Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hapa ndipo alipokosea...Angekaa kimya kabisaUngevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo alipokosea...Angekaa kimya kabisaUngevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
...mmmm, hukutakiwa kumshobokea tena! Ulitakukiwa ujikaushe Fulani hivi kama hujapata kumuona, yeye ndiye akushobokee!Ungevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
...Hakika we we in Evil, Mkuu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba yenyewe uliyopewa inafungiwa na TCRA Siku si nyingi
amefanya kosa kubwa sanaUngevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
Ulitakiwa ule ganzi sio kujisogezasogeza tena kwakeKwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu.
Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo la uhakika haswaa, limejitenga na limetulia kweli. Nilipigilia kipensi changu na ka t-shirt flan hivi local nikachagua sehem nikakaa, kutizama vizuri nikaona kuna meza amekaa mdada mmoja hivi and of coz she is gud looking nikaamua kujitosa angalau kumpa hata hi 'coz tulikuwa wateja 2 tu, nikamfata nikamsalimu.
Yule dada kwanza alinishusha kuanzia juu mpaka chini then akaitikia salamu yangu ki-design kama namsumbua flani hivi. Nikaomba kujumuika nae kama asipojali. Jibu lake ndo lilinitoa confidence kabsa, alinambia: "Kwahiyo kaka unadhani kila msichana akikaa peke yake anahitaji kampani? Hapana sihitaji" Dah, mwanamme nikajizoazoa pale nikarudi nilipokaa. Nilikaa kama masaa ma3 hivi nikaamsha zangu. Sasa kilichotokea jana ndo kimenifanya niandike huu uzi.
Nilipokea maagizo kuanzia J3 ya wiki hii kuwa leo watakuja watu wa Taasisi flani ya kifedha kutoa semina kwa sisi wafanyakazi kwa ajili ya kutushawishi kujiunga na huduma za Taasisi yao, hivyo mimi nikapewa jukumu la kuwakaribisha na kuwapeleka sehemu ambapo semina itafanyika.
Asubuhi mida kama ya saa 3 hv ugeni ukafika, walikuwa watu kama 7 hivi, kati yao alikuwepo yule dada nilieonana naye weekend.
Wakaingia ofisini nikawakaribisha, wakati mkubwa wao anatoa introduction macho nikayakaza kwa yule dada, bahati nzuri tukagonganisha macho, akashtuka flani, nikajua kashanikumbuka.
Baada ya semina kuisha ikafika kipindi cha watu kujiunga sasa kwa walioshawishika. Nikamfata yule dada nikamuomba aje anielekeze namna ya ujazaji fomu. Alivyofika tu, nikamuuliza "Unanikumbuka?" Akachekaaa, akaniambia "Yani wewe, sikutarajia kama unaweza kuwa unafanya kazi huku", nikamuuliza ulitarajia niwe nafanya kazi wapi? Akaishia kucheka tu. Mawasiliano yake kanipa; fresh bila shida kabisa.
Sasa naomba kuuliza wadau, mshawahi kukutana na situation ya namna hii?
Oprah Winfrey aliingia duka moja Ulaya sikumbuki it was Italy or what(wedding ya Tina Turner ilikua nchi gani?) na kuulizia pochi fulani mhudumu akamwambia 'thats too expensive'!!...akakomaa nae kweli hakumpa aione,.ikabidi aondoke tuKuna mchezaji mmoja wa zamani wa Southampton anaitwa James Beatty alikuwa anataka kununua Porsche 911 akapita kwenye Porsche dealership moja mitaa ya London salesman akamwambia 'you can't afford this' (bei ilikuwa zaidi ya £100,000).
Jamaa akazunguka mitaa miwili mitatu akakuta Porsche dealership ingine akachukua gari kama ile akapita tena pale alipopita mwanzo akampa middle finger yule salesman akaishia. Hapo salesman kapoteza si chini ya £5000 commission.
Ukililia salamu utapata faida gani? Tangu uanze kusalimiwa ushaongeza nini, kama ni ustaarabu wako unataka kuufanya uwe ustaarabu wa wengine. Mi sipendi masuala ya kulilia salamu wakati huongezeki chochote kile. Nikija nikakusalimia sawa na isipotokea ni sawa pia.Hakuna anaekulazimisha kusalimia. Lakini ustaarabu wa mtu uanzia hapo kwenye salaam. Ukisalimia utapoteza nini na utatumia masaa mangapi?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We ni kauzu naona dagaa anasubiriKuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.
Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiiiiiiiiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.
Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
Chalii ni gari gani hiyo unasumbua macho ya watu na jinsi ulivyo?Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.
Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.
Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni. Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.
Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari. Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.
Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
Na una bahati ungemletea madharau ya mdomo hiyo kesho yake angetoa pesa na kichapo ungechezeamiaka mingi zamani kama 10 imepita nilikua nafanya kazi mahali kama mtu wa Sales...sasa jioni dakika chache kabla ya kufunga akaja jamaa mmoja kavaa kawaida tu yule jama alikua mstaarabu sana sasa mm nikawa namjibu shortcut sana plus muda umeisha nataka kusepa halafu nikaona kama hawezi nunua mzigo wenyewe ulikua kama wa 32 hv mwaka 2010...nikamtupa jamaa nikamwambia kesho uje ulete document flani ...akaniuliza nije saa ngapi? nikamwambia saa nne asubuhi jamaa akaga na mm nikamsahau..
Lahaula saa nne kamili bwana jamaa kaja kapiga magwanda hatari aisee...kumbe ni kanali wa jeshi kachafuka..plus ana bodyguard au dreva (sikujua diference)..aisee jamaa kumbe alikua head of logistic wa JWTZ Tanzania nzima..(alinipa card) yule jamaa alipata huduma ambayo hajawahi pata mahali...akawa mshkaji wangu mno aisee...
ila sisi wabongo tun tabia ya kujudge mtu kwa muonekano au mavazi yake mno aisee na nahisi jamaa alijua ile siku ikabidi kesho yake anikomeshe...tokea ile siku mpaka leo naheshimu kila mtu..na imenisaidia sana deals nyingi mno...
Binafsi huwa sipendi MTU anayependekeza salamu. Ujue salamu ni aina ya malipo ama kumnunua MTU moyo wake ili akusaidie kitu Fulani. Ina mana bila ya salamu husaidiwi.
MIE hata ukinipita bila ya salamu afu unarudi umepotea njia nakuelekeza kiroho safi na hata ukinisalimia kama kuninunua ili ndipo nikuelekeze MIE naipotezea salamu yako na kama Nina muda nakupeleka mpaka unakoenda.
Warusi ukiwauliza kitu afu wakakusaidia na ukiwashukuru wanaikataa shukrani yako kwa kuuliza ya nini iyo shukrani. Ina mana wako willing kukusaidia bila hata kuwalipa.
Sasa bongo ndipo utashangaa MTU anakomalia salamu utadhani itamuwekea chakula mezani.
Binafsi sipendi kusalimiwa naonaga kama ni utumwa Fulani yaani ni lazima usalimie kila asubuhi. MIE wangu aishanielewa hakuna salamu hata kama nikitoka kwa wiki nzima. Nikirudi unapita muda kidogo tunaanza story za huku home na huko nilikokuwa.
Wazazi wangu hawakuwa watu wa kudemand salamu kila siku asubuhi. Ilikuwa ni kuamshwa kuwahi shambani basis.
Mpaka umri huu huwa nikienda home salamu ni zile siku za ugeni wiki ikishapita hakuna salamu.
Pia siamini kuwa salamu ndio heshima.
Nina imani masikini anapenda sana salamu mana kwa njia hiyo anajisikia faraja sana anadhani naye anajariwa. Masikini ndiye anayetembelea ndugu zake waliofanikiwa na kuwaongelea na kuringishia watu. Kuwa usinidharau yule karibu mkuu ni mdogo wangu nimemsomesha MIE. Ni kama Mwita weitara akasomeshwa na kaka yake aliyekuwa nauza mayai hapo kipunguni saivi sijui wanakaa kivule.
Ni mfano tu nimetolea hapa kwa karibu mkuu.
Salamu ni muhimu ila isiwe lazima jamani .yaani kuna watu wanaifanya kuwa basic needs kwao.
Binafsi nikiwaga home kwetu huwa siishi kwa furaha mana kila unayepishana naye yabidi u pay attention kwake na umpatie salamu tena usimame mpige story kidogo.sasa ole wako uje upite usalimie ukipunga mkono nakuambia ,Fulani anaringa kisa akasoma ,ama ana Hela.
Ila nikiwa town salamu sio lazima naishi kwa Uhuru hakuna MTU anayejiliza kuwa umetupita bila ya salamu rafiki.
Binafsi kunyenyekea ama kunyenyekewa sipendi.
Haya shikamooni wana jf wote waliozaliwa 65 kurudi nyuma. Wa 66 mpaka 1990 mambo vipi. Waliozaliwa 90 mpaka 2020 mnipe heshima Yangu
Unadhani kwa salamu Umepata nini katika maisha yako hata nisingekusamia si ungebaki na shida zako zilezile ama kuna kitu kimeongezeka.
