Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Cheki huyu alichokiandika nilijua atafuta kwa aibu lakini bado ameiacha hii trash hajajua kuwa alichokiandika ni aibu??Kenge wewe. Simba sc ni viti maalum kwani ni mabingwa wa nchi gani?
Simba yupo Club Bingwa kutokana na juhudi zake za kuifanya Tanzania iwe miongoni mwa timu 12 zitazoweza kutoa timu nne kwenye michuano ya CAF.
Simba ilijitengenezea backup yenyewe kuwa hata ikitokea kombe la ligi kuu limeenda kwa timu ya ajabu basi anayo access ya kucheza CAF champion league.
Sijui kama ulikuwa unaelewa hii?