Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nakushauri upambanie maslahi bora kwa walimu na siyo vyeoPole Sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri upambanie maslahi bora kwa walimu na siyo vyeoPole Sana aisee
Hivi watu wa hivo wapo kweli? Siamini Sana kwasabu modality ya usomaji yenyewe inaelekeza huko kumjengea mtu uwezo wa kujumuika na ku socialize na jamiiWazo zuri ila Uongozi siyo tu elimu kubwa Mkuu!...kuna attributes nyingi sana za Uongozi.
............................................
Mfano mtu anaweza kuwa na PhD (Yes) ila hana vision, hawezi ku-influence changes, yupo so rigid....hana social skills, hajui laws of power.
.............................................
Narudia wazo lako ni zuri ila linapaswa kuangaliwa katika mawanda mapana zaidi
Sina haja hata ya kujua maana sina lengo la kuwa Prof sijui hata faida zake zaidi ya kuchanganyikiwa, mtoto wangu hatorithi cheti cha u-Professor isipokuwa mali nitakazo achaMkuu hivi unajua u Prof. unapatikanaje? Pitia kitabu Cha TCU uelewa zaidi,
Shida kwelikweli ndugu
Unataka cheo ajili ya masilahi bora na siyo cheo kwamba ukatumikie watanzania, kwani wewe uliomba kazi ya ualimu au madaraka?Kwani Walimu hawana masilahi Bora? Mm sjui
We utakuwa ni kichaa, familia angu unaiongoza wewe?Hujui mfumo wa uongozi
DA HUSTLA vipi upo poa habari za siku nyingi mkuu.Nyie wenye masters/PhD komaeni na utafiti na consultancy, hapo ndio umuhimu wa elimu zenu utaonekana.
Uongozi hauna uhusiano na elimu kubwa, hata darasa la 4 anaejua kusoma na kuandika anaweza kuongoza vizuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una stress we jamaa, eti unanituma nipiganie masilahi ya Walimu ili wafanye nini ili waendelee kulewa pombe vilabuni😀Unataka cheo ajili ya masilahi bora na siyo cheo kwamba ukatumikie watanzania, kwani wewe uliomba kazi ya ualimu au madaraka?
Mwambie ukweli, hiyo masters yake ukitoa hivyo vyeti kichwani anabaki empty hana kitu kichwani, alijua akisoma masters akirudi anakuja kuwa DEO/REOhuu ujinga wa kwenda kusoma ukiwa unapigia mahesabu vyeo ni ujinga. hiyo hela ya kusoma masters au PhD ungefuga mbuzi tuu mwalimu ungekuwa mbali sana. acha umbulula.
Sasa wewe kama hata akili huna huko shule unafundisha nini?Vipi upo sawa kweli we mburula
Tuna kufanyia cancelling uachane na mawazo yako ya kijinga, chapa kazi watu watakuona hatimaye utachukuliwa na mashirika makubwa kama kweli utakuwa una uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali na siyo huu ujinga wako unataka kwenda kukaa ofisini bila kufanya kazi.Una stress we jamaa, eti unanituma nipiganie masilahi ya Walimu ili wafanye nini ili waendelee kulewa pombe vilabuni😀
Kwanini utoe vyeti kwenye kichwa Cha mwenzio...sijajua jinsia yako Ila tu ww unaroho ya kichawiMwambie ukweli, hiyo masters yake ukitoa hivyo vyeti kichwani anabaki empty hana kitu kichwani, alijua akisoma masters akirudi anakuja kuwa DEO/REO
Naona umedata Sasa hyo familia yako unaongozaje aisee kwa akili zako hziTuna kufanyia cancelling uachane na mawazo yako ya kijinga, chapa kazi watu watakuona hatimaye utachukuliwa na mashirika makubwa kama kweli utakuwa una uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali na siyo huu ujinga wako unataka kwenda kukaa ofisini bila kufanya kazi.
Teacher kama ni mja mzito wewe nenda klinik hapa hakuna msaada wa vyeo vya bureKwani na ww unafamilia sasa unafanya nn hapa siendelea kuongoza familia yako huko, kiazi we
Eti cancelling 🤣🤣Tuna kufanyia cancelling uachane na mawazo yako ya kijinga, chapa kazi watu watakuona hatimaye utachukuliwa na mashirika makubwa kama kweli utakuwa una uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali na siyo huu ujinga wako unataka kwenda kukaa ofisini bila kufanya kazi.
Muulize mumeo anaijuaKwanini utoe vyeti kwenye kichwa Cha mwenzio...sijajua jinsia yako Ila tu ww unaroho ya kichawi