Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

Nilienda umakondeni mtwara nikapikiwa mboga nisiyo ipenda ikanilazimu nifanye mtindi kama mboga nilikaa wiki mbili kwaiyo ikajenga tabia kila nikila msosi mtindi lazima uwepo pembeni
 
Mkuu kila zama na kitabu chake, mkuu hakujawahibkupita kizazi chochote duniani wazee wasisime kimekua cha ajabu. Sisi tulikua hivyo wao wanakua hivi, maisha yanaendelea, huna sababu ya kuhofia chochote kwa sababu hofu yako haitabadiri chochote. Kikubwa mpe malezi akue kama mwanaume na ajir kuna magojwa, hayo mengine afanya kulingana na ulimwengu wake aliokulia
Umeongea point, na ndicho ninachofanya then nimeondoa ukali japo mim ni mkali, ili asisite kunieleza changamoto zake,
 
Ndo vyakula gani hivo lo???
Huu ni mfano...
Screen Shot 2026-08-11 at 15.21.37.png
 
Noted " rangi ya kamba na timing"
Ila kuna muda tshirt inapanda juu nikiwa kwenye shughuli za ufundi halafu mteja ananitazama, oyaa nikimaliza kazi najiskiaga vibaya maana umri wangu hauendani na hii kitu,,
Mkanda kamba
Si uhuni be free, nakumbuka kuna siku nilienda church nikaishia kushuhudia baadhi ya watu wakinishangaa wakati ni kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom