Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

Kimei hafai hata kidogo. Huyo ana ukabila usioelezeka kirahisi. Wizara nzima na taasisi zake zitajaa wachaga watup

Kimei hafai hata kidogo. Huyo ana ukabila usioelezeka kirahisi. Wizara nzima na taasisi zake zitajaa wachaga watupu.
Wewe ndo wale mnaowaza na kijambio suala la ukabila na mada iliyoko hapa imetoka wapi alafu unajiita chawa wa mama yani kuliko ungezaliwa bora baba yako angepiga nyeto bao alimwage ukutane ufe fala wewe
 
Ni hatari sana kuongozwa na viongozi wenye upeo hafifu.

Wangeshusha Bei ya umeme waone Uchumi utakavyochipua Kwa Kasi!!
UGHALI WA UMEME UNACHANGIA HIGH COST OF PRODUCTIONS, HIVYO BIDHAA ZINASHINDWA KUSHINDANA SOKONI.
 
Wewe ndo wale mnaowaza na kijambio suala la ukabila na mada iliyoko hapa imetoka wapi alafu unajiita chawa wa mama yani kuliko ungezaliwa bora baba yako angepiga nyeto bao alimwage ukutane ufe fala wewe
Mzee Minja naona unamtetea mchaga mwenzio. Huyo Kimei ana ukabila wa kufuru. Ubunge unamtosha.
 
Naomba nikuulize kitu ndugu , wewe ni mwenyekiti wa kamati ya harusi umeteua wanakamati mmoja wapo kachukua kadi za mchango na umejua kabisa kadi alizochukua zimepata kuchangiwa. Ila mwanakamati huyo hataki leta hiyo pesa ukizingatia budget bado inapwaya utamtizama tu huyo mwanakamati au ni mwizi? waziri nimemsikiliza vizuri na ninaifahamu VAT inavyokusanyika , amesema watu wamekusanya vat badala ya kuipeleka tra wamebaki nayo wanazungusha tu kwenye biashara zao sasa kwanini wasipeleke tra? shida ipo wapi wakidaiwa? mimi namuunga mkono waziri maana tunakatwa sana vat tukinunua vitu sasa watu wanabaki na pesa yetu. acha kuwatetea watu wanabaki na pesa kumbe ya serikali. anayelipa vat ni mnunuzi muuzaji yeye ni mkusanyaji sasa kwanini asipeleke? ni sawa na mwajiri akukate ile wanaita paye au pension yako kisha asipeleke utakubali?
 
mimi simtetei mtu humu ila sidhani kama ni sawa kusema kabila flan maana ni ubaguzi. Ukishasema wachaga kesho utasema wasukuma kesho utasema wazanzibar, utakuja sema wahaya
Ni Ujinga kutaja ukabila kwenye profession,

Sheria za Nchi zipo, yeyote mwenye sifa apewe,

Kisha afuate Sheria, miiko na taratibu zilizopo, akikiuka, ashtakiwe na kuhukumiwa.
 
Rudia rudia rudia tena na tena hotuba yake, utajua kwanini povu linamtoka kiasi kile.
 
Ngoja nikitulia niisikilize tena shukran
Mapato yamepungua sababu Serikali haikusanyi tena pesa ya bandari Bali ni mwekezaji.

Sasa Badala ya kunyooka, anaongelea wafanyabiashara kana kwamba Kuna mgomo wa wafanyabiashara kutopeleka return zao Kila baada ya miezi mitatu sawasawa na makadirio Yao.

Huu mkataba fake, hautekelezeki, utaondolewa tu, ni suala la muda.
 
Kiukweli Mwigulu amewakosea sana wafanyabishara wa Tanzania , nchi zingine huku angeshaambiwa ajiuzulu….huwezi generalize kusema wafanyabishara wote wakubwa wanaodaiwa kodi ni Wezi …….., wakati wengi wao hasa wenye makampuni ya ujenzi na miradi ya maji wanaidai serekali mobilioni ya pesa ….sasa wanatoa wapi pesa za kulipa hadi uwaite ni WEZI
 
MAKABILA YA KISHETANI
 
MAKABILA YA KISHETANI
ukiona mtu anajikita kutaja udini au ukabila jua kafilisika kichwani akapimwe. Hapa tujadili hoja juu ya hoja mjadala mzuri kama huu tusilete ujinga maana ni mambo yanayohusu maisha yetu tuna biashara tunafanya sasa badala ya kujadili mambo ya msingi jitu linakuja na ukabila. kama huna hoja tulia usome maana ni sehemu ya kujifunza pia
 
Mzee Minja naona unamtetea mchaga mwenzio. Huyo Kimei ana ukabila wa kufuru. Ubunge unamtosha.
Wala siyo kumtetea hata kama asingekua Huyo kimei kwan kimei ni ushuzi gani kuna watu wengi wenye uwezo lakini siyo huyo mwigulu hyo jamaa chenga yeye kakaa pale kila siku na timu yake ya Wizarani na wataalam wao wa Sera ni kutukandamiza kwa kutuwekea tozo mpya hawana ubunifu kabisa sema sababu yy ndo anaemsaidia mama yenu kujaza mifuko yake ili wakistaafu waishi kama Malaika ndo maana hiyo bibi yenu hawezi kumtoa kwenye hyo nafasi ila Mwigulu na Makamba utendaji wao ni Sifuri hawana hata kipaji cha Uongozi wa familia
 
.
 
Mods mkaona mbadili na heading kabisa!!
 
Kitendo cha kutupandishia Kodi ya Majengo kimiya kimiya kwenye Luku kimenifanya nimchukie sana huyu mnyapaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…