Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Mnikumbuke kwa mema jirani, haya mabaya niachieni nitakuja kutana nayo mwenyewe huko....Tutatandika kaburi lako sisi wananchi wa Nkuhungu. 😅
Mnikumbuke kwa mema jirani, haya mabaya niachieni nitakuja kutana nayo mwenyewe huko....Tutatandika kaburi lako sisi wananchi wa Nkuhungu. 😅
Hupaswi kuhofua, hayo mambo yalikuwepo na wanafunzi walinunua tangu enzo smart phone hazipo mkuuMkuu hii kitu hatari sana, nahofia sana watoto wetu wanaolilia smartphone wakiwa standard schools,,
Vijana mmenishinda tabia 🙌🏻😂Nkuhungu si dom? Nilikua na bara yangu kwa mama mmoja wa kichaga kila weekend nilikua naenda kuchuja nafaka hapo😆
Yeah , niikua naenda kupata pombe na nguruwe hapo weekend 😅Vijana mmenishinda tabia 🙌🏻😂
Noted " rangi ya kamba na timing"Same siku nilipotumia kamba kama mbadala kuiweka suruali kwenye mkao sahihi, Kwasasa kamba kwangu naiona simple zaidi kikubwa nazingatia rangi ya kamba na timing.
Ni kama kufunga mkanda ipo siku Itakua ni option B Kwa watu wengi
😅😅 lazima uwe mwana asenane mkuuKwenda kukojoa muda mfupi kabla ya mechi za 6*6 premier league.
Daah we utakuwa shehe sheheHuyo pisi yako asilimia 100 itakuwa imetoka Kagera
Hii addiction inahasili ya usaliti, kuna jamaa mshikaji wangu sana, yaani mwana, enzi hizo kitambo,, alinioomba kupiga chapo maan yeye ndio ugonjwq wakee,, nikamruhusu na kikamwelekeza gesti hadi mlinzi akala posho, sasa bwana jamaa akaenda tena kumtokea shem wake kwa kutumia weakness kwamba ninafile lako,, shem wake akatoa mzigo,, jamaa akala alafu akanitaka mimi nikapige chabo,, oya wee niliumia ila yashapita but we are still friend, both with big family,,,,Kupiga chabo ... hadi leo napenda penyeza macho
Hata mimi nishanunua mkuu haswa enzi za University, ila ninachohofia hawa madogo hawawezi tena kutongoza alafu pesa anakuja kupiga kirungu,, yani dogo anapiga kirungu cha laki, ukimwambia sina analeta bargain yaani nimpe kilichopo,, najua ananipiga but kuna roho inaniambia like father like .........Hupaswi kuhofua, hayo mambo yalikuwepo na wanafunzi walinunua tangu enzo smart phone hazipo mkuu
Ule Uzi unatweza utu... Nilitaka kujibizana nae ila Nika BULLSHIT ( NIKAMTUKANIA HEWANI)😂💔
Afu uzi wa Likud naona umefutwa shwaaa!
Mkuu kila zama na kitabu chake, mkuu hakujawahibkupita kizazi chochote duniani wazee wasisime kimekua cha ajabu. Sisi tulikua hivyo wao wanakua hivi, maisha yanaendelea, huna sababu ya kuhofia chochote kwa sababu hofu yako haitabadiri chochote. Kikubwa mpe malezi akue kama mwanaume na ajir kuna magojwa, hayo mengine afanya kulingana na ulimwengu wake aliokuliaHata mimi nishanunua mkuu haswa enzi za University, ila ninachohofia hawa madogo hawawezi tena kutongoza alafu pesa anakuja kupiga kirungu,, yani dogo anapiga kirungu cha laki, ukimwambia sina analeta bargain yaani nimpe kilichopo,, najua ananipiga but kuna roho inaniambia like father like .........
Najua nimekaa Kagera muda mrefuDaah we utakuwa shehe shehe
Mtu mzima analeta hoja za kusukutulia mswaki.. pumbavu zakeBora na waliuchelewesha
Anaongea nonsense tupu
Kwaio kibongo bongo unakunywa BIA ganiHahahaha bwashee mimi bia naona kama nasukutua tu😅
Serious kabisa, na ameshambuliwa kama mwewe, mods wakakazia nyundo.Ule Uzi unatweza utu... Nilitaka kujibizana nae ila Nika BULLSHIT ( NIKAMTUKANIA HEWANI)