umeme walaaniwe. Tuliona pale januari na maharage wakiasema gharama hazitashuka. Mama amefanya vizuri kuwatimua.
 
Mfumo wa Kodi Tanzania hauko sawa na walipa Kodi n wachache.
Wa Tanzania wengi wao atupendi kulipa Kodi tunayostahili ndo Mana kipindi Cha Magu Nguvu kubwa ilikuwa inatumika Mama akapunguza wafanyabiashara nao waka take advantage,Sahz TRA nao wanakaza wakusanye mapato.
 
Akiondoka nani atakusanya hela za uchaguzi?
 
"Mwigulu ndio mboni ya mama,na hicho cheo ndio kilele chake mwigulu hakuna kingine zaidi ya hapo alipo na hawezi tolewa pale amesimikwa"sauti ya Mgunga pori huko mboka manyema ilisikika!!
Huyo mboka wa manyema aliemsimika mbona kama ni mizimu ya kikwetuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…