Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Ndio kundi la kifo linavyokuwa, sio group timu ina points 10… sio kundi la mpira hilo ila rede.

Group pekee michuano hii timu ina points 10
yaani ni mwendo wa rede reduka, rede reduka, rede reduka,
 
Mzeebaba mmeshindwa kuwafunga jwaneng na asec ndo mngewafunga ahly na crb? Hauko serious wewe. Halafu Mambo ya kuongoza kundi misimu iliyopita haiwezi kukupa faida yoyote kwa sasa, acha ushabiki uongee vitu vya maana. Yaani kumfunga wydad ambaye kafungwa na timu zote kwenye group mnajiona mmeshafika finally.
Ukisema hivyo nami nitakuuliza kwanini hukumfunga Ihefu

Matokeo ya hizo mechi tulizoshindwa kushinda kila mtu anajua sababu ilikuwa ni nini na ndio maana tuna jiamini kuwa 2nd leg tunatoka na point 6

Kipindi tunacheza na Asec timu ilikuwa kwenye migogoro wakati tunacheza na Jwaneng Galaxy tulikuwa ndio tumetoka kusuluhisha migogoro.

Na mpira uliuona, matokeo ya sare ugenini hayakuwa matokeo mabaya kumbuka hata Al Ahly akija ugenini kipaumbele cha kwanza ni kupata sare.
 
Hamjawai kosa sababu kamwe, enyi mbumbumbu fc
 
Kama karata za Yanga ni kuifunga Al Ahly kwake basi Robo ataiskia kwenye redio.
 
Hamjawai kosa sababu kamwe, enyi mbumbumbu fc
Mbona hilo jambo lipo wazi

Hatukatai sio kila timu inapofanya vibaya sababu inakuwa migogoro

Ila ishu ya Simba ipo clear ni kama tu ishu ya viingilio kwenye mechi za Simba kimataifa kuwekwa 3,000

Inafahamika kiingilio kimewekwa 3,000 kwasababu mashabiki hawafurahishwi na mwenendo wa timu na hivyo wametia mgomo.
 
Kwahiyo kabisa ukakaa ukafikiria na unaona umeleta booonge la thread!

Kwani nyie mna tofauti gani na sisi hadi upate nguvu ya kutoa ushauri?
Usipolielewa hili andiko sasa utaliela hapo baadae hatua ya makunfi itakapotamatika.
 
Ndilo kundi pekee ambalo kila timu imeshinda kombe la ligi kuu nchini kwao msimu uliopita.
Kuna sababu kubwa kuzidi hiyo?
Halafu ikawaje bingwa akaanza hatua ya awali halafu asiye bingwa akaanza hatua ya kwanza?
 
Ukisema hivyo nami nitakuuliza kwanini hukumfunga Ihefu

Matokeo ya hizo mechi tulizoshindwa kushinda kila mtu anajua sababu ilikuwa ni nini na ndio maana tuna jiamini kuwa 2nd leg tunatoka na point 6

Kipindi tunacheza na Asec timu ilikuwa kwenye migogoro wakati tunacheza na Jwaneng Galaxy tulikuwa ndio tumetoka kusuluhisha migogoro.

Na mpira uliuona, matokeo ya sare ugenini hayakuwa matokeo mabaya kumbuka hata Al Ahly akija ugenini kipaumbele cha kwanza ni kupata sare.
Mulikuwa na migogoro na nani
 
Nafasi ya ya kwanza ipo katika battle baina ya timu mbili (Al Ahly na Cr Belarouzidad)

Maana yake wewe Yanga haupo kwenye hiyo marathon wewe ni shuhuda tu wakuangalia hiyo battle.
Wapo wanaombea Al Ahly amfunge CRB, ukiwauliza asipomfunga itakuwaje wanatoka ndukiii
 
Nafasi ya ya kwanza ipo katika battle baina ya timu mbili (Al Ahly na Cr Belarouzidad)

Maana yake wewe Yanga haupo kwenye hiyo marathon wewe ni shuhuda tu wakuangalia hiyo battle.
Dogo umewahi kucheza mpira?
 
Back
Top Bottom