Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Hii dunia Ni uwanja wa fujo, ukiwazia Sana karma huwez kufanya lolote la maendeleo ukafanikiwa. Huwez kua tajiri Bila kumnyonya maskini. Sasa karma inakaaje Kwny scenario Kama hizo😊
Mambo ya karma hakuna Adoph Hitra waliwauwa wana Israel karibu milioni sita ambalo wengi wanaamini ni taifa la mungu kwanini mungu hakuonyesha karma pindi watu wake wanakufa ehee karma imeshindwaje kufanya kazi kwa taifa la mungu ?
 
Mambo ya karma hakuna Adoph Hitra waliwauwa wana Israel karibu milioni sita ambalo wengi wanaamini ni taifa la mungu kwanini mungu hakuonyesha karma pindi watu wake wanakufa ehee karma imeshindwaje kufanya kazi kwa taifa la mungu ?
Aisee,Kuna la kutafakari hapo🤔
 
Atachukua yote mema na mabaya...
Ndo uombe sana kuvunja hayo mabaya.
Ila utaomba saa ngapi maan uko bize na mama j kuzindua style mpya[emoji2960]
Ha ha ha... Wee nae lichokozi kwelikweli
🤣 eti kuzindua style mpya
 
Wafia dini hawatakuelewa hapa
 
Zaman enzi hizo,
Kijijini kwetu akikamatwa anaiba shamban kwa mtu Kia's kidg tu kwa ajili ya kulisha familia yake alikua haadhibiwi.

Badala yake anaonewa huruma na kupewa na ziada ili akalishe familia yake.

Ila ukikutwa ana kiroba anapakia mzg mkubwa akauze, kipigo chake anachomwa mpk kibiriti akafie mbali huko
 
Hahahahaha
Kama ww unajijua ni mfuasi wa Mungu why ujali??
Ha ha ah.....Ndo maana nikasema wengine.
Binafs hata sijali, nnachojua bwana iblis ni mwenzetu TU Kama wengine😊
 
Safi ndio utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…