Ni hivi.Ni taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru. Kuna assistant lecturer anawaamuru wanafunzi wamnyonye mboro Ofisini
Aisee...Basi hicho ni chuo kibovu kama haya usemayo ni kweli.
Chuo kisicho linda hadi ya taaluma yake; hiyo ni takataka.
Hivi ni vyuo wanavyosoma akina Samia..
Naunga mkono hoja yako.Muache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.
Nina ushahidi wa vyuo vikubwa mkoa fulani ndio michezo ya hao wapuuzi wanaoitwa wakufunzi, yaani serikali imewapa maamuzi makubwa ktk maisha ya watu kuliko uwezo wao wa kiakili.
Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo.
Narudia tena, hizi kenge zinazoitwa wakufunzi(lecturers) zimepewa maamuzi makubwa kuliko uhalisia, maamuzi yanayoaffect mamia ya wanafunzi wasio na hatia hasa wanawake, kuna kesi nyingi sana vyuoni ambazo zinatia aibu mfumo wa elimu ya hii nchi.
Anayetetea huu ushenzi ni either hajasoma hajui haya mambo au ni mmoja wa wanufaika wa huu unyanyasaji wa kingono huko mavyuoni.
Kuna ulazima wa kupitia upya background na afya ya akili kwa hawa wakufunzi kabla ya kupewa majukumu yanayoharibu maisha ya watoto wa watu.
Shame on you chawa
Washirikishe TakukuruHuyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Sawa lakini ndio somo lake tu afeli!?Stories za aina hii nazo ni za kuzisikiliza with an open mind. Sijawahi kusikia story kama hii kutoka kwa msichana mwenye uwezo mkubwa darasani.
Wewe utakuwa hukuwa na kampani ya kueleweka ukiwa chuo au hukuwa na circle ya watu wanaokupa taarifa maana huaminiki au ni mmoja wa wanyanyasaji wa wanawake,Stories za aina hii nazo ni za kuzisikiliza with an open mind. Sijawahi kusikia story kama hii kutoka kwa msichana mwenye uwezo mkubwa darasani.
Hao labda ndio wanajiita introvert hawaongei na watu, wadada chuo ukikaa nao vizuri utapewa hadi majibu ya mitihaniWewe utakuwa hukuwa na kampani ya kueleweka ukiwa chuo au hukuwa na circle ya watu wanaokupa taarifa maana huaminiki au ni mmoja wa wanyanyasaji wa wanawake,
mbona haya mambo ya yanajulikana sana, na hata hao wanafunzi wa kike wanaofanya vizuri wakiwa na muonekanl mzuri ndio wanaoteseka na unyanyasaji wa kingono, alafu ni wapi kumeruhusiwa kunyanyasa mtoto wa kike kisa hana uwezo mzuri darasani?, watu wa aina yenu mmesoma vyuo vya wapi hivyo au ndio wale wale wa Zion Collage/ bible collage?
Mkuu watu wanaotetea aidha ni kile kizazi Cha mwalimu au wanufaikaNi hivi.
Ubovu wa taasisi hizo za kiserikali ni kioo tu cha ubovu uliopo kila sehemu juu ya maswala ya uongozi wa nchi.
Kwa hiyo haishangazi kabisa kama hayo yaliyoelezwa na mleta mada, kweli yanatokea.
Kwa nini tushangae ya huko kwenye vyuo hivyo, halafu tusishangae ya serikali tunayoyaona kila siku.
Mkuu achana na hawa wapuuzi wanaokukatisha tamaa, cha msingi hapo muandae huyo binti atafute ushahidi wa maandishi kupitia meseji za huyo jamaa au secret voice record mtaitumia kumshughulikia au nenda kwenye institute zinazohusika na haki za kijinsia wao watajua wanakusaidiaje dhidi ya huu unyanyasaji, naelewa hawa washenzi wako wengi wanajaribu maisha ya mabinti huko vyuoni, ndiomaana unawaona hata wanufaika wa huu unyanyasaji wakijifanya kupinga.Sawa lakini ndio somo lake tu afeli!?
