Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Basi mimi mambo hua ni tofauti kidogo mimi watu hua wananipa heshima ambayo sina sasa kuna situations inakubidi ku maintain hiyo heshima uliyopewa ili usiwadissapoint wale waliokupa hyo heshima na hapo ndipo inabidi kufanya maigizo.

Hata huyu shemeji yenu wa sasa alishaniambia live "yani wewe nilijuaga ni mtu mkubwa (akimaanisha mtu mwenye wadhifa) kumbe huna lolote"

Kwakua nimeshaizoea hyo hali niliishia tu kucheka na kumwambia sasa umeshanijua vizuri unaweza kuamua vinginevyo.

Hua naweza kunyofoa pisi kali baada ya muda nashindwa kufikia matarajio yake basi unakuta imeniacha kiroho safi tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] inaonekana unavaa vizuri sana
 
Mimi ni kati ya wake Washikaji ambao siyo rahisi hata kujua wanafanya nini town, yaani wanapotea unakuja kuwaona weekend, wanazunguka zunguka tu wapo smart
Harakati zangu nafanyia nje kidogo ya mji ambapo jamaa zangu wengi hawafikagi,na harakati yenyewe basi,ya kujua mwenyewe tu
Nina mwanamke mmoja Yeye mtu wa town hapo kati ana Biashara zake,nikiwa town naenda hapo nazugazuga,nikitoka Washikaji wanakuwa wanamuulizia amenipendea nini sasa maana mshikaji niponipo tu na sina mchongo wowote,anaishia kucheka tu maana yeye ndiyo anajua mikakati yangu.
Mwezi March niliugua nikakaa home kama wiki mbili hivi,yule mwanamke wangu akawa anachukua bodaboda kila siku ananiletea vinywaji,matunda na mahitaji mengine maana naishi mwenyewe tu,basi aliokuwa anakuja nao kumleta na kumfuata walistaajabu sana kukuta nimeweka kamjengo ka maana tu huku nina room zangu mbili zimejaa kuku wa kienyeji naokota mayai tu,kifence changu poa kabisa,yaani hatua flani ambayo kila kijana anayeanza maisha anatamani kuikamilisha.
Nimekuja kupona sifa nazikuta mtaani huko,kwamba "jamaa msimchukulie poa,msimuone analandalanda kwake amepiga hatua sana"
Ndiyo hivyo bwana.
kula mayai kula mayai mzee
 
Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.
Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.
Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni. Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.
Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari. Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.
Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
[emoji86][emoji86]
 
Oprah Winfrey aliingia duka moja Ulaya sikumbuki it was Italy or what(wedding ya Tina Turner ilikua nchi gani?) na kuulizia pochi fulani mhudumu akamwambia 'thats too expensive'!!...akakomaa nae kweli hakumpa aione,.ikabidi aondoke tu

iligeuka news BBC nk ndo mmiliki kujitetea tetea but wote tunajua Oprah wasnt lying.,hasa bcz she black
ntafuatilia hiyo habari
 
Hizi story zinafurahisha

nna kawaida ya kutreat watu either kwa heshima au neutral tu..sina kawaida ya dharau

siku moja nlikua kulipia vitu pale kwa cashier supermarket mbele yangu yupo Mh flani hivii.,zama za barakoa sikumjua and i didnt care niko tu nawaza ishu zangu.....akaweka vitu akawa kasahau kingine akarudi kufuata kistaarabu tu nikaweka pause kidogo nikamsubiria akarudi akaendelea na foleni yake hakuchukua muda hata hivyo;ile tunatoka ndo mwenzangu ananiambia Mh flani huyo hujamjua tu?.was likee woooo ningemsemea vibaya kwny foleni palee[emoji28] ama ningefanya anythng disrespectful?.

nikazidi jifunza niendelee tu kuheshimu watu wa rika zote na jinsia zote bila kujali
ulikuwa umeenda kununua shower gel sio
 
Huyo dada alikua right kabisa, wakati mwingine mtu ana mawazo yake anaenda sehemu tulivu peke yake ili arefresh mind, sasa wewe kwenda kuhitaji kampani lazima iwe kero,

Pia labda kuna mtu alikua anamsubiri, lakini zaidi mkishaona mwanamke amekaa sehemu basi mnajua yupo mawindoni mnajisogeza, haina heshima.
you got it right
 
hii iliwai nikuta bagamoyo nimeenda kuichakata pisi yangu moja tamu sana rangi kama wale watoto wa Brazil kule hotel ni millennium sea breeze resort nililala room ya laki mbili sasa asubui nimeamka na demu wangu tumeenda kunywa chai jamaa wakawa wanatuuliza mmelala room gani nikawaonesha na walituona wakati tunashuka toka room jamaa bado wakawa wanaleta dharau wakasema tukalete kadi ya kufungulia mlango tukaleta eti ndio wanaamini wanaanza kushoboka na kutuudumia vizuri nili boreka sana na hotel haikuwa na watu wengi sasa sijui kwa umri wangu walijua siwezi ku afford iyo room wakati nilikua na milioni tisa ya kula bata kwenye akaunti niliwazarau sana wale jamaa watu maskini sijui wana mentality gani
chumba cha laki mbili kina service gani?
 
