Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Hivi watu wa hivo wapo kweli? Siamini Sana kwasabu modality ya usomaji yenyewe inaelekeza huko kumjengea mtu uwezo wa kujumuika na ku socialize na jamii
 
Mkuu hivi unajua u Prof. unapatikanaje? Pitia kitabu Cha TCU uelewa zaidi,
Shida kwelikweli ndugu
Sina haja hata ya kujua maana sina lengo la kuwa Prof sijui hata faida zake zaidi ya kuchanganyikiwa, mtoto wangu hatorithi cheti cha u-Professor isipokuwa mali nitakazo acha
 
Unataka cheo ajili ya masilahi bora na siyo cheo kwamba ukatumikie watanzania, kwani wewe uliomba kazi ya ualimu au madaraka?
Una stress we jamaa, eti unanituma nipiganie masilahi ya Walimu ili wafanye nini ili waendelee kulewa pombe vilabuni😀
 
huu ujinga wa kwenda kusoma ukiwa unapigia mahesabu vyeo ni ujinga. hiyo hela ya kusoma masters au PhD ungefuga mbuzi tuu mwalimu ungekuwa mbali sana. acha umbulula.
Mwambie ukweli, hiyo masters yake ukitoa hivyo vyeti kichwani anabaki empty hana kitu kichwani, alijua akisoma masters akirudi anakuja kuwa DEO/REO
 
Una stress we jamaa, eti unanituma nipiganie masilahi ya Walimu ili wafanye nini ili waendelee kulewa pombe vilabuni😀
Tuna kufanyia cancelling uachane na mawazo yako ya kijinga, chapa kazi watu watakuona hatimaye utachukuliwa na mashirika makubwa kama kweli utakuwa una uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali na siyo huu ujinga wako unataka kwenda kukaa ofisini bila kufanya kazi.
 
Mwambie ukweli, hiyo masters yake ukitoa hivyo vyeti kichwani anabaki empty hana kitu kichwani, alijua akisoma masters akirudi anakuja kuwa DEO/REO
Kwanini utoe vyeti kwenye kichwa Cha mwenzio...sijajua jinsia yako Ila tu ww unaroho ya kichawi
 
Naona umedata Sasa hyo familia yako unaongozaje aisee kwa akili zako hzi
 
Eti cancelling 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…