Sina la kuongeza katika mchango wako; kwa sababu umegusa penyewe hasa.Aisee...
Nje ya mada kidogo, wewe unaonekana ulihitimu kitambo sana.
HAKUNA chuo hapa bongo kilichonyooka kitaaluma hivi sasa, nakuhakikishia hilo. Ufundishaji na upimaji wa wanafunzi ni mbovu mno.
Kuna chuo mwalimu anafundisha kipindi kimoja muhula mzima, kuna chuo wanafunzi wa bachelors wanakaguliwa notes...
Hata introvert hawapo hivi mzee, hawa itakuwa ni form4 failureHao labda ndio wanajiita introvert hawaongei na watu, wadada chuo ukikaa nao vizuri utapewa hadi majibu ya mitihani
Kuna vyuo wanaume ni rushwa ya pesa(ukishikwa supp) na wanawake rushwa ya ngono mpaka hata hivi vya dini sema kwa vile mzazi unajua kulipa ada hayo huwezi kuyajua.Muache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.
Nina ushahidi wa vyuo vikubwa mkoa fulani ndio michezo ya hao wapuuzi wanaoitwa wakufunzi, yaani serikali imewapa maamuzi makubwa ktk maisha ya watu kuliko uwezo wao wa kiakili.
Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo.
Narudia tena, hizi kenge zinazoitwa wakufunzi(lecturers) zimepewa maamuzi makubwa kuliko uhalisia, maamuzi yanayoaffect mamia ya wanafunzi wasio na hatia hasa wanawake, kuna kesi nyingi sana vyuoni ambazo zinatia aibu mfumo wa elimu ya hii nchi.
Anayetetea huu ushenzi ni either hajasoma hajui haya mambo au ni mmoja wa wanufaika wa huu unyanyasaji wa kingono huko mavyuoni.
Kuna ulazima wa kupitia upya background na afya ya akili kwa hawa wakufunzi kabla ya kupewa majukumu yanayoharibu maisha ya watoto wa watu.
Shame on you chawa
Watu wanafikiri haya mambo ni maigizo sijui wamesomea vyuo vya nje ya nchiMwambie amrekodi akiwa anaongea awapelekee pccb! Mimi nilikutana na huyo mshenzi pale saut, nilikuwa mjeuri nikacarry nikakomaa nikatoboa! Ilipotea test moja tu ndio sababu ya kurudia mtihani mwalimu anashindwa kureweka records, ukifika ofisini anakwambia we binti una shape hivi! Anaanza kukusogelea! Aisee na akijichanganya akalala naye ndio bye bye atamtumia mpaka achoke na hachomoi hiyo supp! Kuna dada alikaa miaka mi5 chuo!
Uko sahihi mkuu rushwa ni rushwa tu haijalishiHaijalishi ameugua ama la,rushwa ni rushwa, ni wewe sasa umshtaki,umuache mtoto aliwe kimaskhara ama umtoe huyo mtoto katika shule hiyo. Ila ingekuwa vema sana tukamshirikisha waziri mwenye dhaman Dk. Gwajima D
Mkuu hata mama yako alikuwa binti angekuwa na mawazo ya kutoa kwa wenye hela labda usingekuwepoWanawake walivyo wa ajabu anagoma kuachia mambo kwa mwalimu wake wakati huo huo yupo na mahusiano na mume wa mtu na wanywa visungura.
Kama kuna ushahidi wa jumbe za simu weka mtego wahusishe na pccb
Wewe unaibua maswali yale yale yanayohusu uongozi wa nchi.mbona haya mambo ya yanajulikana sana, na hata hao wanafunzi wa kike wanaofanya vizuri wakiwa na muonekanl mzuri ndio wanaoteseka na unyanyasaji wa kingono, alafu ni wapi kumeruhusiwa kunyanyasa mtoto wa kike kisa hana uwezo mzuri darasani?, watu wa aina yenu mmesoma vyuo vya wapi hivyo au ndio wale wale wa Zion Collage/ bible collage?