Binafsi I hate salamu ingawa ni opener ya maongezi. Kuna watu naowakubali sana binafsi unamuuliza MTU kitu anakujibu mwishoni unashukuru na kumpatia salamu yake unasepa. Watu wa ivyo huwa naowanga ni matajiri rohoni kwao ni matajiri rohoni mwao!!!!!
Kwani hujui wadada wanatuchukukia poa mpaka wajue mfukoni mwako kuna nini...Basi huu uzi utakavyowasimanga wadada huu!!!
Sio poa yaani.......Kuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.
Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiiiiiiiiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.
Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
Huyo dada alikua right kabisa, wakati mwingine mtu ana mawazo yake anaenda sehemu tulivu peke yake ili arefresh mind, sasa wewe kwenda kuhitaji kampani lazima iwe kero,Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu.
Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo la uhakika haswaa, limejitenga na limetulia kweli. Nilipigilia kipensi changu na ka t-shirt flan hivi local nikachagua sehem nikakaa, kutizama vizuri nikaona kuna meza amekaa mdada mmoja hivi and of coz she is gud looking nikaamua kujitosa angalau kumpa hata hi 'coz tulikuwa wateja 2 tu, nikamfata nikamsalimu.
Yule dada kwanza alinishusha kuanzia juu mpaka chini then akaitikia salamu yangu ki-design kama namsumbua flani hivi. Nikaomba kujumuika nae kama asipojali. Jibu lake ndo lilinitoa confidence kabsa, alinambia: "Kwahiyo kaka unadhani kila msichana akikaa peke yake anahitaji kampani? Hapana sihitaji" Dah, mwanamme nikajizoazoa pale nikarudi nilipokaa. Nilikaa kama masaa ma3 hivi nikaamsha zangu. Sasa kilichotokea jana ndo kimenifanya niandike huu uzi.
Nilipokea maagizo kuanzia J3 ya wiki hii kuwa leo watakuja watu wa Taasisi flani ya kifedha kutoa semina kwa sisi wafanyakazi kwa ajili ya kutushawishi kujiunga na huduma za Taasisi yao, hivyo mimi nikapewa jukumu la kuwakaribisha na kuwapeleka sehemu ambapo semina itafanyika.
Asubuhi mida kama ya saa 3 hv ugeni ukafika, walikuwa watu kama 7 hivi, kati yao alikuwepo yule dada nilieonana naye weekend.
Wakaingia ofisini nikawakaribisha, wakati mkubwa wao anatoa introduction macho nikayakaza kwa yule dada, bahati nzuri tukagonganisha macho, akashtuka flani, nikajua kashanikumbuka.
Baada ya semina kuisha ikafika kipindi cha watu kujiunga sasa kwa walioshawishika. Nikamfata yule dada nikamuomba aje anielekeze namna ya ujazaji fomu. Alivyofika tu, nikamuuliza "Unanikumbuka?" Akachekaaa, akaniambia "Yani wewe, sikutarajia kama unaweza kuwa unafanya kazi huku", nikamuuliza ulitarajia niwe nafanya kazi wapi? Akaishia kucheka tu. Mawasiliano yake kanipa; fresh bila shida kabisa.
Sasa naomba kuuliza wadau, mshawahi kukutana na situation ya namna hii?
Hizi story zinafurahisha
nna kawaida ya kutreat watu either kwa heshima au neutral tu..sina kawaida ya dharau
siku moja nlikua kulipia vitu pale kwa cashier supermarket mbele yangu yupo Mh flani hivii.,zama za barakoa sikumjua and i didnt care niko tu nawaza ishu zangu.....akaweka vitu akawa kasahau kingine akarudi kufuata kistaarabu tu nikaweka pause kidogo nikamsubiria akarudi akaendelea na foleni yake hakuchukua muda hata hivyo;ile tunatoka ndo mwenzangu ananiambia Mh flani huyo hujamjua tu?.was likee woooo ningemsemea vibaya kwny foleni palee😅 ama ningefanya anythng disrespectful?.