Kuna footballer mmoja maarufu Sana aliwahi kucheza timu ya aseno(jina limenitoka) nadhani timu yake ya taifa ni Sweden.

Huyu jamaa, Kuna stories nilipata kusimuliwa Kuna siku alienda mgahawani huko kwao, Sasa alivyofika wahudumu hawakumtambua wakawa wanamchukulia poa. Kile kitendo kilimkera Sana, kwa hasira akaamua kuununua ule mgahawa fastaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Siku mbili tu zilizopita nimesumbuliwa sana na kidada kimoja katika stationary fulani, sijui ananionaje

Amesababisha shughuli ya siku moja imechukua siku 2

Nasubiri anikute katika anga zangu, japo sipangi kulipiza kitu ila watu wajifunze kuheshimu mtu yeyote
 
Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.
Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.
Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni. Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.
Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari. Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.
Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
Nimependa hii story inaonesha kumiliki Expensive Shuts huku bado young inaraha sana imagine 28 una discover 4.
 
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu.

Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo la uhakika haswaa, limejitenga na limetulia kweli. Nilipigilia kipensi changu na ka t-shirt flan hivi local nikachagua sehem nikakaa, kutizama vizuri nikaona kuna meza amekaa mdada mmoja hivi and of coz she is gud looking nikaamua kujitosa angalau kumpa hata hi 'coz tulikuwa wateja 2 tu, nikamfata nikamsalimu.

Yule dada kwanza alinishusha kuanzia juu mpaka chini then akaitikia salamu yangu ki-design kama namsumbua flani hivi. Nikaomba kujumuika nae kama asipojali. Jibu lake ndo lilinitoa confidence kabsa, alinambia: "Kwahiyo kaka unadhani kila msichana akikaa peke yake anahitaji kampani? Hapana sihitaji" Dah, mwanamme nikajizoazoa pale nikarudi nilipokaa. Nilikaa kama masaa ma3 hivi nikaamsha zangu. Sasa kilichotokea jana ndo kimenifanya niandike huu uzi.

Nilipokea maagizo kuanzia J3 ya wiki hii kuwa leo watakuja watu wa Taasisi flani ya kifedha kutoa semina kwa sisi wafanyakazi kwa ajili ya kutushawishi kujiunga na huduma za Taasisi yao, hivyo mimi nikapewa jukumu la kuwakaribisha na kuwapeleka sehemu ambapo semina itafanyika.

Asubuhi mida kama ya saa 3 hv ugeni ukafika, walikuwa watu kama 7 hivi, kati yao alikuwepo yule dada nilieonana naye weekend.

Wakaingia ofisini nikawakaribisha, wakati mkubwa wao anatoa introduction macho nikayakaza kwa yule dada, bahati nzuri tukagonganisha macho, akashtuka flani, nikajua kashanikumbuka.

Baada ya semina kuisha ikafika kipindi cha watu kujiunga sasa kwa walioshawishika. Nikamfata yule dada nikamuomba aje anielekeze namna ya ujazaji fomu. Alivyofika tu, nikamuuliza "Unanikumbuka?" Akachekaaa, akaniambia "Yani wewe, sikutarajia kama unaweza kuwa unafanya kazi huku", nikamuuliza ulitarajia niwe nafanya kazi wapi? Akaishia kucheka tu. Mawasiliano yake kanipa; fresh bila shida kabisa.

Sasa naomba kuuliza wadau, mshawahi kukutana na situation ya namna hii?
Jipige kofi moja kwa kumshobokea demu kwa mara ya pili.
 
Huyo katibu mkuu nae atakuwa siyo mstaarabu tu. Kusalimia watu kwake ni shida? Ni mmoja wa wale waliolewa madaraka.
Kusalimia au kusalimiwa sio lazima hasa eneo lako la biashara

Mimi pia husalimia nikijisikia tu, nikilazimishwa sirudi tena hapo labda huduma uwe nayo peke yako
 
Mimi uzuri nna adabu simdharau mtu kwakweli ila kuna Mtu aliwahi kuvuka matarajio yangu yani sikutegemea.
Maana jamaa alitaka nikamfanyie kazi fulani akanambia niandike namba aatanicheki anatumia Tecno S series😂 nikadharau nikajisemea huyu nae nani🤣,siku ya kazi kaja kunichukua Offisini na Range rover sport anaishi Cliffside resiidence
toure dr hakuna kazi nililipwa kama hio mtu unafanya kazi huku unakunywa Moet Chandon Shampaigne
Alipiga ??
 
Ha ha ha aisee pole eti koti Kama limetundikwa
Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.
Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.
Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni. Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.
Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari. Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.
Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
 
Siku mbili tu zilizopita nimesumbuliwa sana na kidada kimoja katika stationary fulani, sijui ananionaje

Amesababisha shughuli ya siku moja imechukua siku 2

Nasubiri anikute katika anga zangu, japo sipangi kulipiza kitu ila watu wajifunze kuheshimu mtu yeyote
pole sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: T11
Back
Top Bottom