Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Comrade, hiki ulichoandika hapa ni zaidi ya uharo wa bata. Na uniwie tu radhi kwa kusema ukweli.
 
Simba nao wafanye nini? 😅😅

Mna majanga yenu mengi tu, hebu elekeza ushauri kwenye timu Yako.
Simba wameshaamua kupita njia ngumu ya Klabu Bingwa, sasa wewe unalazimisha upite hapo hapo kisa tunajuana kumbe labda wewe umeandikiwa njia yako nyingine ya mafanikio. Kama nilivyomwambia Nifah ni ushauri tu, mkiona vipi achaneni nao.
 
Wapo wanaombea Al Ahly amfunge CRB, ukiwauliza asipomfunga je wanatoka ndukiii
Hata asipomfunga wakitoa sare bado ana kibarua kigumu

Yanga mechi zake nyepesi kashamaliza, wakati Cr Belarouzidad ana mechi 1 nyepesi ambayo anakutana na Medeama akiwa kwake Algeria

Kwa hiyo Cr Belarouzidad akija kwa Mkapa atacheza mpira wa hesabu tu

Kwasababu mechi ya Yanga na Cr Belarouzidad itamhitaji Yanga kushinda kwa magoli zaidi ya matatu bila kuruhusu goli.

Kitu ambacho ni ngumu kwasababu mwisho wa siku wakiwa na point sawa wakienda h2h Cr Belarouzidad ana nafasi kubwa ya kupita kutokana na faida ya goli 3 alizopata kule kwake
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Kama una mke na familia basi wahesabu Awana mtu hapa ni hasara, umekaa ukakosa kazi ya kufanya ukaona uwape yanga ushauri wako? Unashindwa kuwashauri kina mwenyekiti wako mangungu wasajili vizuri unaenda kuishauri timu inayojiweza? Timu yako na hao unaowashauri ni ipi Bora? Kwanini usianze na uchafu wako kabla ujarukia vya wenzako?
 
Hata asipomfunga wakitoa sare bado ana kibarua kigumu

Yanga mechi zake nyepesi kashamaliza, wakati Cr Belarouzidad ana mechi 1 nyepesi ambayo anakutana na Medeama akiwa kwake Algeria

Kwa hiyo Cr Belarouzidad akija kwa Mkapa atacheza mpira wa hesabu tu

Kwasababu mechi ya Yanga na Cr Belarouzidad itamhitaji Yanga kushinda kwa magoli zaidi ya matatu bila kuruhusu goli.

Kitu ambacho ni ngumu kwasababu mwisho wa siku wakiwa na point sawa wakienda h2h Cr Belarouzidad ana nafasi kubwa ya kupita kutokana na faida ya goli 3 alizopata kule kwake
Nayajua hayo na wao wanajua ndiyo maana nimesema ukiwauliza CRB asipofungwa na Al Ahly itakuwaje wanaishiwa pumzi.

Wanajiamini kuifunga CRB iwapo watafungwa na Al Ahly ila wanakosa huko kujiamini kama CRB atatoka hata sare na Al Ahly. Naijua vizuri akili yao hawa ndiyo maana nacheza nao ninavyotaka.
 
Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu

Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita

Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.

Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
🤔🤔🤔 Mangungu endelea kuwaongoza kondoo wako zaidi ya miaka 200, kwa akili hizi endelea kuwaletea kina manzoki Mzee !!!
 
Nayajua hayo na wao wanajua ndiyo maana nimesema ukiwauliza asipofungwa na Al Ahly itakuwaje wanaishiwa pumzi
Watu wa Yanga wengi hawayajui kama wapo basi sio wa humu

Jana niliona Gongowazi wawili wakibishana na huu ukweli, cha kushangaza ni pale walipokuwa wanakuja na screenshot ambazo zimeandika sheria zilezile nilizozisema mimi
 
Mzeebaba mmeshindwa kuwafunga jwaneng na asec ndo mngewafunga ahly na crb? Hauko serious wewe. Halafu Mambo ya kuongoza kundi misimu iliyopita haiwezi kukupa faida yoyote kwa sasa, acha ushabiki uongee vitu vya maana. Yaani kumfunga wydad ambaye kafungwa na timu zote kwenye group mnajiona mmeshafika finally.
Tokea lini mbumbumbu akaongea point bwana, anasema aliongoza kundi muulize kipindi Cha korona timu nyingi zilikuwa nyanya na ata iyo anayosema alimfunga El merekh muulize ilikuwa El merekh ya aina Gani asidhani atukumbuki
 
Kwahiyo kabisa ukakaa ukafikiria na unaona umeleta booonge la thread!

Kwani nyie mna tofauti gani na sisi hadi upate nguvu ya kutoa ushauri?
Katika mwaka anaweza kuongea point mara 2 tu. Alipo hajui kama Hakuna kanuni ya mshindi wa 3 kuangukia shirikisho.
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Simba ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Jwaneng Galaxy kule Botswana. Kutoka suluhu na ASEC kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Simba alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo ASEC Mimosas alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Jwaneng Galaxy dhidi ya Wydad na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Simba mpaka sasa.
 
Hii imeendaa. Hii imeendaaa
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Kenge wewe. Simba sc ni viti maalum kwani ni mabingwa wa nchi gani?
 
Ndio shida ya kuwa shabiki wa Yanga yani unafatilia vitu vinavyohusu timu yako tu ambavyo vyote kimsingi ni vya kijinga tu.

Leo nikikuuliza nitajie tarehe mliyovalishwa misuli utakumbuka
Mimi ni shabiki wa yanga na ninaujua mpira kwasababu nimeucheza ndio maana mimi sio shabiki mjinga kama wewe waliopo humu ni mashahidi Yanga anapokosea nakosoa na anapopatia nasifia pia,mara nyingi huwa nasema humu huyu alikamwe na privaldinho wana utoto uliopotiliza...halafu ujinga upo kotekote na huwa unaungwa mkono na wajinga kama wewe unakumbuka ujio wa manzoki na ibenge kwenye uchaguzi mkuu wa simba?
 
mbona juzi baada ya kushinda mechi yenu na wydada dua zenu zilikuwa ni asec ashinde, kisa kilikuwa nn?
Simba haihitaji timu nyingine ishinde ili yeye afikirie atafuzu. Mechi ya mwisho Simba anacheza nyumbani tena dhidi ya timu ambayo tuna kisasi nayo. Unadhani Simba hii iliyotulia ina wasiwasi na hiyo mechi?
 
Back
Top Bottom