nikazidi jifunza niendelee tu kuheshimu watu wa rika zote na jinsia zote bila kujali
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umezingua sana ,kiini cha story ndiyo umekiacha pending, hebu weka sawa hapo ulipotambulishwa kwa staff kuwa ndiyo manager mpya ungemalizia tu yaliotokeaMi kuna mwaka flani nilipewa promotion kwenda kuwa branch manager mkoa flani. Sasa sabab nilikua bachelor nikauza vitu vyote nikabaki na mabegi ya nguo nikapaki kwenye ndinga nikaamsha. Nikafika mkoani mida ya sa 9 na mafuta yalikua yamekaribia kuisha nikasema nikachomoe mpunga kwenye atm ya hiyo bank ninayofanyia kazi. Nilivomaliza kutoa hela na muda wa bank bado nikasema niingie kumsalimia branch manager aliyepo maana tulikua tunafahamiana. Ile kuingia reception mdada mmoja matata sana ndo yupo pale na pembeni kaka jamaa mwingine..nikamsalimia akaitika vizuri tu,nikamwambia naomba kuonana na meneja..akainua macho kuniangalia...akanambia sema shida yako...nikamwambia shida yangu ni personal,akasema huwezi kumuona ..tena kwa madharau. Na yule jamaa wa pembeni akaniangalia akaendelea na ishu zake.Nikamwambia basi sawa ntampigia simu,akanijibu kwa kejeli kumbe namba yake unayo...yule jamaa wa pembeni akacheka..nikasepa nikaenda kuchkua hotel. Jion nikamcall meneja nikamwambia nipo nishafika akafurahi sana maana kama nilimsurprise na skumwambia kama nilifika ofisin. Jioni akanitafuta tukapiga vyombo huku akinionesha machimbo. Kesho yake asubuhi kwenye morning talk akawaambia staff meneja mpya kashafika atakuja mchana kuwasalimia. Mchana wake nikaibuka... Hahahahaaaa basi wapenzi wasikilizaji mtamalizia wenyewe kilichofuata.
Kisa cha pili ni sehem nilipoenda kupanga room maana sikua na familia na vitu niliuza so nikazama kama ninja...wakawa na madharau yao mi sina time nao mpaka wamekuja kujua badae sana ndo wanajichekesha maana hata gari nilikua silazi pale hapakua na parking.
Kwa kuwa hukuweka madharau uli mchallenge tu, hata ingekua mimi nisingekufanyia kinyonge sometime boss anataka mtu anae challenge sio umekaa kiboya boya tuMie ni tofauti kidogo , tulikuwa safari ya mkoa basi likaharibika njiani , wakati wanatatua tatizo abiria mmoja akashauri kitu Fulani akward dizaini za kuwa harrass wenye basi .nikampinga kibabe na kupata support kutoka kwa abiria wenzangu
Kesho yake nimefika kwa ajili ya mishe kumbe jamaa niliyejibishana naye Jana yake safarin ndio top wa ofisi niliyoifungia safari ., Ila hakuwa na kinyongo alifanikisha mission yangu
Bora ubaki na mwili huu huuNdevu na nywele zangu ahazinaga ushirikianao, hivyo nywele uwananyoa kila wiki zikae size ya chini kabisa, ndevu naziacha lakini ziko kidevuni tu nazo hata niziache miezi ahazizidi kumo flani.
Nilimsikia F.a anasema alianza kuwa na mwili alipoanza kwenda ym ili awe anakula sana, namimi nina mpango huo maana mwili hauna shukrani huu.
hii iliwai nikuta bagamoyo nimeenda kuichakata pisi yangu moja tamu sana rangi kama wale watoto wa Brazil kule hotel ni millennium sea breeze resort nililala room ya laki mbili sasa asubui nimeamka na demu wangu tumeenda kunywa chai jamaa wakawa wanatuuliza mmelala room gani nikawaonesha na walituona wakati tunashuka toka room jamaa bado wakawa wanaleta dharau wakasema tukalete kadi ya kufungulia mlango tukaleta eti ndio wanaamini wanaanza kushoboka na kutuudumia vizuri nili boreka sana na hotel haikuwa na watu wengi sasa sijui kwa umri wangu walijua siwezi ku afford iyo room wakati nilikua na milioni tisa ya kula bata kwenye akaunti niliwazarau sana wale jamaa watu maskini sijui wana mentality ganiKuna manager wa hotel fulani kubwa tu. Alitusimulia kuwa siku moja akiwa ndio manager wa zamu akaitwa na muhudumu wa mapokezi shida ikiwa kuna mgeni kachoka choka hivi lakini anahitaji room ya bei mbaya pale hotelini.
Sasa muhudumu wa mapokezi akamwambia mgeni mchovu angoje kidogo akamuonyesha na pa kupumzikia ili amuandalie hiyo room uku ikiwa ni kupata muda ili amwambie manager kuhusu kumpa chumba cha bei mbaya jamaa.
Manager kumuona mgeni alivyo ikabidi aende kuongea nae.mshtuko ukampata baada ya mager kujitambulisha jamaa nae akajitambulisha jina ndipo akajuwa jamaa ni footballer mkubwa tu duniani na jezi aliyovaa juu ni ya timu yake ya taifa.mara moja akapewa room bila hata maswali mengi.