Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

Same siku nilipotumia kamba kama mbadala kuiweka suruali kwenye mkao sahihi, Kwasasa kamba kwangu naiona simple zaidi kikubwa nazingatia rangi ya kamba na timing.

Ni kama kufunga mkanda ipo siku Itakua ni option B Kwa watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