😂😂😂 Jirani kuna kansa ya koo 😂😭Hii tabia imenishinda kuacha kabisa...😜View attachment 3648258
Cha vitisho 😂💔😂😂😂 Jirani kuna kansa ya koo 😂😭
Eagle niliziona Arusha tuu, kipindi namaliza Six, nilizipiga pale USA liver, ila DSM sijaziona,,Ile imeiva vizuri sana, naona local bia nyingi hazijaiva kama ego
Bora na waliuchelewesha😂💔
Afu uzi wa Likud naona umefutwa shwaaa!
Rim mixer blow kaziHii tabia imenishinda kuacha kabisa...😜View attachment 3648258
Tusitishane jirani, hata nzi hufia kwenye kidonda...😋😂😂😂 Jirani kuna kansa ya koo 😂😭
Huyo pisi yako asilimia 100 itakuwa imetoka KageraDaah umenikumbusha kitu,, kuna mchepuko unapenda kukojolea kwenye ndoooo hatari,,
Ni nzuri.Ila siku nyingine upitie "Usa river" ndiyo utafurahia zaidi.Eagle niliziona Arusha tuu, kipindi namaliza Six, nilizipiga pale USA liver, ila DSM sijaziona,,
Mhm lazima ziwepo mkuu, kwenye page yao niliona wana mpaka ego ndogoEagle niliziona Arusha tuu, kipindi namaliza Six, nilizipiga pale USA liver, ila DSM sijaziona,,
Mkuu natamani kupita pale sijapata nafasi tuuu, ni miaka 15 sasa ishapukutika,, ila Arusha pagumu jamani,, wacha wajidunge wazawa wa kule,,Ni nzuri.Ila siku nyingine upitie "Usa river" ndiyo utafurahia zaidi.
Tutatandika kaburi lako sisi wananchi wa Nkuhungu. 😅Tusitishane jirani, hata nzi hufia kwenye kidonda...😋
Sahihi."Eagle" zipo kubwa na ndogo.Ila zinalewesha sana usizinywe kwa "ego" tu.Mhm lazima ziwepo mkuu, kwenye page yao niliona wana mpaka ego ndogo
Nkuhungu si dom? Nilikua na bar yangu kwa mama mmoja wa kichaga kila weekend nilikua naenda kuchuja nafaka hapo😆Tutatandika kaburi lako sisi wananchi wa Nkuhungu. 😅
Hahahaha bwashee mimi bia naona kama nasukutua tu😅Sahihi."Eagle" zipo kubwa na ndogo.Ila zinalewesha sana usizinywe kwa "ego" tu.
Mkuu hii kitu hatari sana, nahofia sana watoto wetu wanaolilia smartphone wakiwa standard schools,,Nilinunua malaya telegram, oya siwashauri