Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Yule mjinga ni player mzinzi sana [emoji3]Ha ha ha....uyo bro wako alikua Hana chembe ya wivu wala mapenzi kwa we wake .
Yaan
Moyo wake ulkua mkavu kavu Kama gunzi la muhindi vile[emoji1787]
Sina mpenzi, sina dada, sina kakaHuna mpenzi au mume au kaka au dada au huendi msikitini au kanisani utafute sheikh au padri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana iblis,
kwaiyo unataka binamu akamuibie hata shehe na padri kweli?[emoji26][emoji848]
Ndio .[emoji23][emoji23] kwahyo mlikuwa mnawafanya kama project sio vizuri mkuu
Duuu inawezekana umetupiwa jini makata karne ya 21 ukiona hutongozwi na ww mwanamke ujue umetupiwa jini makata au maimunaSina mpenzi, sina dada, sina kaka
Kanisan nina muda mrefu sijaenda
Mkuu nimekuwa mpuuzi tena??Nakadori wewe ni mpuuzi nini? Take yourself into the shoes of his wife na malaya wake huyo! Foolish ^man^ you!
Ha ha ha...Ndio .
Maybe Kuna demu mkali full mashauzi mtaa fulani ataanza broo atambana nae atahangaishwa wee na vile anajua kuigiza kama sharukh khan akililia penzi atampata
Baada ya wiki anaanza mfanyia visa mara hajibu text at that time mimi tayari namba ninayo nakua kidaka chozi namfutilia tu najua ataniambia ana mtu ambaye ni broo hivyo hivyo
Kosa kuu wanalofanya wanawake baada ya ku break up wanakuwa rebound guy au relationship kupunguza maumivu hapo ndipo mimi ninapoingia
Baada ya kula namjulisha broo unakuta hapo tunacheka kisengee [emoji23] and then paap namuacha Hapo nakuwa nimempiga na kitu kizito kichwani
Akijua msela wake alikuwa ni ndugu yangu ndio kanipa namba ndio inakuwa kitu kizito kichwani mara mbili
Ile mshipa wangu wa hasira siku hizi ni haufanyi kazii..Relax, afu Punguza jazba mkuu[emoji4]
Anakuzingua TU uyo bwana Shetani, usimchukulie serious Sana binamu yangu uyo😃Duuu inawezekana umetupiwa jini makata karne ya 21 ukiona hutongozwi na ww mwanamke ujue umetupiwa jini makata au maimuna
Ushauri nenda kanisani fasta ukaombe huenda huyo pepo jini atatoka then utapata mpenzi
Ananipga kamba nilitaka nishangae mm najua karne hii ukiwa mwanamke usipotongozwa ujue una nuksi pepo mchafu au jini makata au maimunaHapo pa Kwanza binamu umempiga kamba bwana Sheitwaani 😜
Hajaoa ila kazalisha ana mtoto mmoja yupo kwa bi mkubwa ye yupo jeshini huko anatulindia mipaka ..ile issue ya ziwa nyasa na malawi alikuepo mmoja wao alienda huko alifikaga mbeya anakwambia dogo kuna wanawake wana mishuzi nitapona kweli huku [emoji23][emoji23]Sahv kaoa au Bado?
Jamaa anakiroho cha kwann, nishasema mahali kua usikute uyu jamaa ndo uyo was tanesco nilompiga na kitu kizito kichwan.Mkuu nimekuwa mpuuzi tena??
Sasa so ndo alichochagua na kwa mkewe anasimamia majukum 24/7 ...alipomkwaza alijirudi...na wife yupo poa..
Unataka afanyaje tena
Naam [emoji3] na yeye nikipata zangu nampatiaHa ha ha...
Kwaiyo wee ulkua mzee wa deadballs[emoji1787]
Ananipga kamba nilitaka nishangae mm najua karne hii ukiwa mwanamke usipotongozwa ujue una nuksi pepo mchafu au jini makata au maimunPeopleepo
Jini amtoe wapi yule, vinginevyo atwambie kua anakoishi Kuna uhaba wa wanaume.Ananipga kamba nilitaka nishangae mm najua karne hii ukiwa mwanamke usipotongozwa ujue una nuksi pepo mchafu au jini makata au maimuna
Daah wanakufa nalo moyoni maana kukiongea hata kwa shoga zake ni aibu unadhani mwanamke kama huyu atakuja kuamini mapenzi au kijana amwambie anampenda ?😂Sasa i mpk ajue ilkua planned, Unaweza TU kumruka kua nilikua sijui.
Ila nnavojua mwanamke atakufa nalo kifuani tu.
Maana kuliwa na marafiki afu wanapokezana tu Ni aibu kubwa sana kwa mwanamke😊
Vinginevyo mwanamke awe anakumudu😊